Wanabodi.
Mbunge wa Iramba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba, leo kwenye Mkutano wa CCM Morogoro, akihutubia Wananchi kasema Mbowe anasema anataka kuwakomboa masikini na kulalamika viongozi wa CCM wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa pesa nyingi wakati yeye Mbowe, anamlipia chekechea tu mtoto wake dola 15,000 kwa mwaka zaidi ya milioni 20.
SOURCE: HABARI STAR TV
Katika uzi kama huu ndio utakapowajua CDM, yaani kama wana akili za kushikiwa, wanatetea kila jambo!
Hivi kwa akili zenu, ada kwa mwaka chekechea karibu milioni 20 useme haina shida?
It sounds foolish because it is foolish. It also shows your complete ignorance on everything.
Katika uzi kama huu ndio utakapowajua CDM, yaani kama wana akili za kushikiwa, wanatetea kila jambo!
Hivi kwa akili zenu, ada kwa mwaka chekechea karibu milioni 20 useme haina shida?
Wanabodi.
Mbunge wa Iramba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba, leo kwenye Mkutano wa CCM Morogoro, akihutubia Wananchi kasema Mbowe anasema anataka kuwakomboa masikini na kulalamika viongozi wa CCM wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa pesa nyingi wakati yeye Mbowe, anamlipia chekechea tu mtoto wake dola 15,000 kwa mwaka zaidi ya milioni 20.
SOURCE: HABARI STAR TV
Serikali ya Mapinduzi inatakiwa kumshukuru sana Mh mbowe kwa kuisaidia kukusanya kodi..... yeye kuuza Pombe ambayo inawasaidia sana serikali kupata kodi kwasababu Vinjwaji ndo sehemu pekee inayochangia pato la serikali kwa kiasi kikubwa sana.Mwigulu na first class degree yake bado haelewi nini watu wanaongea! The issue is not about how much you have but rather how you got the money? Ni kwa mtindo wa vijicent, EPA, Deep Green? au kuwa kupitia magezeti, a night club!
Lakini kinachonichekesha ni contradiction ya CCM, wanalalamikia hela za Mbowe, lakini hapo hapo wanaponda aina ya biashara anazofanya!!! Si hawa hawa CCM wamekuwa wanaongelea biashara ya ukumbi wa disco kama biashara uchwara? Mwenzao hachagui kazi na hela kapata, tofauti na wao wanavamia bank kuu na kuiba hela!
Wanabodi.
Mbunge wa Iramba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba, leo kwenye Mkutano wa CCM Morogoro, akihutubia Wananchi kasema Mbowe anasema anataka kuwakomboa masikini na kulalamika viongozi wa CCM wanasomesha watoto wao nje ya nchi kwa pesa nyingi wakati yeye Mbowe, anamlipia chekechea tu mtoto wake dola 15,000 kwa mwaka zaidi ya milioni 20.
SOURCE: HABARI STAR TV
Mapenzi yenu kwa chama yasiwafanye kuwa vipofu, 20 M kwa chekechea kwa mwaka tena TZ ni pesa nyingi sana, kwa mtu anayedai kuwatetea watanzania
Serikali ya Mapinduzi inatakiwa kumshukuru sana Mh mbowe kwa kuisaidia kukusanya kodi..... yeye kuuza Pombe ambayo inawasaidia sana serikali kupata kodi kwasababu Vinjwaji ndo sehemu pekee inayochangia pato la serikali kwa kiasi kikubwa sana.
Imagine CHIBUKU wanalipa kodi kubwa kuliko kampuni ya madini............CCM bana!!!:A S 112::A S 112:
Sio kila kitu cha Mbowe lazima ukijue vitu vingine ni vyake binafsi...wewe unawajua watoto wote wa Mbowe?