Mwisho wa Daudi Ballali

Mwisho wa Daudi Ballali

Hii bado ni riwaya, kwa nn hataki kumtaja huyo mwenyeji anaetafuta nae kaburi la balali? Kwa nini hatujawai sikia ndugu wakisema chochote, ama kwa nini hawakuhusishwa kuonesha kaburi mana wanaotafuta hawajui liliko, eti alizikwa na familia tu!!! tangu lini kiongozi wa nchi kauguzwa na kuzikwa na familia tu wakati wakiugua mafua tu tayari ticket ya ndege mkonon kwenda huko kwa ela ya umma? Hiyo picha naeza tengeneza hata mobile box nkalipiga picha na kuliita kaburi la ballali
 
waandishi wengine ni vihiyo kabisa..kuona kaburi ndio uthibitisho pasi na shaka aliezikwa ndio aliendikwa juu yake? siwezi kuzika paka nkajenga mnara? au kama kazikwa mwingine??
 
movie ya balali inaanza upya.asante gazeti la mwanachi kwa kuturudisha scene one ili tuanze kuitazama upya huku tukiwa tumeshajuwa ABC za last scene.
 
huu sio uthibitisho. huwezi kusafiri amerika kutuletea picha ya kaburi tu tukuamini. tumia akili za mwanahabari anayeijua kazi yake.

hao ndiyo waandishi habari wa tanzania! naye eti huyu ni investigation journalist!
 
Mbona hayo maeneo hayana makaburi mengine? Utafikiri ni uwanja wa mpira. Pili hapo ni hapahapa bongo na hiyo picha ya kaburi ime edit
iwa tu.....
 
Tuliambiwa hadi paster hakuruhusiwa kuona mwili wa marehemu! Ballali anajulikana kuwa alikuwa ni US ASSET! aliifanyia nchi hiyo kazi nzuri sana ktk kipindi cha uhai wake! Ballali alifanikisha sera yetu ya MADINI 1998, Fedha na Uwekezaji ya 1996! Ballali alifanya economic restructuring katika nchi nyingi zilizokuwana maslahi mapana na USA zikiwemo Ghana, Nigeia et al! Ballali alikuwa one of economic Hit Men aliekubuhu! Ballali alimpokea na kumbadilisha mtazamo Benjamin William Mkapa alipokwenda Washington kuwa balozi wa Tanzania enzi zile!.. Ballali asingeweza kuuawa ama kufa kizembe kwa level na cheo chake ndani ya USA!...Tambueni kuwa USA huwa haiwapokei viongozi mafisadi!!!! Ballali kwao alikuwa na umuhimu wa kipekee! ... No hard feelings LAKINI naamini ile ilikuwa zuga tu kama ambavyo wale faya mens waliohusika na ile tukio la 9/11 walivyohamishwa na kuhifadhiwa maeneo ya Austria hadi leo! Same kwa wale wataalam wa Semiconductor waliokuwa na uwezo wa kutengeneza drones ndogo zisizoonekana ndege yao (Malasia ) ilivyotekwa na kupelekwa Kisiwa cha Diego Garcia .... Huyo Mwandishi aligharamiwa na NANI? Kwanini familia haikujua kaburi ilipo? Kweli Waandishi wetu ni makanjanja wa kutupwa!! Grrrr
Kiongozi wa juu nchi hii.. Aliyeshika nafasi kubwa ya taasisi kubwa na nyeti nchi hii..... akazikwa kimya kimya bila ndugu zake kushiriki mazishi...

Upumbavu mwingine bana!!
 
Mwamba wa kaskazini aliwaambia kuwa wakiendelea kumfuata fuata atamleta Balali akiwa hai

