Mwisho chali Bigbrother allstars

Mwisho chali Bigbrother allstars

Kama WAPOPO yaani west afrika ni noma basi east afric ni MAPOPOPOPO maana tulikuwa na washiriki wawili Mwisho na yule Mkenya (Meryl) lakini kwa ubahili wetu na upopo wetu hatukuweza kupiga kura za kutosha angalau mmoja apate, Hatuna umoja kazi kunafikiana tu aaaaah Mwisho akipata hizo hela zitamuua, nani kakuambia? Jamani tubadilike la siyo tutakuwa watu wa kuburuzwa na west africa kwa kila kitu kama Movies na Muziki na sasa BBA.:dance:
 
Mwisho chali Bigbro allstars 2010. UTI (Nigeria) ashinda zile US do'z 200000/= akifuatiwa na Munya(Zimbabwe) ,Lerato (SA)

mwisho aliendekeza ngono sana na yule demu wa namibia, always wanawake huwa ni uharibifu kwa wanaume ktk kufocus na ku concertrate mambo ya muhimu yule uti alicheza kwa mahesabu sana haku maindi ngono alikwepa visketi
mwisho angecheza kama alivyocheza first time alivyoenda big brother angepata zawadi
richard alikuwa na bahati ,ndio maana waswahili wanasema bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom