Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

Status
Not open for further replies.
Atumie atakavyo,cha msingi kazipataje?inashangaza kusikia watu wanahoji matumizi ya fedha halali,huku vibaka wa taifa km jk wa bagamoyo na kampani yake wanaachwa.
 
Jamani, jamani, jamani!
Kuna ubaya gani (kwa Tanzania) mtu kusomesha watoto wake?
Ni Mbowe peke yake au wamejaa tele nchini, wengine wanasomesha watoto wao nje, wanatibiwa nje, wanakwenda shopping nje.

Ikiwa mtu anasomesha watoto wake, kunamvunjia haki ya kuwatetea wasio kuwa nacho, au mlitaka hizo $10 au 15,000 asomeshe watoto wote wa Tanzania?

Here we're again, discussing people instead of ideas.
 
Wanabodi.

Mbunge wa Iramba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba, leo kwenye Mkutano wa CCM Morogoro, akihutubia Wananchi kasema Mbowe anasema anataka kuwakomboa masikini na kulalamika viongozi wa CCM wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa pesa nyingi wakati yeye Mbowe, anamlipia chekechea tu mtoto wake dola 15,000 kwa mwaka zaidi ya milioni 20.

SOURCE: HABARI STAR TV

It sounds foolish because it is foolish. It also shows your complete ignorance on everything.
 
Katika uzi kama huu ndio utakapowajua CDM, yaani kama wana akili za kushikiwa, wanatetea kila jambo!

Hivi kwa akili zenu, ada kwa mwaka chekechea karibu milioni 20 useme haina shida?

ukifikiri vizuri utajua kuwa si shida hata kama ingekuwa ml 200,shida kazipateje....think big dud!
 
Nashukuru kwa Report yako Gamba. Mim naomba nijiulize maswali yafuatayo, kwanza hiyo chekechea anayosoma huyo mtoto ipo nchi gani? Pili kama ni Tanzania, je serikali ya magamba haioni kama wao ndio tatizo kuruhusu ada ya shule ndani ya nchi yetu kulipwa kwa dola? Na je kama shule ambazo zina exmption ya kodi zinatoza ada kwa bei kubwa hivyo haina sababu ya kuwaondolea kodi watu hawa? Maana watakuwa wanatuibia tu. Tatu Je watakubaliana na mim ya kuwa mfumo wao mbovu wa elimu ndio unatusababishia haya yote? Na hapa serikali itakubaliana na mim ya kuwa wao ndio wanaweka tabaka la matajiri na la maskin? Maana lazima tukubali hakuna mzazi asiyependa kumpa elimu bora mtoto wake.. Maana elimu ndio urithi pekee.. Je elimu ya Tanzania ingekuwa bora na sio bora elimu kunamtu angeangaika kumpeleka mtoto wake shule ya gharama hivyo? Hakuna atakayebishana na mim, mfumo wa elimu yetu ni mbovu mbovu hakuna mfano... Tusipokuwa makin taifa letu litaangamia... Tunapaswa kujua je serikal yetu inania ya dhati kutusaidia watanzania? Elimu ndio ufunguo wa maisha.. Hoja kama hizi iztufanye kufikiri postive zaidi tusilalamike tu.
 
Tume ya Katiba, Ritz wote nyie mnatumia makamasi katika kutoa maoni yenu kuhusu uwezo matumizi ya Us$ 10,000 kulipia ada ya mtoto.Kwa Tanzania hapa kuna shule kama ISM -mOSHI NI Shule ghali na muundo wa ufundashaji wake gharama hiyo ni ya kawaida kabisa,Ukifika kwenye shule ile ni watz wachache wenye kusomesha watoto wao pale na ambao wanajua umuhimu wa shule na ubora wake ndio wanaosmesha watoto wao pale.NI MTU MGONJWA WA AKILI MWENYE UWEZO KIFEDHA ATAKAYEKUBALI MTOTO WAKE KUSOMA KATIKA SHULE ZA SERIKALI AU CHACHE ZA BINAFSI MAANA KUFANYA HIVYO NI KUMFANYA KUWA CHAKKULA CHA CCM NA VIONGOZI WAKE.KAMA MBOWE ANASOMESHA MTOTO WAKE KATIKA SHULE BORA NDIO MAANA ANAPINGA UDHAIFU WA SHULE ZA KATA AMBAZO CCM NA SERIKALI YAKE IMEAMUA KUFANYA VIWANDA VYA WATUMWA KWA WATANZANIA MASKINI.
 
Katika uzi kama huu ndio utakapowajua CDM, yaani kama wana akili za kushikiwa, wanatetea kila jambo!

Hivi kwa akili zenu, ada kwa mwaka chekechea karibu milioni 20 useme haina shida?

sasa kuna tatizo gani kama anamsomesha mwanae kwa kutumia kipato chake halali?? hoja yako haina mashiko.
 
1. Kwani pale bilikanaz wanaingiza faida shilingi ngapi kwa mwezi??
2. Yeye mbowe kwa mwezi mshahara wake ni kiasigani??
3. Mkewe mbowe naye mshahara wake ni kiasigani kwa mwezi??

ukipata majibu ya hayo hapo juu ndipo umjadili kwanini anamsomesha mwanae chekechea kwa pesa hiyo.
 