Mkuu hii mbona sijawahi kuisikia? Alisema kweli au?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Tuliambiwa hadi paster hakuruhusiwa kuona mwili wa marehemu! Ballali anajulikana kuwa alikuwa ni US ASSET! aliifanyia nchi hiyo kazi nzuri sana ktk kipindi cha uhai wake! Ballali alifanikisha sera yetu ya MADINI 1998, Fedha na Uwekezaji ya 1996! Ballali alifanya economic restructuring katika nchi nyingi zilizokuwana maslahi mapana na USA zikiwemo Ghana, Nigeia et al! Ballali alikuwa one of economic Hit Men aliekubuhu! Ballali alimpokea na kumbadilisha mtazamo Benjamin William Mkapa alipokwenda Washington kuwa balozi wa Tanzania enzi zile!.. Ballali asingeweza kuuawa ama kufa kizembe kwa level na cheo chake ndani ya USA!...Tambueni kuwa USA huwa haiwapokei viongozi mafisadi!!!! Ballali kwao alikuwa na umuhimu wa kipekee! ... No hard feelings LAKINI naamini ile ilikuwa zuga tu kama ambavyo wale faya mens waliohusika na ile tukio la 9/11 walivyohamishwa na kuhifadhiwa maeneo ya Austria hadi leo! Same kwa wale wataalam wa Semiconductor waliokuwa na uwezo wa kutengeneza drones ndogo zisizoonekana ndege yao (Malasia ) ilivyotekwa na kupelekwa Kisiwa cha Diego Garcia .... Huyo Mwandishi aligharamiwa na NANI? Kwanini familia haikujua kaburi ilipo? Kweli Waandishi wetu ni makanjanja wa kutupwa!! Grrrr
Unapoandika kitu JF hakikisha unajua unachokisema. Ballali hajawahi kuhusika na sera za madini. Hiyo haikuwa taaluma yake hata kidogo. Ukitaka kumsifia Ballali taja jinsi alivyomsaidia Mkapa kukabiliana na gharama za maisha kiasi kwamba Mkapa ameondoka mamlakani akiacha inflesheni ya 4.5%. Hivi leo ni zaidi ya 12%. Kama ni sera ya madini shetani ni Jakaya Kikwete. Soma hotuba yake aliyoitoa Afrika Kusini Februari 2007. Kama unawaita waandishi habari makanjanja hakikisha na wewe hutumbukii kwenye kapu hilo kwa kuhakikisha unatoa facts na siyo fiction.
 
Hata Mawalla wa Arusha alizikwa Nairobi wakati kwao Marangu na nduguzake hawakushirikishwa kikamilifu.

Balali alikufa kwa kipindu pinduaa sasa mliona wapi mgonjwa wa kipindupindu akazikwa na nduguze?. Ama kusafirisha kwenda sehemu nyingine?.
 
Manzese kwa mfuga Mbwa au Buguruni Malapa?
 
Mwandishi amesema ilimchukua siku mbili kutafuta kaburi bila mafanikio na siku ya tatu alitafuta wahusika ili kumuonyesha lilipo kaburi la Balali.. lakini ukiangalia hiyo picha tulioletewa si mbele wala pembeni yanapoonekana makaburi mengine sasa swali langu je Balali alizikwa msitun?
 
Hii ndio tanzania.
 
movie ya balali inaanza upya.asante gazeti la mwanachi kwa kuturudisha scene one ili tuanze kuitazama upya huku tukiwa tumeshajuwa ABC za last scene.

Hii sio muvi ndio ukweli ulivyo.
 
Akitokea dodoma, Balali alipewa lifti kwenye ndege ya mkulu, akawekewa sumu!

Alipotoka hapo hakutaka maneno na bongo tena! Maana walikuwa wanamchekea chekea kumbe ndo wana mkili!

Akatimkia Marekani kutibiwa!

Watu walitumwa na serikali akawa hataki kuonana nao.Wengine wakidhani walitumwa kummalizia!

Ndo maana kuna wanao amini alifake kifo kwa usalama!

Haya maneno unaweza kuyathibitisha polisi???
 
Mwandishi amesema ilimchukua siku mbili kutafuta kaburi bila mafanikio na siku ya tatu alitafuta wahusika ili kumuonyesha lilipo kaburi la Balali.. lakini ukiangalia hiyo picha tulioletewa si mbele wala pembeni yanapoonekana makaburi mengine sasa swali langu je Balali alizikwa msitun?

Hilo hata Mandla Jr hajaliona! Hiyo picha ya kaburi ni sawa na picha za akina Rambo ambao wamekufa mara nyingi kimaigizo.. Au wanapigwa risasi lakini hawafi!
 
Back
Top Bottom