Wenzako wote wa CCM wanatumia carolite, wewe je?huyu nchemba huo weupe mbona kama una wekundu fulani au ndio mambo ya carolite?
.......
Mbona kifo cha CHADEMA kinazidi kuahiliswa?tuliambiwa itakufa 2012,ikavuka salama,sasa tunaambiwa 2015!kulikoni?????????????
aka mkosa chama tatizo la Watz tunashabikia tusilolijua kwani hamjua vita iliyopo cdm? kama hamjui hicho chama cha wachaga mtadanganyika mpaka lini fuatilieni mtaona au ni chama cha mzee Mtei
CHADEMA itakufa pale mungu atakapotaka ife, lakini siyo kwa hila za CCM!Wanaona mgonjwa ana roho ngumu!!! Ndio mana kila siku wanabadilisha malaika mtoa roho!!!
CDM inawaumiza sana kichwa kumbe,kila kukicha ndo kimewajaa mdomoni? Fikirieni namna ya kuwakomboa watz ktk dimbwi la umaskini etc
upumbavu wenu wa kishabiki ukichanganya na ujinga mnapata majibu yenu kwamba uko wapi nyinyi washabiki tu! walaji wengine huo ndo ukweli, subiri nina waraka wa kikao cha siri kilichofanyika kwa Mtei ndipo utaamini nini ninachomaanisha soon nitaweka hewani kwa utaratibu nyie si akina Thomaso?
CHAMA Cha Mapinduzi kimekitabiria kifo Chadema baada ya uchaguzi wa 2015 kikieleza kuwa CCM ikishinda, chama hicho kitakuwa hakina nguvu tena kwa kuwa Katibu Mkuu wake, Dk Willibrod Slaa atakuwa amechoka.
Mwigulu Nchemba tupinge kati ya ccm na chadema ni nani marehemu mtarajiwa.......
Chemba bana! Huyu ndiye naibu katibu mkuu wa chama tawala?
.......