Mwigulu Nchemba Kuropoka Unamuharibia Rais

Mwigulu Nchemba Kuropoka Unamuharibia Rais

Ni dhahiri Mh. Rais hakukosea kumtoa Mwigulu nchemba kwenye barraza la mawaziri. Waziri wa mambo ya nje na wengine wanapambana kutumia lugha ya diplomasia kuomba tusaidiwe, mwigulu nchemba yeye anatukana world bank bila kusahau bado yuko serikalini na kwenye chama tawala na alikuwa Waziri mwandamizi.

Ndugu yangu mwigulu, hapa umebugi stepu. Umeharibu, kama ni utetezi au kutaka kurudi kwenye baraza, haiwezekani. Pole sana kwa matusi yako kwa world Bank. Usisahau hawa watu wanafadhili miradi mingi na ndio mshirika pekee wa maendeleo alobakia. Use common sense bro. Naona huko kwenye ile kundi la wanaomhujumu Rais kijanja

View attachment 1338276
Mwigulu hopeless kabisa. Halafu bila aibu anajiita Dr. Hivi ni chuo gani kilichomtunuku PhD mtu ambaye ni so low mind?

Mtu mwenye akili iliyotulia hawezi kuandika huu upuuzi, na wala kuuandika kwa namna ya kipuuzi kwa jinsi hii!!
 
kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hata mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kike kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea? Nani anaweza kutoa ushahidi katika awamu ya JKN, MWINYI, MKAPA na JAKAYA mwanafunzi fulani alipata ujauzito akaenda kujifungua akarudi shule ya Serikali. Kasomeni Sheria na kanuni za Wizara ya Elimu kuhusiana na sheria za shule za Serikali.
Hivi Mwigulu bado anavaa Tai za bendera ya Taifa.....!!?
 
Mimi nimetukana zaidi ya mwigulu Maana wanawake wa mabeberu wanakera sana

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mwenyr akili hatukani. Ukiona mtu anatukana uhue ana shida akilini mwake. Kama ni ndugu yako, utambue huyo anasimama katikati ya wazima na wenye magonjwa ya akili.
 
Kuna wasichana watatu nawafahamu walipata ujauzito na wakajifungua ila baadae walirudi shule na kufaulu vizuri tu, ingawa hazikuwa shule ambazo walikuwa wanasoma awali ila zilikuwa za Serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia nilisoma na msichana ambaye alirudi shule ya sekondari ya serikali baada ya kujifungua. Na baadaye aliendelea na masomo, na sada ana PhD. Anafanya kazi kwenye taasisi za kimataifa.
 
Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea?

Zama hizi imebaki ni mkumbo tu ndomana muda si mrefu watashabikia ndoa za jinsia moja kufurahishana,bila kujali kuharibu mila na desturi zetu..

Sent using Jamii Forums mobile app

Usiwe na Mawazo Mgando Mkuu ulivyo leo Kimwili kiakili sivyo ulivyo kuwa Miaka 2 au vyovyote hapo awali ,hata Sheria hufanyiwa marekebisho kutokana na mapungufu.Kama awali tuliliona hili sio sahihi leo likabadilishwa kwa Faida tatizo lipo wapi hapo !?.
 
Mrudisheni kwenye uwaziri jamani amechoka kulima, hivi unafikiri kulima mchezo,huzionagi picha zake tweeter analima ?
 
Wazungu ni watu wema sana kuliko viongozi wa kiafrika!Wanatusaidia pmj na MiPhd yetu kutoka jalalani kwamba mtoto aliyechini ya miaka 18 hana uhuru wa kutosha katika kufanya maamuzi ni peer thinking hivyo anahitaji kusaidiwa akipata ujauzito lakini pia sio wote wanapata ujauzito kutokana na viherehere vyao lahasha wengine wanabakwa au kushawishiwa kutokana na mazingira duni ya kiuchumi,wengi wamepata ujauzito kwa kupewa msosi tu,hvyo tuwapinge akina Mwigulu na wengine wenye mawazo finyu kuhusu haki ya mtoto wa kike kupata elimu.Ebu tutumie common sense tu hvi mzungu ananufaika ninini katika hili?je mabinti hawa ni makenikia mpaka tuambiwe tunaowasupport sio wazalendo (unpatriotic) kama asemavyo Mwigulu na Phd yake?Sijui miafrika tukoje ndio inferiority complex.
Halafu Mkuu hawa viongozi huwa wanatuona sisi kama hamnazo vile, unajua mazingira wanayokulia na kusomea watoto wa maskini ndio chanzo kikubwa cha haya mambo ya ujauzito utotoni, maisha duni na njaaa kama ulivyosema, watoto wao katika hali ya kawaida wanasoma shule zenye fence na mageti, wanatoka nyumbani wamekula lakini pia na pocket money, saa ngapi atarubuniwa ?, hivyo sio rahisi kwa watoto wao kuangukia kwenye tatizo hili, labda awe ameamua tu.
 
