Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

kwa kweli hawa jamaa ni malaghai tumewastukia.sasa mwisho wao umefika
huku nilipo ukitaja slaa au mbowe unaweza kupigwa.

Labda nikusahihishe tu, kwamba kamati kuu ya Chadema@cc ndio yenye dhamana ya kuchagua viongozi wakuu katika chama.
 
Wazazi kugombana mbele ya watoto sio vyema
 
Hivi jamani mpango wa kumpeleka CHRIS LUKOSI pale MILEMBE HOSPITAL kwenye mtibabu haujakamilika tu maana hali yake ya ugonjwa wa kichaa inazidi kuwa Mbaya zaidi...
Fanyeni mpango haraka akatibiwe jamani..
 
Nikweli chenye mwanzo ,huwa na mwisho lakini mwisho wa ccm uko karibu kuliko cdm, ccm ndo itakufa kabla ya cdm.
 
Chrislukoz. Mbona unapiga kelele saana ukimwandama Dr Slaa?? Bila shaka una hisa ndani ya CCM au Unalipwa ili ukwamishe Ukombozi wa Mtanzania! Huna hata aibu??
 
Last edited by a moderator:
This man Lukosi is feasting on CCM funds abroad, the moment CCM falls, its finished!!
 
Haya huu ubishi wako bado unao tu au umeishabadilika?
 

Hapo ulipoanza tu, "Ndugu zanguni"
Ndugu zako ni akina nani???
"Tayari tuna timu tatu"
Wewe na nani mna timu tatu??
 
Aisee punguza viroba..,maana hii akili sio yako ni viroba tu.,achaa.
 
Leo nimekumbuka kauli ya Jk kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya msimu.

Wale tuliokuwa tunategemea ukombozi kupitia CHADEMA tujue "imekula kwetu".

Tumesema na kuonya kuhusu viongozi kulumbana hadharani lakini ni wazi hakuna lililofanyika.

Viongozi wa chama wanaona ila kwa maslahi yao wamekaa kimya!

Alafu hii fukuza fukuza mbona imeshika kasi sana na hutokea pale mwenyekiti wa chama anapokuwepo??!!

Ina maana viongozi hawaoni hatari iliyo mbele kwa chama chetu?

Kama wanaona mbona hawachukui hatua na kwa kuwa hawachukui hatua ni kwa faifa ya nani??!!

Hivi kweli tatizo ni posho tu au kuna agenda ya siri??!!

Joshua Nassari nae kajiunga kwenye hii issuen ili kuleta picha gani na kwa faida ya nani?

Hakika nawaambia CHADEMA imeshakufa "kiroho" ila "kimwili" tuko nayo hivyo tusubiri mazishi siku si nyingi.

Nawatuhumu hawa kwa kuua chama nao ni

1.Mbowe

2.Dr.Slaa

3.Zitto.

Hao wengine wanatumka tu!
 

Hiyo namba 3 imesemwa sana na hasa mahusiano yake ya siri na mahasimu wa Chadema pia kutokufanya kazi za pamoja na wenzie. Lakini mmm! Kama vile ni kiziwi. Nadhani ana jambo sio bure
 
Mambo mengine pasua kichwa ila Lema na nasari wao ni wajumbe tu wa kufikisha ujumbe wa wazee kwa zitto lakini kila mtu anadhambi hakuna aliyemsafi.

Wameandaa mpango wa kumtosa zitto ila nasema tena hawataweza kumwathiri zito bila kuithiri chadema mungu tupe uzima.
 
Wewe sio chadema. .utakuwa n magamba. Thread yako imekaa kimipasho zaidi..haya wahi lumumba asubuhi ukavute buku saba zako.
 
Keep on dreaming! Ukienda vijijini na mijini na ukawauliza watu wa kipato cha chini - na ndio wengi na wala hajui kuwa kuna JF - wanajua umaskini walio nao. Na hadi hapa tulipofika wanajua na watakumbuka nani aliewafikisha hapo walipo na nani kawafumbua macho!
 
Usihofu mkuu chama bado ni imara,hatavikombe vilivyo kabatini hugongana lakini kabati haivunjiki, watakuwa wamesha jifunza kutokana na makosa. Hata karl max alisema maendeleo huletwa na migogoro.
 

Wewe si magamba. ..mbona ishu ya upinzani inakuuma sana.povu jiingi na machozi juu...chadema haitakufa..mtangoja sanaaa.
 
Bangi 2pu!!!!... Akiguswa Zitto Ma-CCM ooh CDM inakufa!!! Unafiki M2pu!
 
Hivi jeneza la chama kama cdm linakuwa na ukubwa kiasi gani. Usinishangae mkuu ni katika udadisi tu. Vilevile kukusaidia mawazo wakati mnajiandaa na mazishi uliyo ya tabiri ndg SL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…