Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,374
- 29,617
Ben, hata ukiwekewa ushahidi we unabisha tu. sijui ulizaliwa wakati wazazi wako wakibishana kuhusu jambo fulani!
kuhusu Katiba, katiba yenu mmeinajisi vya kutosha na haifuatwi tena. maamuzi yanafanywa na Mbowe pekee na jikoni kwa Dr Slaa
kuhusu uhuru wa mawazo, ndani ya CHADEMA hakuna uhuru wa mawazo na ndo maana watu kama akina Mwigamba wanatumia njia mbadala kufikisha ujumbe kwa wananchi
kuhusu hilo la kubadili vifungu vya katiba kinyemela, majibu yaliyotolewa bado yanautata ya yameacha viongozi wenu wakivurugana.
kuna mdau alikutahadharisha kuwa si kila uzi unaweza kuuchangia na ukiamua kuchangia toa hoja za maana. vinginevyo unamaliza posho bure hapo Kinondoni
Chadema wamebakisha siasa za matukio tu watanzania wameishwapuuza.
Povu linakutoka mpaka unatia huruma...
Chadema hakuna demokrasi bali ni nguvu,ubabe na kutwangana matofari kwenye vikao tusubili mengi mda badomupo.
Kwahiyo ni sahihi mwigamba kupigwa matofari kwenye kikao?
MIMI KAMA kijana mzalendo nawashauri CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CDM) kuwa makini kwani neno demokrasi linakuwa gumu kwa baadhi ya viongozi
1. kuna baadhi ya viongozi wa juu wanaamini wao ndio kila kitu ndani ya chama na wengine inawapasa wawasikilize bila hoja bali kwa hoja ya nguvu
2. mwenyekiti na katibu mkuu wameonekana wanatumia udikteta katika baadhi ya masuala ndani ya chama wao ndio walipaswa kutekeleza wigo mpana wa demokrasia
3.uhuru wa maoni ndani ya chama unatia shaka kubwa kwani mfano mzuri ni suala la mwigamba kutoa maoni yake na baadhi ya watu kumuona msaliti
4. chadema wanapaswa kujua demokrasia sio kupinga kila kitu kama kuna kiongozi au mbunge wa chama kingine amefanya jambo zuri anapaswa kupewa haki yake na kama kakosea anaakosolewa angalia MH shibuda kwakua yupo huru baadhi ya wananchama wanamwita yy ni ccm hii inaonyesha kuwa kuna poor tolerance ndn ya chadema
5. kuhoji suala la uchaguzi ndani ya chama inaonekana ni usaliti je udikteta hauanzi kama hivi angalia dikteta hitler alivokuwa anakubalika tazama baada ya kupata madaraka ilikuaje? huwezi kuwa na uwajibikjai wa kisiasa huku ukiahirisha uchaguzi kila wakati bila sababu za msingi
6.kuhoji kwann katibu mkuu alipwe kodi za wananchi mshahara kama mbunge wakati yy si mbunge je waliwauliza wanachama au referendum kupta uhalali kama huu si ufisadi wa maamuzi wa watu wachache
7.tabia mpya ya kusimamisha viongozi bila kufata katiba ya chama ni hatari kwa mustakabali wa demokrasia
8. kubadili vifungu vya katiba vya ukomo wa uongozi kinyemela huo ni uhaini ndani ya demokrasia
BILA SHAKA CHAMA KIKIENDELEA KUTAFUTA MCHAWI NI NANI HAPO NDIPO ANGUKO KUBWA LA CHADEMA LAJA KWANI MTAANZA KUFUKUZANA. TAMBUA CHADEMA HAKIUNDWI NA WATU WA KANDA MOJA TU BALI NCHI NZIMA
Nguvu ya umma hiyo hiyo ndio inayoimaliza chadema! Ukiua kwa upanga,utakufa kwa upanga!
Chadema wamebakisha siasa za matukio tu watanzania wameishwapuuza.
Mkuu, naona wanaanza kutoka povu kwenye operesheni tokomeza
povu gani mkuu, au ukweli unauma?
We endelea kumaliza suruali kwa kusugua makalio kwenye mabenchi hapo lumumba huku CDM TUNASONGA MBELE.
Kwanini mmiliki wa jukwaa hili hachukui hatua yakuwafungia watu wenye kukosa maadili ndani ya jukwaa hili.Mleta mada kaleta wazo zuri badala yakutafakari na kufikiria kwa makini.unamwita kichaa.Haikuwahi kutokea mtu kuitwa kichaa akawa na good thouts.pengine vichaa huko kwenu niwafumbuzi wa mambo ndio mana unamjaji mtoa mada.Au pengine wazo zuri kwako nikuwateta vyama vingine tu.Natoa rai watu tujirekebishe na tupende taifa hili zaidi kuliko vyama.VYAMA VITAPITA ILA TANZANIA HAITAPITA.We nawe huna jipya.
Kwanza kabisa katiba ya cdm sio ya Tanzania
Pili mwigamba alikosea kuchafua chama huku yy akiwa mjumbe kamati kuu cc.
suala la mshahara wa Dr Slaa limeshatolewa ufafanuzi.
Sidhani kama kuna hoja ya msingi hapa.
Ni kichaa tu ndio ataweza kukaa na kuamini uliyoandika.
Uchaguzi cdm ni suala mtambuka hivyo haliitaji mjadala ktk mitandao ya kijamii,Vikao halali vya chama ndivyo vinavyotoa vote kwa kiongozi wa chama lakini sio Jamiiforums.
MIMI KAMA kijana mzalendo nawashauri CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CDM) kuwa makini kwani neno demokrasi linakuwa gumu kwa baadhi ya viongozi
1. kuna baadhi ya viongozi wa juu wanaamini wao ndio kila kitu ndani ya chama na wengine inawapasa wawasikilize bila hoja bali kwa hoja ya nguvu
2. mwenyekiti na katibu mkuu wameonekana wanatumia udikteta katika baadhi ya masuala ndani ya chama wao ndio walipaswa kutekeleza wigo mpana wa demokrasia
3.uhuru wa maoni ndani ya chama unatia shaka kubwa kwani mfano mzuri ni suala la mwigamba kutoa maoni yake na baadhi ya watu kumuona msaliti
4. chadema wanapaswa kujua demokrasia sio kupinga kila kitu kama kuna kiongozi au mbunge wa chama kingine amefanya jambo zuri anapaswa kupewa haki yake na kama kakosea anaakosolewa angalia MH shibuda kwakua yupo huru baadhi ya wananchama wanamwita yy ni ccm hii inaonyesha kuwa kuna poor tolerance ndn ya chadema
5. kuhoji suala la uchaguzi ndani ya chama inaonekana ni usaliti je udikteta hauanzi kama hivi angalia dikteta hitler alivokuwa anakubalika tazama baada ya kupata madaraka ilikuaje? huwezi kuwa na uwajibikjai wa kisiasa huku ukiahirisha uchaguzi kila wakati bila sababu za msingi
6.kuhoji kwann katibu mkuu alipwe kodi za wananchi mshahara kama mbunge wakati yy si mbunge je waliwauliza wanachama au referendum kupta uhalali kama huu si ufisadi wa maamuzi wa watu wachache
7.tabia mpya ya kusimamisha viongozi bila kufata katiba ya chama ni hatari kwa mustakabali wa demokrasia
8. kubadili vifungu vya katiba vya ukomo wa uongozi kinyemela huo ni uhaini ndani ya demokrasia
BILA SHAKA CHAMA KIKIENDELEA KUTAFUTA MCHAWI NI NANI HAPO NDIPO ANGUKO KUBWA LA CHADEMA LAJA KWANI MTAANZA KUFUKUZANA. TAMBUA CHADEMA HAKIUNDWI NA WATU WA KANDA MOJA TU BALI NCHI NZIMA
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo ndani ya chadema kuna mgawanyiko wa kutosha na tayari tuna team tatu ambazo zimejigawa kikanda., Hii ni moja ya dalili kuwa Chadema itasambaratika mapema kuliko wengi tulivyofikiri
Sababu kuu ya kusema haya ni hili suala la mahesabu na uchaguzi ndani ya Chadema
Tayari tunajua kuwa Chadema wameingia kambini kuchakachua mahesabu ili wayawakilishe kwenye kamati ya bunge ya mahesabu huku yule aliyewaitisha mahesabu haya akiwa tayari ana data zote za haya mahesabu hivyo hata wakichakachua vipi wataishia kuumbuka tu.
Suala la uchaguzi litaibuka upya soon kwani vijana tayari wameishaanza kuwashitukia viongozi waliopo kuwa ni matapeli.
Nawashauri makamanda wasikubali kufanywa misukule na kudanganywa kitoto bali wasimame na kudai uchaguzi ili wachague viongozi wanaowataka.
TUSUBIRI MHESHIMIWA JEMBE ARUDI KUTOKA SAFARI ......
JITAMBUE
Kufikiria Chadema itasambaratika kwa vihoja vya kitoto namna hii ni sawa na kuota kuwa jua litawaka usiku! Sisi huku kusini kuna maeneo watu wana Uanachama wa chadema wakati hata viongozi wa chadema hawajawahi kufika maeneo husika, ningependa nitoe rahi kwa Viongozi wangu wa Chadema fanyeni haraka leteni m4c ya nguvu maeneo ya kusini, kuna mtaji wa kutosha wa wanachama wanaosubiri kadi na bendera za kutosha! Ccm huku kusini imebaki story tu! Nyie mtabaki kutabiri ujinga tu mkiwa huko uk.
Chadema wamebakisha siasa za matukio tu watanzania wameishwapuuza.
Waliojaribu kukiua CHADEMA siyo mmoja wala wawili. Wale waliokuwa wameset deadline ya kuhakikisha CDm imekufa kabla ya 2013, wameona imeshindikana sasa wamesogeza mbele 2014. Japo katika kipindi hiki 2010 hadi sasa 2013 wamejaribu sana. Ukanda (ukashindwa) Udini (Ukashindwa) Ugaidi na tindikali (vikashindwa) Kuwanunua viongozi (Mbeya, Shonza, Sasa Arusha n.k - zimefeli zote). Kwa hiyo endelea kujaribu. Lakini jambo moja nikwambie Mungu wetu anaweza, hatakubali nchi hii iliyojaa maziwa na asali kila kitu kiendelee kumilikiwa na kutafunwa na watu wachache wakati watanzania wengi hata panadol hawawezi kupata. Inawezekana wewe kinachokufurahisha ni kuona watanzania wanateseka na hivyo furaha yako kuona Chadema inakufa ili CCM Daima iendelee maana waliisha sema CCM Daima.
Mkuu kwani msukule unaelewa....