Wallah inavutia mno!!! Hasa kwa wale wajuao mivuto
Braza hiyo avatar ndo tabasamu au?!
We mwenzio kapenda ucmkatishe tamaaUsijekuwa unapenda picha<br />
siku ya siku ukalia na moyo wako.
Philip Dominick nimeuliza tuMbna unamuita braza mwenzio,unataka kumnyma nin