Zaidi ya Tsh. Trilioni 1 zimepigwa kwenye ujenzi wa Reli ya SGR

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
construction corporation (CCECC) kwa utaratibu wa manunuzi wa zabuni zisizoshindanishwa (single source) tangu mwezi June 2022

Hapa ipo tofauti. Hotuba ya Mwigulu ya bajeti alisema ni 514km, lakini Shirika la Reli Tanzania (TRC) wamesaini mkataba wa kujenga 506km. Kuna pungufu ya 8km. Mwigulu alisema ujenzi utagharimu Sh4.89 trilioni lakini mkataba umesainiwa Sh6.34 trilioni. Ongezeko la Sh1.45 trilioni.

Mkurugenzi Mkuu (TRC), Masanja Kadogosa amesema Mikataba haitakuwa na mabadiliko ya bei, ikijumuisha vitu vya ujenzi, hivyo ongezeko la $1.304bn (30.3%, kwa maana ya thamani ya fedha) HALIPO. Ongezeko la Sh1.45 trilioni kwenye bajeti kuu ya serikali na mkataba imetoka wapi?

Katika mfumo wa TANePS (Tanzanian National e-Procurement System), Mkandarasi CCECC alipewa zabuni ya ujenzi wa SGR Tabora-Kigoma kwa Sh6.69T. Tofauti ya bajeti ya Mwigulu na TANePS ni Sh1.85T. Tofauti ya bajeti ya Mwigulu na mkataba (TRC na CCECC) ni Sh1.45T. Lipo TATIZO.

Mwigulu Nchemba wakati akisoma bajeti kuu ya serikali 2022/2023 alisema “serikali imeanza mchakato” wakati ukweli ni kwamba Mkandarasi China Civil Engineering construction corporation alikuwa tayari amepewa zabuni tangu 04.04.2022 kwa utaratibu wa ‘single source’.

Mkandarasi China Civil Engineering construction corporation (CCECC) alipewa hii zabuni kwa utaratibu wa bila ushindani
 
Zimeingia kwenye mzunguko kitaleta kitu wachumi wanaita multiplier effect kwenye jamii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Kunamwamba mtaani kwetu kajenga bonge la hotel na alikuwa mweka mafuta tu kwenye maskaveta na malori ila now nitajir wa kufa mtu sasa naamini huo maradi watu wameiba mpaka basi dah
 
Maandalizi ya uchaguzi majimboni kwao, mafuta za V8 zao, fulana na kofia za kugawa bure
 
construction corporation (CCECC) kwa utaratibu wa manunuzi wa zabuni zisizoshindanishwa (single source) tangu mwezi June 2022

Hapa ipo tofauti. Hotuba ya Mwigulu ya bajeti alisema ni 514km, lakini Shirika la Reli Tanzania (TRC) wamesaini mkataba wa kujenga 506km. Kuna pungufu ya 8km. Mwigulu alisema ujenzi utagharimu Sh4.89 trilioni lakini mkataba umesainiwa Sh6.34 trilioni. Ongezeko la Sh1.45 trilioni.

Mkurugenzi Mkuu (TRC), Masanja Kadogosa amesema Mikataba haitakuwa na mabadiliko ya bei, ikijumuisha vitu vya ujenzi, hivyo ongezeko la $1.304bn (30.3%, kwa maana ya thamani ya fedha) HALIPO. Ongezeko la Sh1.45 trilioni kwenye bajeti kuu ya serikali na mkataba imetoka wapi?

Katika mfumo wa TANePS (Tanzanian National e-Procurement System), Mkandarasi CCECC alipewa zabuni ya ujenzi wa SGR Tabora-Kigoma kwa Sh6.69T. Tofauti ya bajeti ya Mwigulu na TANePS ni Sh1.85T. Tofauti ya bajeti ya Mwigulu na mkataba (TRC na CCECC) ni Sh1.45T. Lipo TATIZO.

Mwigulu Nchemba wakati akisoma bajeti kuu ya serikali 2022/2023 alisema “serikali imeanza mchakato” wakati ukweli ni kwamba Mkandarasi China Civil Engineering construction corporation alikuwa tayari amepewa zabuni tangu 04.04.2022 kwa utaratibu wa ‘single source’.

Mkandarasi China Civil Engineering construction corporation (CCECC) alipewa hii zabuni kwa utaratibu wa bila ushindani
Na Mama yuko kimya akila kungu
 
Back
Top Bottom