Mwingine BAVICHA ajiunga na CCM




mkuu vp issue ya Rwakatare imeishia wapi? Nasikia ww ni mmojawapo wa kikosi cha kimafia cha cdm kilicho kuwa kinapanga mkakati huo.


Mfadhili ni Mwigulu Mchemba ongea naye atakupa updates
 
Hakuna la ajabu. Kila mtu yuko huru kujiunga na chama chochote. Ni haki yake ya kikatiba. Tatizo ni pale mtu anapoamua kuondoka anatafuta jukwaa la kutukana. Mtu wa namna hii ni lazima aogopwe na asiaminiwe na ye yote.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Watu wa jimbo la Rombo hawajawahi kuvumilia wala Rushwa.Ni jambo la Ovyo kwa kijana huyo aliyeshtukiwa akitumika kugawa fedha zilizotolewa na diwani aliyehama CHADEMA kulinda maslahi yake kibiashara na kumtumia kijana huyo kuivuruga CHADEMA.Mkatati vwa CCM jimbo la Rombo unajaribu kuelekeza nguvu ndani ya CHADEMA ili kupata siri na mikakati hiyo.CHADEMA hakuingiliki,ukigundulika tu imekula kwako

Bahati nzuri wananchi wa Rombo wanajua kumuwajibisha mtu kabla hata ya tarataibu za Chama.Rushwa ni mwiko kule.Hata Mramba alitenga bajeti kubwa kwa ajili ya barabara ya Rombo akidhani atawafumba Macho.Walimwambia Mwanetu umennde mko uveeli haki ya mondu lakini enda safo(Kijana wetu umeleta barabara ambayo ilikua haki yetu ya muda mrefu ila nenda tu hatukutaki)
 
Sawa nyie wenye akili kubwa ya kushindwa hata kuhoji matumizi ya hela za chama.
Hivi wewe si ndiye yule uliwapeleka watu kufanya mkutano kwenye pub ya pombe mwezi wa Ramadhani? kuna mtu aliwahi kukuuliza una maslahi gani kwenda kukodi ukumbi kwa mkenya London UK na je maslahi yako ni yepi? vipi bado umeajiliwa na Mpemba au umeshapata mtaji?
 
Hivi hiyo kadi ya CDM amerudisha CCM au amepeleka CCM?
 



Kama alidhani angeitumia nafasi hiyo kama shortcut ya kutimiza ndoto zake basi ameula wa chuya..!

amepunguza mashuzi tuh mwanakwnda.
 
Vizuri alifuata ahadi na kwa kuwa hazipo hana sababu ya kuendelea kubaki cdm....siasa zile zile za unapokosa unachokitaka unahama chama.
 
Wanahitaji kuelezwa kuwa suala la mageuzi si suala la kubebwa na kukumbatiwa ni suala la kufa na kupona...kama wanataka luxury nadhani CCM panawafaaaa............... MANI zumbemkuu nimekosea???
 
Last edited by a moderator:
mkuu yani unampa umaarufu m2 ambaye hata umaarufu hana muwe mnaangalia hata vya kupost hmu kuna hoja nyingi sana za msingi kama vile ni namna gani twiga mwenye shingo ndefu kuliko fastjet lakini alipandishwa mpaka ughaibuni huku akiwa mzima
 

Walarushwa na wasaliti Chadema si mahali salama kwao. Big up sana makamanda wa Rombo kwa kukilinda chama na vidudu watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…