Tumbo kubwa lile kama puto la china anaongea nini la maanaMama umesingiziwa hata alipobanwa na spika bado alishindwa kukana kuhusika kwako kuidhinisha malipo serikalini. Katiba ipo wazi wewe siyo muidhinishaki wa mapato serikalini. Kama unakumbatia kuidhinisha upigaji huu basi unakiuka hata Katiba. Wape mbuzi wa Pasaka yatima wetu lakini kwa watanzania zawadi pekee ya Pasaka ni kutuondolea mtu huyu leo. Aende akasimamie timu yake ya SBS na mabasi yake.
Mwigulu yupo sahihi Rais ndio analipaSijaona uhusiano wa alichofanya Petro na Mwigulu kwenye pasaka kulingana na mada yako
Mwigulu ni taasisi, hawezi kutupisha. Ona wanavyojitetea.Kabla Jogoo Hajawika Mwigulu Atupishe Haraka Sana
Hakuna kitu kama hicho,walioiba wawe wengine harafu akina Mwigulu wawajibike Kwa lipi hasa?Mama umesingiziwa hata alipobanwa na spika bado alishindwa kukana kuhusika kwako kuidhinisha malipo serikalini. Katiba ipo wazi wewe siyo muidhinishaki wa mapato serikalini. Kama unakumbatia kuidhinisha upigaji huu basi unakiuka hata Katiba. Wape mbuzi wa Pasaka yatima wetu lakini kwa watanzania zawadi pekee ya Pasaka ni kutuondolea mtu huyu leo. Aende akasimamie timu yake ya SBS na mabasi yake.