Mwigulu Nchemba Kuropoka Unamuharibia Rais

Imagine mtu impatient kama huyo na asiekuwa na persuasive language ndio angekuwa waziri wa fedha si balaa huko kwenye kutafuta fedha za nje.

Halafu sasa udhani kama ata kasoma sababu hadi kupayuka ovyo. Walichosema WB ni mmoja wa decision maker kaomba zoezi liwe postponed baada ya kujitokeza viherehere dizaini ya kina Zitto.

Hila as far as they’re concerned kwa wao hakuna tatizo kutokana na ushauri wa mwakilishi wao wa region.

Halafu sasa kwenye international arena barua za wapuuzi zinapofika kwenye international media zinaibua hisia za international pressure groups and activists wa maswala husika.

Kukwepa lawama ya kuwa WB ina support serikari zenye sera kandamizi its logical for WB kuweza kuona umuhimu wa kulitolea ufafanuzi hilo swala na jinsi hela itakavyotumika hili kulinda reputation yao.

Whatever the reason sio muda wa povu kwa mtu makini, huyu Mwigulu lazima kavurugwa sehemu sio bure.
 
kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hata mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kike kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea? Nani anaweza kutoa ushahidi katika awamu ya JKN, MWINYI, MKAPA na JAKAYA mwanafunzi fulani alipata ujauzito akaenda kujifungua akarudi shule ya Serikali. Kasomeni Sheria na kanuni za Wizara ya Elimu kuhusiana na sheria za shule za Serikali.
Kuna wasichana watatu nawafahamu walipata ujauzito na wakajifungua ila baadae walirudi shule na kufaulu vizuri tu, ingawa hazikuwa shule ambazo walikuwa wanasoma awali ila zilikuwa za Serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza Mwigulu Nchemba siyo jina lake halisi. Jina lake halisi ni Lameck Madelu. Rudi kijijini kaulize kwa Wazee wa Iramba wakakwambie kwa nini unaitwa jina la lugha ya Wasukuma wakati wewe ni Mnyiramba. Laiti ungejua kuwa mama yako alibakwa na wafugajj ndipo akatunga mimba na ukazaliwa wewe basi usingeendelea na msimamo wa kukejeli watoto wanapata mimba wakiwa mashuleni.

Kama miaka ile ya awamu ya kwanza wange wa-demonize watoto wa shule za msingi, hata wewe Mwigulu Nchemba usingekuwa hapo ulipo
Jamani, mbona tena matusi hadi kwa mamake?? Kabakwa ulikuwepo?? Mnafika hadi kolomije kumchunguza hata jina. Nasema, mtukane Lameck ila mamake msimtukane. Kubakwa hadi mimba sio sifa ni udhalilishaji wa mbakwaji
 
Ni dhahiri Mh. Rais hakukosea kumtoa Mwigulu nchemba kwenye barraza la mawaziri. Waziri wa mambo ya nje na wengine wanapambana kutumia lugha ya diplomasia kuomba tusaidiwe, mwigulu nchemba yeye anatukana world bank bila kusahau bado yuko serikalini na kwenye chama tawala na alikuwa Waziri mwandamizi.

Ndugu yangu mwigulu, hapa umebugi stepu. Umeharibu, kama ni utetezi au kutaka kurudi kwenye baraza, haiwezekani. Pole sana kwa matusi yako kwa world Bank. Usisahau hawa watu wanafadhili miradi mingi na ndio mshirika pekee wa maendeleo alobakia. Use common sense bro. Naona huko kwenye ile kundi la wanaomhujumu Rais kijanja

View attachment 1338276
Amesahau waziri wa mambo ya ndani amesha teuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hata mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kike kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea? Nani anaweza kutoa ushahidi katika awamu ya JKN, MWINYI, MKAPA na JAKAYA mwanafunzi fulani alipata ujauzito akaenda kujifungua akarudi shule ya Serikali. Kasomeni Sheria na kanuni za Wizara ya Elimu kuhusiana na sheria za shule za Serikali.
Naamini hao mabeberu hawakuwa na hizi taarifa.
 
Ni dhahiri Mh. Rais hakukosea kumtoa Mwigulu nchemba kwenye barraza la mawaziri. Waziri wa mambo ya nje na wengine wanapambana kutumia lugha ya diplomasia kuomba tusaidiwe, mwigulu nchemba yeye anatukana world bank bila kusahau bado yuko serikalini na kwenye chama tawala na alikuwa Waziri mwandamizi.

Ndugu yangu mwigulu, hapa umebugi stepu. Umeharibu, kama ni utetezi au kutaka kurudi kwenye baraza, haiwezekani. Pole sana kwa matusi yako kwa world Bank. Usisahau hawa watu wanafadhili miradi mingi na ndio mshirika pekee wa maendeleo alobakia. Use common sense bro. Naona huko kwenye ile kundi la wanaomhujumu Rais kijanja

View attachment 1338276
This outcast is completely sick....Anafikiri akiweka alama x kila jambo atamkumbuka.Hizi Phd za Udsm ni ujinga mtupu
 
hivi ulaya huwa wanadeal vipi na wanafunzi kupata mimba mashuleni?

sijawah kusikia mzungu kafungwa jela kwa kumpa mwanafunzi mimba

pia sijawah kusikia msichana kafukuzwa kwa kupata mimba2
 
kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hata mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kike kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea? Nani anaweza kutoa ushahidi katika awamu ya JKN, MWINYI, MKAPA na JAKAYA mwanafunzi fulani alipata ujauzito akaenda kujifungua akarudi shule ya Serikali. Kasomeni Sheria na kanuni za Wizara ya Elimu kuhusiana na sheria za shule za Serikali.
Kwakua yalifanyika awamu ya kwanza basi yaachwe. Kwanini unatumia mobile phone wakati haikuwepo awamu ya kwanza?
 
