Hapana ni wa Tengeruunamaanisha yule wa gombe au!
Kwa kweli mkuu imenisikitisha sana
I feel sorry kwa Dr kwani kibarua ndio kinaota mbawa hivyo , nani tena atakayempa mshahara wa milioni saba?
Kwako ni upuuzi lakini sisi wenye busara tumeshaona mwisho wa hiki kikundi chenu cha kuchukulia ruzuku!
Jaribu kutishia kujamba wewe uone samadi itakavyotokahata baada ya kujamba bd unapost ushuzi!nilidhan umeisha kumbe bado unao!!
Endelea kujipa moyo wakati barafu ndio inayeyuka hivyo
hata baada ya kujamba bd unapost ushuzi!nilidhan umeisha kumbe bado unao!!
Nilishajua CHADEMA kitakufa, lakini sikuwahi kujua kuwa itakuwa mapema namna hii!
Ndugu zanguni,
Wote tunajua kuwa chadema kwa sasa haifanyi tena siasa bali wako bize na mipasho hapa mtandaoni na magazetini. Viongozi kwa makamanda wote wanarushiana madongo mazito mazito mpaka hata sisi watani tunaanza kuwa na wasi wasi sasa na hatima ya hiki kikundi.
Chadema ni kama nyumba ya barafu tu, iling'ara sana wakati wa baridi lakini sasa jua limeanza kuwaka ina maana joto litaongezeka na matokeo yake itayeyuka kama barafu na kupotea kabisa.
Kwa staili wanayofanya sasa ya kuchanana live hapa jukwaani , mwisho wake ni kumwigambana halafu kila mtu atachukua hamsini zake.
R.I.P CHADEMA
GONE TOO SOON!
![]()
JITAMBUE!
Kwako ni upuuzi lakini sisi wenye busara tumeshaona mwisho wa hiki kikundi chenu cha kuchukulia ruzuku!
Mani 1 Arsenal 0!
Umejuaje kuwa nawashwa kichwa mkuu??Chris unawashwa?...
Nawasikitikia sana makamanda kwani hata 2014 hatujkafika na hali ndio hii...Mbowe sijui biashara zake haramu zitaendaje SACCOS ikishakufa!
Mbowe sijui biashara zake haramu zitaendaje SACCOS ikishakufa!