Mwigulu Nchemba Kuropoka Unamuharibia Rais

Mwigulu Nchemba Kuropoka Unamuharibia Rais

yaani kwa kuwa yalikuwa yanafanywa zamani hata kama ni mabaya yaendelee? La hasha tukubali kubadilika na kufanya vizuri.
Hivi kati kumfukuza mtoto aliyepata ujauzito au kumwacha aendelee na shule lipi jambo zuri? (jibu kwa kufikiria na sio kukurupuka) use reasoning and intellect .
Halafu tujiulize kama angekuwa mtoto wako amepewa ujauzito ungependa afukuzwe shule?
Halafu kuna wengine wanapewa ujauzito kwa kubakwa je hao nao kuadhibiwa kwa kufukuzwa shule ni sahihi?

Na kwa nni apewe uja uzito, kwani hana akili ya kukataa? Mtasema amebakwa mara bahati mbaya, huo utakuwa ni ujinga, najua unataka iruhusiwe ili uwe unawapa mimba hao wanafunzi sio, mimi kwa mawazi yangu, binti akipata mimba na apimwe kama ana akili timamu, kisha mazingira aliyopatia mimba, kama aliifuata chumbani mwenyewe nae akapigwe miaka kwa sababu aliitafuta, na aliyempatia wote wkanyee ndoo, na kma akibakwa ndo iwe pona yake. Utaona hizi mimba hazitakuwapo.
 
kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hata mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kike kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea? Nani anaweza kutoa ushahidi katika awamu ya JKN, MWINYI, MKAPA na JAKAYA mwanafunzi fulani alipata ujauzito akaenda kujifungua akarudi shule ya Serikali. Kasomeni Sheria na kanuni za Wizara ya Elimu kuhusiana na sheria za shule za Serikali.
Mkuu

Nikuulize jambo

Miundombinu ya elimu kwa nchi yetu ya Tanzania ni mibovu na sio Rafiki kwa wasichana haswa maeneo ya vijijini .. Mtoto wa kike anasafiri zaidi ya kilomita 5 kutafuta elimu.. Huku anakokatiza ni misituni.. Mazingira ni hatarishi... Wengi hubakwa...

Sasa swali je kwa mtoto kama huyo kwanini asirudishwe shule kusoma???

Je kupata mimba kwa kubakwa tena akiwa anatafuta elimu nikosa lake au nikosa la serikali ambayo inaamua kununua ndege ilihali Huduma muhimu na zakijamii kama hizo ni duni???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hata mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kike kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea? Nani anaweza kutoa ushahidi katika awamu ya JKN, MWINYI, MKAPA na JAKAYA mwanafunzi fulani alipata ujauzito akaenda kujifungua akarudi shule ya Serikali. Kasomeni Sheria na kanuni za Wizara ya Elimu kuhusiana na sheria za shule za Serikali.
Acha uongo. Ninazo evidence za wanafunzi enzi za mwinyi mkap na hata mwalimu. Hakuna mahali mtoto wa kike alinyimwa haki ya kusoma kisa mimba.

Ilikuwa hivi ikiwa una mzazi mwenye maono basi shule itaendelea na mtoto lelewa na bibi.
Hakuna mahali mtoto wa kike alipopewa katazo la kutokurudi shule kabisa kama ambavyo rais wa wamu ya 5 alivyosema
 
Ni dhahiri Mh. Rais hakukosea kumtoa Mwigulu nchemba kwenye barraza la mawaziri. Waziri wa mambo ya nje na wengine wanapambana kutumia lugha ya diplomasia kuomba tusaidiwe, mwigulu nchemba yeye anatukana world bank bila kusahau bado yuko serikalini na kwenye chama tawala na alikuwa Waziri mwandamizi.

Ndugu yangu mwigulu, hapa umebugi stepu. Umeharibu, kama ni utetezi au kutaka kurudi kwenye baraza, haiwezekani. Pole sana kwa matusi yako kwa world Bank. Usisahau hawa watu wanafadhili miradi mingi na ndio mshirika pekee wa maendeleo alobakia. Use common sense bro. Naona huko kwenye ile kundi la wanaomhujumu Rais kijanja

View attachment 1338276
Mbona ujumbe na uandishi haujakaa ki-PhD?
 
kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hata mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kike kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea? Nani anaweza kutoa ushahidi katika awamu ya JKN, MWINYI, MKAPA na JAKAYA mwanafunzi fulani alipata ujauzito akaenda kujifungua akarudi shule ya Serikali. Kasomeni Sheria na kanuni za Wizara ya Elimu kuhusiana na sheria za shule za Serikali.
Tatizo liko kwa aliyelianzisha hii aina tofauti na ushoga, wote hatupendi hayo mambo 2 lkn kama kiongozi unaposimama kuyaongea na huku ukijua utaudhi upande wa pili na ukiuudhi unajua madhara yake basi usilalamike.
 
Wajinga hamuishi tz yaani Mwigulu anauchungu na Nchi ....!!! wenye akili tunajua anasaka uteuzi wakujaza nafasi maana imejulikana jiwe ukimtukuza unaramba cheo
kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hata mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kike kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea? Nani anaweza kutoa ushahidi katika awamu ya JKN, MWINYI, MKAPA na JAKAYA mwanafunzi fulani alipata ujauzito akaenda kujifungua akarudi shule ya Serikali. Kasomeni Sheria na kanuni za Wizara ya Elimu kuhusiana na sheria za shule za Serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini uwezo WA kutungwa/ kupata mimba usisubiri mpaka Mtoto amalize shule?.
Arudi school after how long?, Mtoto wake alee Nani?.
Akirudi shule analindwa tena na sheria ya kutokula tunda la mwanafunzi?.

Tukiwaambia hawarudi wakawa wanatoa Tu wanapata matatizo hata vifo.. baadaye tuwape vijana wetu wake waliotoa mimba ishirini kisa shule, Bora azae tumjue mapema tumdelete kwenye possible wachumba.

Ni wangapi ambao wakishapata mimba wako willing kabisa kabisa kurudi shule?, Ni kweli wanahitaji shule au tunawalaaimisha?. Vipi kuhusu uwezo wao?. He huko private nako huwa wanakata?. Government imekataza shule binafsi kuandikisha waliowahi kuzaa?.
Je sio fursa MTU kuanzisha shule ya wanafunzi WA namna hiyo?.

Huu ni mjadala mrefu,tusiuangalie kisiasa au Imani za kidini. Tuongee ukweli
Hawa wanafunzi wanaopata mimba shuleni ni Watanzania wenzetu,tusiwahukumu kwa kuwanyima elimu.Elimu pekee ndiyo mkombozi wao.Tunatakiwa kutambua kuwa wengine wao ni under 18yrs(minors),na kwa sheria zetu hawa ni watoto.Tujiulize mifumo inawalinda vya kutosha ili wasibebe mimba?Je,njia ya kumaliza hili tatizo ni kuwaadhibu wahanga?Are we serious?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom