Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

Kuna neno ulitaka kutaja katika muainisho wako, lakini umeogopa kwasababu unajua ungepigwa ban!...
 
Kama viongozi wa chadema wangekuwa wanawaza kama zito basi chadema kingefika mbali sana lakini wengine ndani ya chadema hawawazi maendeleo ya chama wanawaza pesa na madaraka tu.
 
Kuna neno ulitaka kutaja katika muainisho wako, lakini umeogopa kwasababu unajua ungepigwa ban!...

Neno gani hilo Mkuu? Nipm ili tushauriane kwamba mwandishi alitaka kusema au kuandika nini
 
Mvuto wao unapungua kwa kasi ya ajabu!!! Watu wamewastukia.
 
Kuna tatizo la msingi kuhusu wana JF wengi waliojiunga tangu 2012.
 
kwa haraka haraka huu uzi umeshaitia ccm hasara ya kama 49000 mpaka jioni inaweza kufika 490000.hongereni.
 
Kweli wewe utabaki kilaza milele, hivi wanachama/viongozi wa CHADEMA wana mandate ya kukataa CAG asikague matumizi ya ruzuku? Na huyo Zitto ni kiongozi wa chama gani? Kuhusu uchaguzi, umesoma katiba ya CHADEMA inaelekeza nini au hisia zako tu? Ni mwalimu nani aliyekufundisha kwamba mfumo wa kugombea Uenyekiti ndani ya CHADEMA unaangalia aina ya majina ya watu waliyopewa na wazazi wao mathalani Zitto badala ya kanuni,taratibu na katiba inayoainisha sifa za wagombea ndani ya chama? Ninyi maCCM mnahaha sana kujaribu divide and rule method kusudi mlete mgawanyiko ndani ya CHADEMA.Kwa taarifa yenu hamtafanikiwa, chama lenu limejaa rushwa na uzandiki mkubwa.Mmesahau magamba yenu yananuka mnahangaika na vipropaganda vya kitoto dhidi ya CHADEMA yanawahusu?
 
Kama viongozi wa chadema wangekuwa wanawaza kama zito basi chadema kingefika mbali sana lakini wengine ndani ya chadema hawawazi maendeleo ya chama wanawaza pesa na madaraka tu.

Kwa hiyo zitto ni kiongozi wa ccm?
 
umeshauriwa na nani kuandika uzandiki huu hapa, tunaomba mods wawe na utaratibu wa kupitia kwanza threads kabla ya kuruhusu kusomwa na members wengine

hii italeta heshima ya jf isionekane kijiwe cha wahuni na palipojaa matusi yaani hakuna ya maana yanayojadiliwa hapa

source ni kama hawa wanaoleta threads ambazo hazina ukweli na za kutungwa tu
 
Kamanda umemuelimisha vya kutosha,napata hofu na uelewa wa siasa za wanachama wa magamba,sijui ni matatizo ya dv 5?
 
Dini yake na kabila lake havina tatizo kweli
 
Hamjui mlitendalo matarajio yenu kamwe hayatatimia vinginevyo mccm ndo burian marehem.
 
Zitto Zuberi Kabwe i will support you till my last breath...
 
Kitendo cha JF Moderators kupandisha hizo posts kinatafsiriwa kama malicious intention against CHADEMA

Ni vizuri watanzania hata wapenzi wa CHADEMA na wapenda wabadiliko wamejua kinachoendelea
 
Kitendo cha JF Moderators kupandisha hizo posts kinatafsiriwa kama malicious intention against CHADEMA

Ni vizuri watanzania hata wapenzi wa CHADEMA na wapenda wabadiliko wamejua kinachoendelea
Hivi una kazi nyingine zaidi ya hii ya kuwajibia wakubwa zako hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…