Kuna mtu humu kasema sneper akilenga hakukosi.basi kama ni hivyo na sie tutume huko masneper wengi kuliko kupeleka ma comandoo wakalengwe na sneper.!
Msiba mkubwa .lakini ungetuwekea na picha tukamjua tumo .....!
kadoda11 asante kwa picha ila kuna watoto wameniudhi sana kwenye huu uzi...
_yaani kazi yao kuharibu tu
Na wanatumia simu za wazazi wao ningekuwa na uwezo wangekaa huko huko shule bila likizo hawana adabu!!!
Ni mafunzo gani mwanajeshi anapitia hadi kuwa komandoo?
Komando ni askari aliyepewa mafunzo maalumu kwa ajili ya operesheni maalumu mfano kama kuvamia mahali bila kujulikana na kufanya opersheni na kusepa au kuokoa mateka katika tukio la utekwaji nyara. Na hii training yake ni zaidi ya askari wa kawaida. Sniper ni mlenga shabaha hodari ambaye anajificha mahali ambapo adui hawezi kumuona inaweza ikawa kichakani au kwenye jengo refu. Advantage ya Sniper ni kwamba huwa anajificha kiasi cha kwamba position yake sio rahisi kuwa compromised. Na sipo kuwa compromised anaweza fanya damage kubwa kwa adui. Dhumuni lake ni kuwavizia askari wa adui na kuwachapa risasi bila adui kujua risasi inatokea upande gani. Risasi yake huwa ni moja at a time na huwa anapick specific targets hafyatui risasi tu ovyo ovyo. Mfano huyo comandoo aliyekufa ina maana alikuwa yeye ndo high ranking official na possiblly aklikuwa na kikosi cha makomandoo kama kumi na mbili hivi anaowaongoza kwa hiyo sniper akagundua kwamba huyo ndo yupo incharge ukishoot huyo unakuwa umevuruga formation ya kikosi kizima. Wapo snipers ambao wanakuwa nao ni commando kwa maaana wanakuwa ndani ya kikosi cha komandoo kusaidia kikosi kizima. Mara nyingi katika kikosi kimoja cha askari sita au kumi na mbili lazima na wao huwa wanakuwa na sniper mmoja mahiri. Pia anaweza kuwepo mtu mmoja au wawili ambao wao ni wazee wa assault tu yaani kuchapa risasi at close range. WEngine wanakuwa na majukumu mengine ndani ya kikosi ingawa wote wana silaha ila kila mtu amespecialize kwenye kitu fulani ambacho ni muhimu katika operesheni. Mfano anaweza kuwepo comandoo ambaye yeye ni mtaalafu wa ku hack system za IT au milango maalumu inayofunguliwa ki electronicMsaada tafadhali:
Tofauti Kati ya sniper na commandoo
U hav no respect for the deceased, no remorse to family members and total disrespect to other JF members,,seems like you know everythng,
U must be mentally retarded
afu for the record, marehemu alikua mkufunzi 92KJ
daah we mkuu una dharau
habari na thread hii kuhusu huyu marehemu ililetwa hapa tangu mwaka 2013,lakini haikupata wachangiaji wengi.sijui nini kimepelekea watu kuipa kipaombele sana thread hii leo 2015.anyway,kwa kuwa unataka picha yake,hii hapa.
View attachment 266593
chanzo cha picha:Semboja, Mohamed Jumanne: Rest In Peace, Lt. Commando Rajab Ahmed Mlima - Inna Lillahi wa Inna Lillahi Rajiun
katika maelezo yako " yooooooooooooooote " hapo ulipomtaja tu mwanamume wa east africa na africa kama si dunia " kagame " umenikosha na hayo maelezo yako mengine yote naona ni " pointless " tupu!
Kwa humu kana ujinga sana ama kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ya JF Mtu anashangaa mwanajeshi kufa kwa risasi, au mfuvi kufa kwa maji, dereva kufa kwa ajari ya gari. filamu za marekani zinawadanganya watu, mpaka kufikia, kukosoa fani ambayo hana elimu nayo hata kidogo. Hebu tembeleeni pale you tube, mtafute video ya vita Marekani na Sudani wakati wa Farah Ididy, Muone makomando wangapi waliuwawa.
