Mwili haujengwi kwa matofari bhana!!!!

Mwili haujengwi kwa matofari bhana!!!!

azam mpaka london....
au london ya mwembe chai?
 
haya bhana mm ugali wa mihogo na mlenda pembeni
 
London km manzese kwa mfugambwa.wengine mmesafiri kwenda ughaibuni kula
 
Wandugu...hiyo B/fast hata Bakharessa halagi hivyo, Ninaamini MaBillionea wapo katika strict diet !!Lakini mwenzetu mashaallah.... !! bado na soda akitoka nje mmmh Mkuu angalia usipigwe jicho!
life is Short london kuna raha sana aisee.........
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 20131107_171941.jpg
    20131107_171941.jpg
    153.2 KB · Views: 55
Last edited by a moderator:
Hapo lazima itakuwa half-london,
Full-London hamna vitumbua...!!
Si unajua vitumbua lazima vipikwe kwa kutumia jiko la mkaa..!!
Hahahahaha.
Nimecheka mpaka basi.
 
Unaona rahaaa kujijazia miyai ya kichina
Siyo ya kichina wewe.
Hii kitu ni ya asili iko imported from Kenya.
Hapa london tunanunua kwa £17 kwa trey,ambayo ni sawa na around 42,500 tsh.
 
Back
Top Bottom