Mwili wa Dr. Wangari Maathai kuchomwa moto

Sizinga

JF-Expert Member
Oct 30, 2007
8,825
5,288
Yule activitist maarufu duniani mama Dr. Wangari Maathai aliyefariki wiki iliyopita, mwili wake utachomwa moto mapema wiki hii kutokana na ujumbe wake mwenyewe kwamba akifa asizikwe bali achomwe moto kwani alipinga vikali ukataji wa miti ya mbao kwa kutengenezea majeneza.

Rest In Peace Mama Maathai.

2u4snl3.jpg

xgji1z.jpg

2jaaiid.jpg
 

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,729
4,153
Ni wazo tu, kama anahurumia miti si angesema azikwe bila jeneza la mbao?!, mbona siku hizi yapo ya vioo, fibre na hata plastic?!, anyway.RIP prof.
 

Msaranga

JF-Expert Member
Feb 10, 2009
958
226
kama kweli alipinga ukataji wa miti mbona sasa anachomwa kwani si lazima kuni nyingi zitumike au atachomwa vipi na kama anachomwa kuna vitu kama air pollution itatokea mimi ningekuwa yeye ningesema nizikwe bila jeneza au nizikwe na jeneza la chuma kwa hili ningemkubali kama mwana mazingira kweli kweli au mnasemaje wadau
 

Ndoano

Senior Member
Aug 9, 2011
192
31
Nina wasiwasi na hii habari ...naomba hata utaje sources ya hiyo info nitaitafuta mwenyewe achilia mbali kuiatach...
 

Cha Moto

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
945
152
Inaonekana aliogopa tani sita za udongo juu ya mwili wake,
kuchomwa moto nao ni uharibifu mkubwa wa mazingira,
Hata hivyo, vyovyote vile, RIP Prof.
 

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,124
523
Inaonekana aliogopa tani sita za udongo juu ya mwili wake,
kuchomwa moto nao ni uharibifu mkubwa wa mazingira,
Hata hivyo, vyovyote vile, RIP Prof.
Siku hizi wanatumia oven za gas na hazina moshi mbaya hivyo
 

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
Jamani, si angekufa Kingunge N. Mwiru na wengine wengi ndani ya magamba kuliko huyu mother?
 

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,289
16,229
kama kweli alipinga ukataji wa miti mbona sasa anachomwa kwani si lazima kuni nyingi zitumike au atachomwa vipi na kama anachomwa kuna vitu kama air pollution itatokea mimi ningekuwa yeye ningesema nizikwe bila jeneza au nizikwe na jeneza la chuma kwa hili ningemkubali kama mwana mazingira kweli kweli au mnasemaje wadau

for sure ila kakalia kiti cha.....na hiyo picha naona kama ya mbao pia,anyway rip prof
 

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,289
16,229
jamani, si angekufa kingunge n. Mwiru na wengine wengi ndani ya magamba kuliko huyu mother?

kwanini umemchegua ngombale?unaugomvi nae,usimwombee binadam mwenzako ubaya no matter what,god is up there can judge,rip prof wangare mathai
 

AK-47

JF-Expert Member
Nov 12, 2009
1,373
192
Nina wasiwasi na hii habari ...naomba hata utaje sources ya hiyo info nitaitafuta mwenyewe achilia mbali kuiatach...

[h=2]Nobel laureate Wangari Maathai to be cremated [/h]
Written By:Diana Okemwa/Claire Wanja, Posted: Mon, Oct 03, 2011

wangari_maathai.jpg
In a statement Monday, the family of the late Maathai says the cremation is in line with her will.
The body of Nobel Laureate Prof. Wangari Maathai will be cremated this Saturday at the Kariokor Crematorium.
In a statement Monday, the family of the late Maathai says the cremation is in line with her will.
"Prof. Maathai stated her wish to be cremated upon her death. She also wished to have her remains interred within the Democratic Space of the Wangari Maathai Institute for Peace & Environmental Studies."
Prof. Maathai had also stated not to be buried in a wooden coffin as it will mean destruction of the environment that she had passionately fought against.
Professor Maathai died of ovarian cancer at 71 years. She was one of Africa's foremost environmental campaigners, internationally recognized for her commitment to democracy, human rights and conservation.
Last week, the Green Belt Movement's treasurer Verstine Mbaya said various activities will be held before Prof. Maathai is laid to rest.
She said that the pre activities would include identification of a site in Karura Forest where a stone will be laid in Prof. Maathai's honour.
Before taking her to the final resting place, a private funeral service is scheduled to be held at Lee Funeral Home at 8.00 a.m.
The cortege will thereafter depart Lee Funeral Home at 9am and proceed to Freedom Corner (Uhuru Park) for a tree planting ceremony, performance of official rites in her honor and inter-faith prayers.
The tree planting ceremony will launch countrywide tree planting activities jointly sponsored and facilitated by the Green Belt Movement and the Government of Kenya. Five thousand seedlings will be planted across the country.
Thereafter, the family will proceed to Kariokor Crematorium for the final rites.
"Members of the public are welcome to pay their last respect both at Freedom Corner and along the route from Lee Funeral Home to Kariokor. The Government will provide logistical support along the entire funeral procession route. The details pertaining to the route will be announced at a later date."
On Friday, October 14, 2011, a Memorial Services & Musical Tribute will be held at the Holy Family Minor Basilica. The Solemn Requiem Mass for the repose of her soul begins at 10am.
After the Requiem Mass in Nairobi, there will be musical tribute & celebration of Prof Maathai's life through music, poetry and tributes at a venue to be announced later.
A memorial service at the homestead of Prof Wangari Maathai's mother, in Ihithe village, Nyeri County, will be held on the same day starting 9.00a.m. The Kenya Girl Guides Association and the Local Administration will coordinate this service.
In the statement, the family of the Late Prof. Maathai and the Government wishes to express deepest gratitude for the outpouring of condolences, prayers and support that have come from Kenyans of all walks of life, as well as from friends and well-wishers from around the world.
"The family of the Late Nobel Peace Laureate and the Government will continue to consult to ensure that her farewell is honourable, dignified and befitting her international status."

Source KBC
 

Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
409
kama kweli alipinga ukataji wa miti mbona sasa anachomwa kwani si lazima kuni nyingi zitumike au atachomwa vipi na kama anachomwa kuna vitu kama air pollution itatokea mimi ningekuwa yeye ningesema nizikwe bila jeneza au nizikwe na jeneza la chuma kwa hili ningemkubali kama mwana mazingira kweli kweli au mnasemaje wadau

Sasa mmezidi. Hata kama alikuwa mwana mazingira hatakiwi kunufaika na mazingira hayo aliyoyatunza kwa maisha yake yote. Haendi kuuza mbao. Mbao au kuni zitakazotumika ni chache na baada ya hapa hatatumia chochote katika dunia hii ya mazingira.
 

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
19,406
23,581
watamchoma kwa kutumia gas au makaa ya mawe?labda watamwagia petrol harafu wawashe moto.duh!.rip.mia
 

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,812
12,406
RIP mama Wangari.
Nadhani hakuna uharibifu mkubwa akichomwa moto kuliko angezikwa kwa kutumia majeneza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom