Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo ndani ya chadema kuna mgawanyiko wa kutosha na tayari tuna team tatu ambazo zimejigawa kikanda., Hii ni moja ya dalili kuwa Chadema itasambaratika mapema kuliko wengi tulivyofikiri
Sababu kuu ya kusema haya ni hili suala la mahesabu na uchaguzi ndani ya Chadema
Tayari tunajua kuwa Chadema wameingia kambini kuchakachua mahesabu ili wayawakilishe kwenye kamati ya bunge ya mahesabu huku yule aliyewaitisha mahesabu haya akiwa tayari ana data zote za haya mahesabu hivyo hata wakichakachua vipi wataishia kuumbuka tu.
Suala la uchaguzi litaibuka upya soon kwani vijana tayari wameishaanza kuwashitukia viongozi waliopo kuwa ni matapeli.
Nawashauri makamanda wasikubali kufanywa misukule na kudanganywa kitoto bali wasimame na kudai uchaguzi ili wachague viongozi wanaowataka.
TUSUBIRI MHESHIMIWA JEMBE ARUDI KUTOKA SAFARI ......
JITAMBUE

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...

Tatizo ni huyo mnayemuona mtakatifu Slaa wa karatu
Hivi wewe kweli na akili zako unakenda kuchangia mafuta ya chopa wakati hata baiskeli huna?
Hawa jamaa wanawachuna bila huruma lakini kwa sababu mko kwenye msukule mode inakuwa ni vigumu sana kushtuka, lakini naamini iko siku mtajitambua tu
CHADEMA ni Fupa lililomshinda SABODO, nani ataliweza? Sabodo kama mdhamini mkuu mzalendo wa CHADEMA amesitisha kuchangia chama hicho baada ya kuona hela zinatafunwa tu na hakuna chochote cha maana, wala dalili ya CHADEMA kushinda uchaguzi.