hivi ulaya huwa wanadeal vipi na wanafunzi kupata mimba mashuleni?

sijawah kusikia mzungu kafungwa jela kwa kumpa mwanafunzi mimba

pia sijawah kusikia msichana kafukuzwa kwa kupata mimba2
Wanapewa elimu juu ya mfumo wa uzazi, wanaopenda wanapewa dawa za kuzuia mimba, wanaopata mimba wanapewa option ya abortion na ikitokea mtoto ameamua kuzaa basi school nurse atampa elimu ya afya na lishe bora, atapimwa uzito mara moja kwa mwezi mpaka ajifungue. Akijifungua anaweza kuhamishwa shule akaanze upya ukurasa mpya wa maisha yake.
 
hivi ulaya huwa wanadeal vipi na wanafunzi kupata mimba mashuleni?

sijawah kusikia mzungu kafungwa jela kwa kumpa mwanafunzi mimba

pia sijawah kusikia msichana kafukuzwa kwa kupata mimba2
Sio Ulaya, South Africa hapo chini, mwanafunzi akipata ujauzito, kwanza analipwa Allowance na anapewa nafasi ya kuendelea na kumalizia masomo yake pale alipokuwa ameishia, hapa kwenu wanaadhibu watoto wa kike ilhali wale wa kiume waliowapa mimba wanachwa wanaendelea na masomo yao
 
Nakubaliana na wewe hii sheria haijawahi badilika tatizo la sasa tuko outpoken sana ukimchukia jirani inaweza kuwa ya moyoni kwako sio lazima kutangaza
kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hata mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kike kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea? Nani anaweza kutoa ushahidi katika awamu ya JKN, MWINYI, MKAPA na JAKAYA mwanafunzi fulani alipata ujauzito akaenda kujifungua akarudi shule ya Serikali. Kasomeni Sheria na kanuni za Wizara ya Elimu kuhusiana na sheria za shule za Serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hata mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kike kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea? Nani anaweza kutoa ushahidi katika awamu ya JKN, MWINYI, MKAPA na JAKAYA mwanafunzi fulani alipata ujauzito akaenda kujifungua akarudi shule ya Serikali. Kasomeni Sheria na kanuni za Wizara ya Elimu kuhusiana na sheria za shule za Serikali.
IPO siku mtasema kwamba waliopata mimba hata wakiendelea kusoma private ,hawataajiliwa serikalini kwakua walipata mimba shule za serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hata mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kike kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea? Nani anaweza kutoa ushahidi katika awamu ya JKN, MWINYI, MKAPA na JAKAYA mwanafunzi fulani alipata ujauzito akaenda kujifungua akarudi shule ya Serikali. Kasomeni Sheria na kanuni za Wizara ya Elimu kuhusiana na sheria za shule za Serikali.
Sasa kama utaratibu huo upo na unafahamika kulikuwa na sababu gani ya jiwe kuropoka
 
Imagine mtu impatient kama huyo na asiekuwa na persuasive language ndio angekuwa waziri wa fedha si balaa huko kwenye kutafuta fedha za nje.

Halafu sasa udhani kama ata kasoma sababu hadi kupayuka ovyo. Walichosema WB ni mmoja wa decision maker kaomba zoezi liwe postponed baada ya kujitokeza viherehere dizaini ya kina Zitto.

Hila as far as they’re concerned kwa wao hakuna tatizo kutokana na ushauri wa mwakilishi wao wa region.

Halafu sasa kwenye international arena barua za wapuuzi zinapofika kwenye international media zinaibua hisia za international pressure groups and activists wa maswala husika.

Kukwepa lawama ya kuwa WB ina support serikari zenye sera kandamizi its logical for WB kuweza kuona umuhimu wa kulitolea ufafanuzi hilo swala na jinsi hela itakavyotumika hili kulinda reputation yao.

Whatever the reason sio muda wa povu kwa mtu makini, huyu Mwigulu lazima kavurugwa sehemu sio bure.
Wazungu ni watu wema sana kuliko viongozi wa kiafrika!Wanatusaidia pmj na MiPhd yetu kutoka jalalani kwamba mtoto aliyechini ya miaka 18 hana uhuru wa kutosha katika kufanya maamuzi ni peer thinking hivyo anahitaji kusaidiwa akipata ujauzito lakini pia sio wote wanapata ujauzito kutokana na viherehere vyao lahasha wengine wanabakwa au kushawishiwa kutokana na mazingira duni ya kiuchumi,wengi wamepata ujauzito kwa kupewa msosi tu,hvyo tuwapinge akina Mwigulu na wengine wenye mawazo finyu kuhusu haki ya mtoto wa kike kupata elimu.Ebu tutumie common sense tu hvi mzungu ananufaika ninini katika hili?je mabinti hawa ni makenikia mpaka tuambiwe tunaowasupport sio wazalendo (unpatriotic) kama asemavyo Mwigulu na Phd yake?Sijui miafrika tukoje ndio inferiority complex.
 
Sasa kama utaratibu huo upo na unafahamika kulikuwa na sababu gani ya jiwe kuropoka
Najua huyo kenge hawezi kukujibu alaf jiwe anafikiri akiongea kiswahili wazungu hawamuelewi kwa hyo anaropoka
 
Back
Top Bottom