Upumbafu na ujinga ni vitu vinavyo tafuna akili za makada na wanchama wa ccm, urithi pekee kwa mtoto ni elimu bora, wewe mwigulu kama unataka na wototo wako akulipie hiyo ada kamuombe akusaidie! pesa ni yake huna akili pamoja na first class yako. ningekuona wa maana kama ungehoji anapata wapi pesa kuliko kuhoji matumizi yake tena kwa kusomesha wototo wake! acha ujinga wewe.
 
Wanabodi.

Mbunge wa Iramba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba, leo kwenye Mkutano wa CCM Morogoro, akihutubia Wananchi kasema Mbowe anasema anataka kuwakomboa masikini na kulalamika viongozi wa CCM wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa pesa nyingi wakati yeye Mbowe, anamlipia chekechea tu mtoto wake dola 15,000 kwa mwaka zaidi ya milioni 20.

SOURCE: HABARI STAR TV

Ritz kama Mwigulu angekanusha hayo ya kwenye RED ndo angeweza kuanzisha tuhuma nyingine dhidi ya kamanda. Kama alishindwa kukanusha basi ni kweli CCM wanakwiba pesa za maendeleo na wanadai wanawaletea watanzania maendeleo.
 
Mwigulu na first class degree yake bado haelewi nini watu wanaongea! The issue is not about how much you have but rather how you got the money? Ni kwa mtindo wa vijicent, EPA, Deep Green? au kuwa kupitia magezeti, a night club!

Lakini kinachonichekesha ni contradiction ya CCM, wanalalamikia hela za Mbowe, lakini hapo hapo wanaponda aina ya biashara anazofanya!!! Si hawa hawa CCM wamekuwa wanaongelea biashara ya ukumbi wa disco kama biashara uchwara? Mwenzao hachagui kazi na hela kapata, tofauti na wao wanavamia bank kuu na kuiba hela!
Serikali ya Mapinduzi inatakiwa kumshukuru sana Mh mbowe kwa kuisaidia kukusanya kodi..... yeye kuuza Pombe ambayo inawasaidia sana serikali kupata kodi kwasababu Vinjwaji ndo sehemu pekee inayochangia pato la serikali kwa kiasi kikubwa sana.

Imagine CHIBUKU wanalipa kodi kubwa kuliko kampuni ya madini............CCM bana!!!:A S 112::A S 112:
 
Acha umbeya wewe............
Kuwa mwanaume, soma vitu vwenye maana............gonga hapa..m.guardian.co.uk

Wanabodi.

Mbunge wa Iramba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba, leo kwenye Mkutano wa CCM Morogoro, akihutubia Wananchi kasema Mbowe anasema anataka kuwakomboa masikini na kulalamika viongozi wa CCM wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa pesa nyingi wakati yeye Mbowe, anamlipia chekechea tu mtoto wake dola 15,000 kwa mwaka zaidi ya milioni 20.

SOURCE: HABARI STAR TV
 
Mapenzi yenu kwa chama yasiwafanye kuwa vipofu, 20 M kwa chekechea kwa mwaka tena TZ ni pesa nyingi sana, kwa mtu anayedai kuwatetea watanzania

Nitajie shule hiyo nimpeleke mwanangu, lazima atakuwa intelligent. Pesa ninayo, juzi nimepata mgao wangu wa Twiga wangu aliyeuzwa na Maige?
 
Serikali ya Mapinduzi inatakiwa kumshukuru sana Mh mbowe kwa kuisaidia kukusanya kodi..... yeye kuuza Pombe ambayo inawasaidia sana serikali kupata kodi kwasababu Vinjwaji ndo sehemu pekee inayochangia pato la serikali kwa kiasi kikubwa sana.

Imagine CHIBUKU wanalipa kodi kubwa kuliko kampuni ya madini............CCM bana!!!:A S 112::A S 112:

Serikali inategemea hela za bia na sigara..... bila kujali sigara ni hatari kwa afya za binadamu na wadudu. Nyambaf!
380197_266724070090542_100002588520380_536873_969227197_n.jpg
 
wana CCM kumbe sasa hamuuzi tena sera mnapambana na bajeti binafsi za watu ambao vipato vyao ni halali?
Ritz usitufikirie tuna upungufu wa akili sisi.Kwa hiyo wa kwako si ajabu wanasoma shule ya kata?Yaani njia ya kuwakomboa watanzania ni wewe kuua watoto kwa njaa na ukosefu wa elimu bora?Wenzio sisi tuna chama ambacho awali kilikuwa cha kufa na kuzikana tukagundua ni bora kiwe cha kusoma na kusomesha watoto wetu wasijeishia kuwa house boys/girls wa MAFISADI!,kwa hiyo Ritz na wengineo somesheni watoto kwa bei mbaya iwezekanavyo badala ya kutumia pesa chafu kuibia kura
 
Chadema mtu kidogo mwenye harufu ya uadilifu ni dakta Slaa, hao akina Mbowe,Zitto ni mafisadi kama wa ccm, huyu Mbowe mpaka leo anapiga chenga kulipa deni alanodaiwa na nssf kwa kweli si muadilifu hata chembe.hafai,hafai,hafai
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom