Mwisho wa Chenge umefika rasmi

.. christine ibrahim kweli kabisa ulichosema kila kitu kina mwanzo na mwisho, dunia hii washakuwepo viongozi mabedui walijifanya miungu mtu lkn walikufa na walizikwa kama mizogaaa
 
Last edited by a moderator:
Huyu itakuwa anakula izo fedha za kifisadi na madada poa... Fedha za haramu uishia kwenye anasa..

unafikiri ile ajali hadi akaua yule mdada ilikuwaje...alikuwa anawakimbiza wadada wale walikuwa ktk bajaji....
 
Mkuu umeongea kwa hisia sana mpaka ukanikumbusha jinsi alivyogonga mtu na kuua na kesi ikaisha hivi hivi.

alikuwa anawakimbiza wale madem walikuwa kwny bajaji.....c..nge akikuwa bwax mbaya
c..nge alidhamiria kbsa kuwauaaaa
 
Za mwizi ni arobaini,ccm walimlea,ccm walimlea alipoua mabinti wale wawili pale alipowaua,wamemlea kifo cha wizu wa Epa
Sasa tumempata nz bado
 
je? mnakumbuka gazeti la Mwana Halisi la mwaka 2009, april lilivyo lipoti mafisadi wa richmond akiwemo huyu mzee wa vijicent kaficha mabilion ya ya watanzania katika visiwa vya New jessay kwenye nchi flani ya wenzetu?
Wenda ndo principal za Harverd walimtuma asikosee kufanya hivyoo!.
 
.. christine ibrahim kweli kabisa ulichosema kila kitu kina mwanzo na mwisho, dunia hii washakuwepo viongozi mabedui walijifanya miungu mtu lkn walikufa na walizikwa kama mizogaaa

Yes!
Unajua wakishakua kwenye hivyo vyeo wanajisahau...Shetani huwa hana urafiki wa kudumu ipo siku atakuacha uchi ushangae
 
Last edited by a moderator:

Aisee, unaijua Gamboshi wewe? Subiri uone, kwa ccm huyu ataibuka tena
 

Kwa taarifa yako Chenge ndie sterling wa kila aina ya ufisadi nchini. Chenge hawezi kuondolewa kutoka kwenye nafasi aliyo nayo CCM labda mpaka serikali nzima ing'oke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…