Je kuwepo kwa kaburi lenye jina la " David Ballali" ni uthibitisho tosha kuwa mwili uliolala hapo ni wake?
huu sio uthibitisho. huwezi kusafiri amerika kutuletea picha ya kaburi tu tukuamini. tumia akili za mwanahabari anayeijua kazi yake.
We meandishi kilaza sana eti kisa kaburi lol! Kwenye tamthilia za kikorea, na Kifilipino tunaona makaburi inamaana ni ya kweli?
Picha ya kaburi hujaiona?
wacha kujitoa ufahamu,pia acha ushabiki kwani sababu za kumzika kwa usiri mkubwa ni nini? au unajua maana ya kutoa heshima za mwisho? kama hujui maana ndiyo hii ; kila mtu ajiridhishe kuwa muhusika amefariki kweli. upo hapo? wacheni uccm utawapeleka motoni, hivi mmesahau kuna kufa? au mmeumbwa kwa shaba na mna roho ya dhahabu? isitoshe hata hivyo hutoweshwa kalibuni! wacheni kuingiza siasa kwenye kila kitu.Picha ya kaburi hujaiona?
Mkuu inasemekana mwili ulichomwa moto na yaliyozikwa pale ni majivu.Kama vp tufukue hilo kaburi bwana tusi zinguane mjue
Ukitaka kujua huu ni uongo usio na shaka mi pale mwandishi anaposema eti alitumia siku mbili kutafuta bila mafanikio ila siku ya tatu ndo akakumbuka kwenda kwa mamlaka inayohusika wamsaidie..hivi kwa jinsi mwandishi alivodiscribe ukubwa wa ilo eneo sidhani kama mtu alieko katika mission kama hiyo tena kwa safari zaidi ya masaa 30 kutafuta ukweli eti angeanza kuangaika kutafuta ilo kaburi bila kushilikisha wausika.. nadhani mwadishi anajaribu kutengeneza na kuulemba uongo wake uwe mlefu na jua toleo lijalo litanunulika vya kutosh kwa sababu ya huu uongo.
Maccm hawakawii kuzika mbwa halafu wakaandika Daudi Balali
Hakika hawa ndio waandishi tulionao tanzania eti hyo nayo ni habari ya uchunguzi. Inasikitisha kuona mtu anatumia garama kubwa kiasi h4cho then anatuletea habari isiyokua na utafiti hata chembe au hyo safari alilipiwa na serikali ya ccm nini?
wacha kujitoa ufahamu,pia acha ushabiki kwani sababu za kumzika kwa usiri mkubwa ni nini? au unajua maana ya kutoa heshima za mwisho? kama hujui maana ndiyo hii ; kila mtu ajiridhishe kuwa muhusika amefariki kweli. upo hapo? wacheni uccm utawapeleka motoni, hivi mmesahau kuna kufa? au mmeumbwa kwa shaba na mna roho ya dhahabu? isitoshe hata hivyo hutoweshwa kalibuni! wacheni kuingiza siasa kwenye kila kitu.
Iko wapi?