Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Huyo jamaa nasikia ana first class ya "economics".Lakini ukitaka kumkimbiza kwenye mdahalo azisha hizo mada za uchumi,anakuwa mweupe kabisa,yaani hakuna kitu.
 
Hata 2010 walisema ni chama cha msimu!kwahiyo nadhani wanaweweseka kwanini cdm na wala sio nccr,tlp,au cuf!
 
kwel mwigulu.cdm itakufa kabla ya hata ya yauchaguz mm nifah.dr slaa hupo pale kufukuza wanaompinga mabadiliko acha kife kile kizee kihamie adc.r.i.p chadema
Watu huwa wanaazima vitu au pesa wewe unaazima AKILI, zirudishe ulikozitoa ili ubaki na akili zako ulizozaliwa nazo la sivyo utachekwa na kuzomewa hadi na watoto.
 
Kwa maana hiyo Nchemba anasema CCM inafanya kazi ili kuanzia 2015 Tanzania iwe chini ya mfumo wa chama kimoja?

Kwa sasa hivi tuna vyama viwili: CCM na CDM. (vingine viko in between). Ukiuwa CCM unabakiwa na CDM, na vivyo hivyo ukuuwa CDM unabakiwa na CCM.

Tanzania tunasonga mbele au tunarudi nyuma? Coca Cola hafanyi kazi kuuwa Pepsi, au Star TV hafanyi mizengwe ya kuuwa ITV, vingenevyo hakuna umuhimu wa kuwa na soko huria. Tukirudi kwenye siasa, nini maana ya kuwa na mfumo wa vyama vingi, na vinatakiwa vifanyaje kazi?

Nchemba na team yake wanaweza kudhani kuwa wanapambana na watu wachache -wamejiaminisha kuwa 'adui yao' ni mtu watu wawili watatu. Pengine wangekaa kitako na kujiuliza kwanini watu na akili zao timamu wanaungana na watu 'wachache'? Na ukiowaondoa hao watu wachache ni kweli umma huo utakaa kimya and CCM will live happily ever after?

Ever heard of Jamsin revolution ndugu Nchemba?
 
MAGAMBA wana weweseka ile mbaya. Yaani woooote kwa umoja wao, anaye wapa shida ni Dr. Slaa. Kila waliamka na kumuombea mabaya Dr. Slaa. Mara kibabu, mara amefilisika ki siasa mara ..... Ila mwisho wa siku Dr. Slaa akiondoka CHADEMA itakuwa imekufa.

Swali; kama Dr. Slaa kafilisika, mbona kifo cha CHADEMA kinaunganishwa na ukomo wa siasa wa Dr. Slaa??? Hadi 2015, Mwigulu na Nape wana kazi ya ziada.
 
Lameck Mkumbo Madelu ni haki yake kuota hizi ndoto za mang'amung'amu kwakuwa Dr. Slaa anakwenda kusitisha ujira wake kuanzia november 2015.
Siasa imemtupa mkono na uchumi nao hobelahobela!

Dr. Slaa kiboko yao ccm na watamuota sana hadi wanaamka yuko ikulu.
 

My take:

- Attention ya CCM ni Dr. Slaa.........[/QUOTE]

Sawa Bwana Mwigulu Nchemba. Lakini naomba unijibu maswali yafuatayo hapa chini:

  • Je,CHADEMA ikifa 2015 so what???
  • Je,iwapo CHADEMA itaingia Ikulu mwaka 2015 utafanyaje???!!!
  • Je, utajinyonga,utahama nchi au utafanyaje???
 
kama haya mawazo yanatoka kwa mchuni tena wa daraja la kwanza,basi nchi hii kazi tunayo.hivi kwa nini ccm hawapendi kukubaliana na hali halisi kwamba kwa huu mziki wa cdm tayari maji yapo shingoni mwao?
 
Je,huko kupungua umaarufu kwa chadema ni baada ya baadhi wa viongozi wa BAVICHA kuenguliwa? Kwanini kife baada ya uchaguzi wa 2015 na isiwe 2010? Nadhani Mwigulu anathibitisha namna wanavyoshiriki kuivuruga CDM na kwa maneno hayo anamaana kuwa karata yao ya mwisho kuivuruga chadema iko 2015 ambapo wanadhani wanaweza kuivuruga na hata kuiua chadema,Kama kila mkakati wao unajulikana basi wao waanze kuandaa mazishi ya CCM baada ya 2015.
 
Hata mimi namuunga mkono kwani kama huko mtwara kazi hakuna basi waende mikoa mingine watapata kazi hakuna anayezuiwa
 
Kaazi kweli kweli!.....

Anaposema Dr. Slaa atakuwa amechoka , kwani CHADEMA sio Katibu mkuu tu bali ni taasis kubwa, Isitoshe kwa kauli hiyo hiyo inamanisha wanamgwaya sana Dr. Slaa.
 
mbona hasemi mwaka 2015 ccm ikishinda Nguvu za Mwigulu kukamatwa ugoni zitaongezeka
 
mbona chadema ilisha kufa kitambo,mwiguru anatabir nn tena an tafute au nitakuja baadae nimwambie matanga lin asikose kuja kamati ya matanga ipo mosh ss hv. r.i.p. cdm
 
these politiccms are real stupidy. badala ya kuangaika na maendeleo ya wa-TZ wao wanaongelea Chadema itakufa!

Badala ya kuchemsha bongo zao kujiuliza why we Tanzanians are poor in this land of plenty wanatoa public speech za kijinga jinga tu! ina maana maendeleo ya Taifa hili yanaletwa kwa Chadema kufa! daaa.

Halafu nashangaa kuna vijana wasomi eti wanashabikia speech za kijinga hivyo. nyie wasomi kabla hamjamaliza elimu ya vyuo mmefanya dissertation na kuandika very good reports juu ya ku-solve problems katika jamii lakini serikaliccm imezifanyia nini zaidi ya kutupwa kwenye dust bins! halafu nina wasiwasi na elimu ya Mchemba...i think ni ya kudesa!
 
Back
Top Bottom