Mwigulu, Ulisema ujenzi wa SGR utagharimu Sh4.89 trilioni lakini mkataba umesainiwa Sh6.34 trilioni. Ongezeko la Sh1.45 trilioni. Maelezo?

Lisu, Zito, Mbowe wako kimya
e6433aabdba6dea917241d90cc86e1d8.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa hili jinsi lilivyo kwa viongozi tulionao hatuwezi kupga hatua hasa kwa watu wa chini. Sana sana maisha yataendeleaga kuwa magumu tu kwa watu wa chini kwa tumekubali kudanganywa na viongozi wetu na sisi watu wa chini tunakubali kwa yote tunayoambiwa.
 
Toka wale wamasai watimuliwe kwa mitutu kule ngorongoro na bandari kumilikishwa na waarabu ndo nikaamini hii nchi wakubwa wakitaka na kufanya lao hakuna mbwa wakuulizaaa kitu...!! kenya wako mbali sana kidiplomasia wanaweza kuhoji hadharani na mahakama ikatenda haki japo sio kwa asilimia zote.
 
Back
Top Bottom