Mkuu Molemo hapo ndipo niliposhangaa! Kiukweli ukiangalia mabandiko yao masalia na mpangilio wa maneno yao ya utetezi wa kipuuzi unagundua ni watu wenye upeo mdogo sana!! Tena ni wote sio mmoja!
upumbavu wenu wa kishabiki ukichanganya na ujinga mnapata majibu yenu kwamba uko wapi nyinyi washabiki tu! walaji wengine huo ndo ukweli, subiri nina waraka wa kikao cha siri kilichofanyika kwa Mtei ndipo utaamini nini ninachomaanisha soon nitaweka hewani kwa utaratibu nyie si akina Thomaso?
Mkuu Navaya, asante kwa kujibu, maana umedhihirisha nililokua nasema katika post yangu.
Btw, naona mmeongeza ID nyingine!! Ndio ukomo wa upeo wa mawazo yenu nadhani, sio kosa lenu! Kwa watu kama nyie nadhani tungepaswa kwenda mbali zaidi kuuliza (kwa wakunga walio wasaidia wazazi wenu kujifungua ninyi 'salama') kama wakati kila mmoja wenu anazaliwa, kama kweli alilia kwa wakati, maana tunaweza kuwa tuna'deal na watu wenye mapungufu ya kuzaliwa hivyo kuwalaumu ninyi ni kuwaonea.
Sina haja ya mabishano na wewe, ila anayetaka ushahidi wa nililoongea kwenye post yangu kwa Molemo (hiyo nyekundu hapo juu) atazame mpangilio wako wa maneno!! Ni kama mtu uliyekurupuka, usiye na utulivu wa fikra wakati wa kuandika, that in itself tells a million words about your character and attitude, trust me!
Hebu tuongelee huo waraka sasa,kwa hiyo unaposema una waraka wa kikao cha siri kilichofanyika kwa Mtei unamaanisha kuwa huo ndio ushahidi usio na shaka kuwa yalioandikwa yamefanyika?!!
Ukifikiria wakati tuliopo utagundua kuwa hiyo tu haitoshi, utapaswa kwenda mbali zaidi kutuaminisha kuwa ni kweli yalitokea, mtu yeyote anaweza kuandika huo waraka, na akausaini, tumeona vingi na vikubwa vikifanyika kuwahadaa watu, leo unaleta waraka kama ushahidi?!