You are very right mkuu
 
Ni dhahiri Mh. Rais hakukosea kumtoa Mwigulu nchemba kwenye barraza la mawaziri. Waziri wa mambo ya nje na wengine wanapambana kutumia lugha ya diplomasia kuomba tusaidiwe, mwigulu nchemba yeye anatukana world bank bila kusahau bado yuko serikalini na kwenye chama tawala na alikuwa Waziri mwandamizi.

Ndugu yangu mwigulu, hapa umebugi stepu. Umeharibu, kama ni utetezi au kutaka kurudi kwenye baraza, haiwezekani. Pole sana kwa matusi yako kwa world Bank. Usisahau hawa watu wanafadhili miradi mingi na ndio mshirika pekee wa maendeleo alobakia. Use common sense bro. Naona huko kwenye ile kundi la wanaomhujumu Rais kijanja

View attachment 1338276
Anadhania yupo bungeni... Muda wa kufuta kauli huku nje hamna. Itamkosti.
Shauri yao..
 
yaani kwa kuwa yalikuwa yanafanywa zamani hata kama ni mabaya yaendelee? La hasha tukubali kubadilika na kufanya vizuri.
Hivi kati kumfukuza mtoto aliyepata ujauzito au kumwacha aendelee na shule lipi jambo zuri? (jibu kwa kufikiria na sio kukurupuka) use reasoning and intellect .
Halafu tujiulize kama angekuwa mtoto wako amepewa ujauzito ungependa afukuzwe shule?
Halafu kuna wengine wanapewa ujauzito kwa kubakwa je hao nao kuadhibiwa kwa kufukuzwa shule ni sahihi?
Pia wale wanaowapa mimba watoto wetu wapunguziwe adhabu.. miaka 30 ni mingi sanaa!!
 
7990E794-1176-42B7-B62B-4938ED999852.jpeg
 
Kwanza Mwigulu Nchemba siyo jina lake halisi. Jina lake halisi ni Lameck Madelu. Rudi kijijini kaulize kwa Wazee wa Iramba wakakwambie kwa nini unaitwa jina la lugha ya Wasukuma wakati wewe ni Mnyiramba. Laiti ungejua kuwa mama yako alibakwa na wafugajj ndipo akatunga mimba na ukazaliwa wewe basi usingeendelea na msimamo wa kukejeli watoto wanapata mimba wakiwa mashuleni.

Kama miaka ile ya awamu ya kwanza wange wa-demonize watoto wa shule za msingi, hata wewe Mwigulu Nchemba usingekuwa hapo ulipo
Tangu upewe mimba shule akili zimekutoka kabisa amekuwa juha na mpuuzi kabisa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hata mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kike kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja kwa moja, kwanini leo ionekane ni kuwaonea? Nani anaweza kutoa ushahidi katika awamu ya JKN, MWINYI, MKAPA na JAKAYA mwanafunzi fulani alipata ujauzito akaenda kujifungua akarudi shule ya Serikali. Kasomeni Sheria na kanuni za Wizara ya Elimu kuhusiana na sheria za shule za Serikali.
Zama zinabadilika zama z akuwaza kipumbavu na kijinga zimepitwa na wakati
 
MG ni kifupi cha Mgambo MB ni kifupi cha Mbunge huyo aliyesema hivyo ni Mwigulu Mgambo na siyo Mwigulu Mbunge
 
Ni maoni yake tu, kila mtu anao uhuru wa kutoa maoni yake, hakuna na sioni kosa lake, acheni uchonganishi
Anaungana na zitto kabwe kufukuzia mbali mkopo kwa dizaini nyingine. HAHHAA mwigulu mjanja sana.
 
🙈🤭🤭🤭... too harsh mkuu., heshimu uhuru wake na umtake Radhi... that’s unfair.. edit your c’mnt if psb..
Ni sawa tu na yeye anavyo cross comments za Zitto Kabwe kwa wino mwekundu, naye yuko harsh. Hawa kina Mwigulu Nchemba wako tayari kufanya lolote dhidi ya Watanzania wenzao alimradi wajikombe kwa Rais ili awarudishe kwenye baraza kama alivyomrudisha Simbachawene. Dawa ya moto ni moto
 
Jamani, mbona tena matusi hadi kwa mamake?? Kabakwa ulikuwepo?? Mnafika hadi kolomije kumchunguza hata jina. Nasema, mtukane Lameck ila mamake msimtukane. Kubakwa hadi mimba sio sifa ni udhalilishaji wa mbakwaji
Je hao watoto wanobakwa then wanapata mimba mnataka wakose elimu unadhani siyo binadamu. Kama viongozi waliosoma kama Mwigulu hawawezi kuwatetea wacha sisi tuwatetee kwa namna nyingine?

Na kinachowafanya akina Mwigulu waropoke ni kujikomba kwa Rais. Wako tayari kufanya lolote dhidi ya Watanzania wenzao ili wapate vyeo.
 
Back
Top Bottom