94 KJ itakua unit ipo kwa babaako
mkuu msamehe bure,
huyu "popo-ma" ni mr. know it all,sisi wengine tushamzoea na kumpuuza siku hizi.porojo,fitina na majungu ya simba na yanga anajua yeye,habari za usalama wa taifa pamoja na za maafisa wake,anajua yeye.habari za paul kagame anajua yeye(kuna wakati humshabikia kagame na hujitambulisha kama mnyarwanda),habari za waandishi wa habari hasa wa magazeti ya IPP na mwananchi,anajua yeye.mgombea atakaye teuliwa kuiwakilisha CCM ktk mbio za uraisi mwaka huu,anamjua yeye(alisha wahi kuja na topic ya huyo mteuliwa wake).
yaani kila jambo anajua yeye almradi tu aonekane anajua.lakini mbaya zaidi ana dharau na hutumia lugha isiyo na staha anapo jadiliana wachangiaji wengine.alivyo "popo-ma",ameamua mpaka kujasili ID zaidi ya moja ili kuendeleza hulka yake ya u-mr. know it all.
aibu ni kwamba round hii kaingia "kimakalio makalio kwa kujifanya" anajua sana habari za JWTZ hasa unit ya commando.uzuri ni kwamba unamuabisha kama ulivyo muaibisha hapo juu kuhusu 92KJ na hiyo 94KJ yake.
CC ANTIBIOTIQUE GENTAMYCINE Mussolin5.
amazing!unamkubali Kagame na kumkataa Mlima!Perhaps you dont know that these are all Monduli products!

CC ANTIBIOTIQUE GENTAMYCINE Mussolin5.[/QUOTE
@Kadoda11 Bahati Mbaya Sana Kale Kamchezo ulikokua unanifanyia Na Ambako ninakapenda Hadi Kila Mara ninakutumia PM unirudie kunifanyia Kwani Muwasho Umenizidi sijakaacha Na Sasa sijaamua Kumrudia Mwenyezi Mungu Na Kutubu Ila Si Vibaya Sana Kama nikamtafuta Mussolin5 Aniendeleza Pale ulipoishia Kwani Hata Yeye Hapo Mwanzo Ndiye Aliyekutangulia Na Hadi naona nanogewa Mno Na Mimi Huku Kila Mara Akinitajataja Na Simtoki Akilini Mwake. Nimemisi Na Jinsi ulivyo Hodari .
ngoja nikuongezee na zingine ulizozisahau ANTIBIOTIQUE huyo huyo anajifanya anajua masuala ya elimu, huyo huyo tena anajifanya anajua masuala ya mapenzi, huyo huyo tena anajifanya anajua mambo ya uchawi, huyo huyo tena anajifanya anajua mambo, habari za kimbea mbea zote anazijua pia, habari za mahospitalini pia anajifanya anazijua, habari za vyombo vyote vya habari navyo anajifanya anazijua, habari za marehemu na ukimwi pia hujifanya anazijua na usisahau pia kwamba hata habari ya kwamba " umezalishwa " pia mtoto hivi majuzi nayo najifanya nimeifahamu. hicho kikosi cha makomandoo wenu uchwara niwe nimepatia au nimekosea mimi wananihusu nini? mngekuwa mna makomandoo shupavu wangedunguliwa kizembe zembe namna hiyo? si bora tu mngetuongopea tungewaelewa kuliko kutuambia " live " kuwa amedunguliwa? kuhusu kuniaibisha sidhani kama nimeaibika kwani humu hatujuani na wala hatutajuana hivyo hoja yako hii ni " mfu " na mwisho kuhusu kuwa na id zaidi ya moja sidhani kama mimi ndiyo huyo uliyemtaja hapo mwingine lakini hata kama nikiwa ndiyo mimi wewe kinakuuma nini? wewe ndiyo mmiliki wa forum hii mpaka utupangie sisi members kuwa tuwe na id's moja humu jf? wenye nayo wametulia tuli lakini " mangumbaru " nyie maneno yote yanawatoka kama vipi kwanini basi na nyie msianzishe forums zenu ili muweke hizo regulations zenu za " kipoyoyo? ". na mtanichukia sana mwaka huu na sitobadilika eti kwa kuwaogopeni nyie. kuna mtu anayeniwekea " bundle " la mimi kuwa humu? halafu inaonekana watu mnanikubali na kama ingekuwa ni hiari yenu mngekubali labda niwe " mr " wenu japo kuwa wengi wenu wenye " vijino " pembe na mimi ni watoto wa kiume sasa sijui wenzangu nyie mkiongozwa na kadoda11 na Mussolin5 siyo " rizki ".