Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Hali tete mkuu,na kamati ya bunge iko njiani kukagua matumizi ya pesa za ruzuku.Babu presha inapanda presha inashuka na sukari inazidi kukolea.
Nasikia ameenda kufanyiwa matibabu ya dharura ujerumani.

Haya yote ni Zitto wa kulaumiwa,... kwa nini alisema atakagua mahesabu, mambo kama haya yanaweza kusababisha wengine wazidiwe ghafla.
 
Ndugu zanguni,

Wote tunajua kuwa chadema kwa sasa haifanyi tena siasa bali wako bize na mipasho hapa mtandaoni na magazetini. Viongozi kwa makamanda wote wanarushiana madongo mazito mazito mpaka hata sisi watani tunaanza kuwa na wasi wasi sasa na hatima ya hiki kikundi.

Chadema ni kama nyumba ya barafu tu, iling'ara sana wakati wa baridi lakini sasa jua limeanza kuwaka ina maana joto litaongezeka na matokeo yake itayeyuka kama barafu na kupotea kabisa.

Kwa staili wanayofanya sasa ya kuchanana live hapa jukwaani , mwisho wake ni kumwigambana halafu kila mtu atachukua hamsini zake.

R.I.P CHADEMA

GONE TOO SOON!
1.1276530557.wild-dogs-fighting.jpg

JITAMBUE!

Nasty Malicious ----.Wanachadema tumpuuze huyu mchumia tumbo.Hastahili kupewa attention yetu
 
Usemi huu sasa umeanza kujidhihirisha kutokana na mienendo ya viongozi wa cdm na wafurukutwa wao, kila pembe ya nchi hii ukiwakuta wanajadiri hawawezi kusema sentesi tano hajaweka matusi, kashfa, kutaja ccm, neno katumika, kahongwa na magamba, msaliti n.k.
Usemi huo una maana hii ; mtu akibeba mzigo mzito sana kuzidi uwezo wake, na mbaya zaidi mzigo unakuwa hauna faida yeyote kwa yule aliyeubeba wala kwa watu ndani ya jamii inayomzunguka, mtu huyu akichoka hutafuta mahali akautua ili apumzike, kwa sababu ya uchovu mkubwa mtu huyu huamua kuutua mzigo wake na kuegemea jengo moja bila kujua ni jengo la nini mara maumivu makali humkuta na kukatisha uhai wake! watu wapita njia hupita na kukuta mtu kafa ili hali kaegemea jengo hilo, mtu mmoja husikika akisema "mtu huyu kafa ameegemea choo", Ndivyo itakavyokuwa kwa wafurukutwa wa CDM, hawajatambua kuwa cdm ni mzigo usiobebeka, na hauna tija kwa Taifa jema la Tanzania. Wanatakiwa kujitambua vinginevyo "watakufa wakiwa wameegemea choo".
 
Tena ife kabisaaa maana tuliiamini sana
 
Lipo wazi hawatabaki hata iweje walishamuudhi mungu katu hawezi kuwasamehe walianza vibaya sasa wanamaliza vibaya tuwaandalieni kaburi tuwazike katika siasa hawatakuwepo tena kitu kinaitwa chadema.
 
Mi najuta kupoteza muda wangu nashabikia cdm kumbe wanapokea mahela ya maccm!!
 
Usemi huu sasa umeanza kujidhihirisha kutokana na mienendo ya viongozi wa cdm na wafurukutwa wao, kila pembe ya nchi hii ukiwakuta wanajadiri hawawezi kusema sentesi tano hajaweka matusi, kashfa, kutaja ccm, neno katumika, kahongwa na magamba, msaliti n.k.
Usemi huo una maana hii ; mtu akibeba mzigo mzito sana kuzidi uwezo wake, na mbaya zaidi mzigo unakuwa hauna faida yeyote kwa yule aliyeubeba wala kwa watu ndani ya jamii inayomzunguka, mtu huyu akichoka hutafuta mahali akautua ili apumzike, kwa sababu ya uchovu mkubwa mtu huyu huamua kuutua mzigo wake na kuegemea jengo moja bila kujua ni jengo la nini mara maumivu makali humkuta na kukatisha uhai wake! watu wapita njia hupita na kukuta mtu kafa ili hali kaegemea jengo hilo, mtu mmoja husikika akisema "mtu huyu kafa ameegemea choo", Ndivyo itakavyokuwa kwa wafurukutwa wa CDM, hawajatambua kuwa cdm ni mzigo usiobebeka, na hauna tija kwa Taifa jema la Tanzania. Wanatakiwa kujitambua vinginevyo "watakufa wakiwa wameegemea choo".

