Mwijage na majibu bungeni!!

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
44,578
82,984
Naangalia Mwijage anajibu maswali bungeni now, unaona kabisa kuwa huyu ni msanii, anajibu bora amesimama, akijua nothing is going to happen hata akijibu hovyo! Pathetic! Angelijua kuna kuwajibishwa angelitumia muda kidogo kufikiri kabla ya kutoa majibu!
Watoto wa mjini mnaitaje vile??? "anapiga sound"????
 
He is one of the hopeless Ministers kwa sasa..

Anasema anatekeleza sera ya Viwanda but exactly he knows hii sera haitofanikiwa kamwe..

Mfano mdogo tu unaoakisi kufeli kwa sera ya Viwanda... Bajeti ya Maendeleo kwa Wizara yake ya 2016/17 ilikuwa 42Bil. Zilizotolewa ni 7Bil tu.
 
Back
Top Bottom