Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

aka mkosa chama tatizo la Watz tunashabikia tusilolijua kwani hamjua vita iliyopo cdm? kama hamjui hicho chama cha wachaga mtadanganyika mpaka lini fuatilieni mtaona au ni chama cha mzee Mtei

Afadhali chama cha mchaga mtafuta maendeleo kuliko ------ anaeishi kwa tunguri bila maendeleo
 
aka mkosa chama tatizo la watz tunashabikia tusilolijua kwani hamjua vita iliyopo cdm? Kama hamjui hicho chama cha wachaga mtadanganyika mpaka lini fuatilieni mtaona au ni chama cha mzee mtei

........

Mbona hamsemi kuhusu umiliki wa CCM kwa sasa ambao uko kwa jk, familia yake na ndugu zake.
 
watanzania hatutaki kusikia juu ya kifo cha chadema au vyama vingine tunachotaka ni kutekelezwa kwa ahadi mlizotuahidi sio kupoteza muda kuzungumzia visivyo na faida kwetu...hivi huyu Mwigulu ni lini atazungumza vitu vya msingi na vyenye faida kwa watanzania?badilika kaka....
 
Kuna mamba kadhaa ambayo Nchembe anakubali
1) Chadema ni tishio kwa CCm na hasa Dr. Slaa, nadhani wakisikia amekufa kwao inaweza kuwa sherehe
2) Mwigulu anakiri wazi kuwa ndani ya CCM hakuna usala na kuwa wao hata kufika hapo 2015 ni issue

my Take. magamba wanachoshindwa kuelewa ni kuwa kwa sasa Chadema ni taasisi sio mtu, wao wanadhani bila Dr Slaa CDM haitakuwepo, wanasahau jinsi Lisu anavyowapelekesha, jinsi Mnyika anavyowappelekesha, jinsi Mbowe anavyowapelekesha, jinsi Lema anavyowapelekesha, halima, Msigwa, Vincent Nyerere, Wenje, Silinde. hapo bado katiba mpya, mbona watajuta!!!!!
 
huko kaskazini kulikuwa na NCCR ikaja TLP zote marehemu. Hiyo chadema haitapata kura kutoka kwa waislamu hawa wala mkoa mzima wa kigoma
 
CHADEMA hakiwezi kufa kwani njama CCM zimegonga mwamba imara tulianza na mungu na tutamaliza na hizo ni kauli za wanyonge
 
huko kaskazini kulikuwa na NCCR ikaja TLP zote marehemu. Hiyo chadema haitapata kura kutoka kwa waislamu hawa wala mkoa mzima wa kigoma

kupe.cio kg tu kanda ya ziwa na nyanda juu kusin na singida,ddm.moro ukskaz char
 
Mwigulu bana, inaonekana huyu jamaa siasa kadandia tu, ukimsikiliza, hana hoja za msingi zaidi ya kuitaja Chadema tuuuu, hata awapo bungeni! yani kama hawa ndo aina ya viongozi, basi TZ tuna safari ndefu sana!
 
Ndio tatizo za akili kuwaza uroda kwenye kampeni hizi,jamaa anaropoka ka nini sijui....
 
Nilidhani kama naibu katibu mkuu wa CCM bara, angemsaidia Kinana kujadili changamoto zinazowakabili kiuchumi ili kuweka mkakati thabiti, wa kufikia malengo ya ilani yao 2010 - 2015. Kumbe bado wanaota CDM, wanawaza CDM na kuweweseka CDM. Wamekwama kabisa, CCM hakuna wenye akili.
 
Kumbe Wanaijua Nyota ya Dr. Slaa ndio maana hawalali kupandikiza Masalai, tunguli nk?

Nawaakikishia, Mwigulu Nchemba atakufa
yeye Akifanya URODA kabla ya CHADEMA. Chadema ni movement ya Watanzania millioni 44. Kwa hiyo ili CHADEMA kife, ni bora awaue watanzania hao wanaoishabikia CHADEMA. Mbona akili zao zinawaza CHADEMA tu na sio mke wao wa Ndoa CUF?

........

Ni kweli Dr.Slaa anaushawishi mkubwa lakini ameathiri mfumo wa CHADEMA na kukigeuza kama mali yake,huku akiziba vijana wasionyeshe uwezo wao.

Binafsi ningependa kuona demokrasia ya kweli lakini si kuwatisha vijana.Watanzania wanaweza kuwachagua vijana JASIRI kama TUNDU LISSU,ZZK,Pro.SAFARI nk...Kwa chama kinaonekana hakina mfumo thabiti zaidi ya kutawaliwa na ukanda na ukabila .Lakini CCM imefanikiwa kwa kiwango kikubwa kuondoa matabaka,hii ndiyo SILAHA ya ushindi kwa CCM hapo 2015.
 
Ni wendawazimu tuu wanaoweza kumtabiria mwenzao kifo.wassira alisema chadema ingekufa mwaka jana 2012.sijui yuko wapi,aangalie asife yeye sasa.kaja tena huyu mshirikina mwingine anadai chadema inakufa 2015.huo ni upuuzi.ccm kama chama kinapaswa kupambana na kuhinda hata kama chadema ikiwa hai,kusubiri kife ni alama kuwa ccm ipo mahututi na haiwezi tena kuishi kama chamdema itaishi.
 
Katika watu ambao elimu zao hazijawakomboa moja wapo ni huyu Mwigulu Nchemba sijua kwa nini nimeandika hata jina lake kwa herufi kubwa
 
Umri umemtupa mkono Dr Slaa, Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 Dr. Slaa atakuwa na umri wa miaka 70.
 
Hao watu tunaowaona wanaandamana au kuipinga serikali si wapenzi wa chadema ila ni kweli hawaipendi ccm so wanatafuta pa kusemea ila ndani ya mioyo yao haiko chadema.
 
Umri umemtupa mkono Dr Slaa, Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 Dr. Slaa atakuwa na umri wa miaka 70.
Kadiri ya website ya bunge:
MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1253.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Dr. Wilbrod[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Peter[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Slaa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Karatu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 119, Karatu - Arusha[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 784 666995[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD]+255 22 2668866[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]wslaa@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]29 October 1948[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Lowasa atakuwa na umri gani?
 
Back
Top Bottom