Mwisho chali Bigbrother allstars

It is Sur_Plus

Senior Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
167
Reaction score
7
Mwisho chali Bigbro allstars 2010. UTI (Nigeria) ashinda zile US do'z 200000/= akifuatiwa na Munya(Zimbabwe) ,Lerato (SA)
 
Hapo mzee ni Uti au Munya, Mwisho kitu gani? Nadhani hapo alipo roho inaumuuma sanaaaaaaaaaaaaaaaa 🙂
 
Its UTI The winner,point of correction....Mwisho is third runerup....
 
Its UTI The winner,point of correction....Mwisho is third runerup....
Dah, jamaa kakomba mshiko woooooote....Naija mazee mmmh, wamechukua back to back....🙂
 
wanageria wezi sana huu mchezo hauna maana kabisa eti hata Tanzania hatukumpigia mwisho wakati watu walipiga kura mchana na usiki,hakuna maana kupeleka washiriki wetu tena mchezo umeingiliwa na riggers
 
Tumshukuru sana Mwenyezi Mungu maana Mwisho Mwampamba angelishinda hizo fedha zingelimkimbiza kaburini kutokana na kuzuzuka sana na maisha na yaeleka hakui na hayuko makini na maisha yake....................
 
Dah, jamaa kakomba mshiko woooooote....Naija mazee mmmh, wamechukua back to back....🙂

Hawa wapopo balaa!

wakwende zao huko

wanageria wezi sana huu mchezo hauna maana kabisa eti hata Tanzania hatukumpigia mwisho wakati watu walipiga kura mchana na usiki,hakuna maana kupeleka washiriki wetu tena mchezo umeingiliwa na riggers


Duh! mbavu sina. Hivyo kusingekuwepo na mpopo Mwisho angeshinda eeeh?
 
Jamani hiz hela zingetumika kama kujenga mahospitali, huduma za maji katika nchi zetu za kiafrika.
Sometimes back lilisha andika makala juu ya baadhi ya taasisi kama voda, zain tigo nk wanafadhiri zaidi mambo ya anasa kuliko masuala ya maendeleo kama ujenzi wa mahospitali na vifaa vyake, masula ya maji ni shida, mashuleni huko ni balaa tupu.
Waafrika tumezidi kufadhiri mambo ya anasa zaidi kuliko mambo ya maendeleo angalia michango ya harusi watu wanavyochangia, angalia ccm wavyochangishana kwenye kampeni utasikia mabilioni yamechangwa ila wakiambiwa wachangie hata fedha za kusomesha wanafunzi utasikia wanavyokuja juu.

Hivi jamani viongozi wetu wamelogwa auuuuuuuu

Mungu ibariki Afrika
 
Kulikuwa na Scam computers in nigeria votes every Hr...what od u expect?
 
Nimesikitika sana nilitaka mtumia Mwisho kwenye kampeni zangu za CCM! hahahahaahh
 
Kulikuwa na Scam computers in nigeria votes every Hr...what od u expect?
No sidhani kama issue ilikuwa hiyo, hata kama NG wangepiga kila mtu finally kura inahesabiwa ni moja ya Taifa hilo (yaani Nigeria majotity wamempigia kura nyingi nani?)

Following is what was how the votes went according to the mnet website.
Evicted
Therefore, because they each received no country votes, Sheila was evicted first, followed by Mwisho and then Lerato.

Uti

The countries that voted to save Uti were: Angola, Ethiopia, Ghana, Kenya, Mozambique, Nigeria, Uganda and the Rest of Africa.

Munya

The countries that voted to save Munya were: Botswana, Malawi, Namibia, South Africa, Tanzania, Zambia and Zimbabwe.
Source: http://bigbrotherafrica.dstv.com/News/3783/Your-Votes-All-Stars-Winner.html

Maana yake ni kuwa hata Tanzania watu wengi hakumpigia kura Mwisho.
 
Huyu dogo amezidi uzinzi na pombe!!! dah, sjui kanyewa na bundi!....chance ya pili imegoma!!! pole san dogo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…