Mwigulu unampigia nani kelele bungeni

Tuna kula kwa urefu wa kamba zetu . Aache kutupigia kelele . Kwanza yeye ni mbunge wa kupachikwa , sio wa kuchaguliwa na watanzania.
 
Mwigulu amekuwa alitoa hoja kwa hisia kali sana na kupiga kelele kama vile anaongea na wezi. Wabunge karibu wote ni fake wa chama chako sasa lawama za nini na kwa nani hasa. Makelele makalele ni kwa nani?

Hivi hakuna watu wengine wangeweza kufanya vizuri kuliko jamaa huyu ambaye ameshaanza kujilimbikizia mali . Kafanye biashara zako za mabasi waachie wakina Dr Kimei wafanye kazi
Waacheni vibaka wa Magufuli wafokeane.
 
Kichaa kinamrudia...
 
gubu sio jambo jema kwa afya 🐒
 
Ana fake uzalendo😂😂
 
Anadai wafanyabiashara mmepewa idhini ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali, hamzileti,

Eti hayo ni Kweli?

Kiukweli Mapato tra yameshuka sana hapo hapo tunaambiwa wamevuka lengo

Sijui hapo unachukua kipi na kuacha kipi!!
Nadhani kuna kitu WF hajakitizama vizuri!

Tatizo kubwa kwa Biashara Nyingi ni pale Umeme ulipokuwa unakatika sanaaa!

Viwanda viliparalyse!

Lazima effect zake zianze kuonekana sasa!

Nguvu kubwa iende kwenye kuimarisha upatikanaji wa hii nishati then Hazina itajaa pesa tu!

Wafanyabiashara siku hizi wanaona Fahari ya kulipa kodi lakini ni lazima kuwepo na balance kutoka upande wa Pili!

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom