maula mrs
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 114
- 18
Kadri mtu unavyozidi kushikwa ugoni,ndivyo na uwezo wako wa kufikiri unavyozidi kupungua.Nakushauri bro achana na wake za watu itakusaidia kufikiri kwa kutumia kichwa tofauti na sasa unavyofikiri kwakutumia tumbo.kabla sijaliona anguko la CHADEMA nitaliona kwanza anguko la ccm na wachumia tumbo wote ukiwemo wewe na babu yako Wasira!!endeleeni kuwa watabiri lakin kumbukeni akina sheikh Yahaya leo wakowapi waliowatabiria watu kufa wakafa wao.