Umesema kweli,but utawasikia na maneno yao mara lambilambi,bk7,magamba nk.. Inabidi ifikie kipindi 2we 2nachunguza jambo kwa ku2mia akili,na sio kwa ku2mia MAINI.. Vijana 2epuke ushabiki
 
Wana JF

Napenda tu kuwatayarisha wenzetu wa CHADEMA kuwa mwaka huu jiandaeni hamna rangi ambayo hamtaiona. Niliwahi kuandika humu ndani juu ya fedha chafu zilizoandaliwa kuimaliza CHADEMA kupitia vyombo vya habari nadhaini watu wengi hawakuelewa. Ukitaka kulifahamu hilo kwa mtu mwenye uelewa wa kupambanua mambo tazama magazeti ya leo. Angalia vichwa vya habari vya magazeti ya leo na habari zilivyoandikwa kwa mtizomo na mtiririko fulani kwa malengo fulani, hupati shida kujua zimeandikwa kwa malengo gani,tazama picha zilivyowekwa kwa aina fulani kudanganya watu wa mikoani. Mimi nimeshaona na natabiri mwaka huu utakuwa mgumu kwa CHADEMA ni vizuri viongozi wa juu CHADEMA hasa Slaa, Mbowe,Lisu, Mnyika kujiandaa kisaikolojia kwa kuwa nawaambia wakishangaa haya ya zzk wanaweza kuona ya Ulimboka au ya Mwangosi achiliambali kesi watakazofunguliwa, Mungu apishilie mbali.
 
Huoni aibu kuwataja viongozi wa juu wa cdm Dr. Slaa, Mbowe na Mnyika (Kanda ya kaskazini) huku mkiwafukuza watanzania wenzenu (Zitto, Kaburu na Kafulira) kisa ni wa kanda nyingine (Magharibi)???? Kaaeni na kauli za Mtei cdm mmekimaliza wenyewe kwa uabaguzi wenu.
 
Wana JF

Napenda tu kuwatayarisha wenzetu wa CHADEMA kuwa mwaka huu jiandaeni hamna rangi ambayo hamtaiona. Niliwahi kuandika humu ndani juu ya fedha chafu zilizoandaliwa kuimaliza CHADEMA kupitia vyombo vya habari nadhaini watu wengi hawakuelewa. Ukitaka kulifahamu hilo kwa mtu mwenye uelewa wa kupambanua mambo tazama magazeti ya leo. Angalia vichwa vya habari vya magazeti ya leo na habari zilivyoandikwa kwa mtizomo na mtiririko fulani kwa malengo fulani, hupati shida kujua zimeandikwa kwa malengo gani,tazama picha zilivyowekwa kwa aina fulani kudanganya watu wa mikoani. Mimi nimeshaona na natabiri mwaka huu utakuwa mgumu kwa CHADEMA ni vizuri viongozi wa juu CHADEMA hasa Slaa, Mbowe,Lisu, Mnyika kujiandaa kisaikolojia kwa kuwa nawaambia wakishangaa haya ya zzk wanaweza kuona ya Ulimboka au ya Mwangosi achiliambali kesi watakazofunguliwa, Mungu apishilie mbali.

Acha uoga na uongo Aweda...............vaa jezi ingia uwanjani..pambana.

Hayo magazeti yangeandika unavyopenda au unavyofurahia wewe....wenzako nao wangesema umetoa fungu ili waandike walivyoandika.

Kweli mjiandae kisaikolojia.......mjiandae kukutana na hali tofauti na mnavyotarajia.

Hata wakati wa msiba wa Mandela wapo (kama wewe) waliotamani kuandika magazeti yao tofauti na walivyoandika wengine.....lakini tatizo lilikuwa....wangeuzia wapi ?

Hukufanya homework......tulizana.....na usubiri matokeo.
 
Mwenyekiti wa Chadema Temeke amesema ametekwa na wanachadema wenyewe sasa hiyo hadhari unayotoa ni ipi?
 
Back
Top Bottom