Mwili haujengwi kwa matofari bhana!!!!

Mwili haujengwi kwa matofari bhana!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
950

Attachments

  • 20131107_133209.jpg
    20131107_133209.jpg
    227 KB · Views: 1,519
Last edited by a moderator:
Hayo mayai na ile tabia ya kupumua kwa nyuma sikushauri kabisa kutumia hiyo kitu
 
london cafe ya magomeni kagera au ipi?
 
Hivi wewe CHAI CHUNGU hadithi zako umesitisha kabisa kutuletea tena??
rudi bhana na hadithi wenzio tumezimis sana
 
Last edited by a moderator:
mie nilifikiri london kotee kuna tiles!!! doooh sakafu nyekundu stail ya zamaaaniiiiii!!!:smile-big:
 
Kwa huo mkao itakuwa ni mashariki ya kati
 
mie nilifikiri london kotee kuna tiles!!! doooh sakafu nyekundu stail ya zamaaaniiiiii!!!:smile-big:
Siye huku london lika kitu ni ndani tuu.
Hakuna choo cha shimo kama kwa MTOGOLE.
 

Attachments

  • 20131107_161209.jpg
    20131107_161209.jpg
    181 KB · Views: 107
ukila mayai sana yanafanya mtoto achelewe kuota nywele
 
Back
Top Bottom