Mwizi wa mbao iringa upo? Je, umejitoa au bado unakandamiza wananchi?CHADEMA ni matapeli wa kisasa.
Nawasifu kwa kutumia matatizo ya wananchi kama mtaji, na wanavuna mihela kweli!
Mwizi wa mbao iringa upo? Je, umejitoa au bado unakandamiza wananchi?CHADEMA ni matapeli wa kisasa.
Nawasifu kwa kutumia matatizo ya wananchi kama mtaji, na wanavuna mihela kweli!
Kama Dj Tu,
Ila mimi nina cheti...
Kama Dj Tu,
Ila mimi nina cheti...
Watu wote ambao walipanda basi la CHADEMA kati kati ya msitu wakiona Majumba na watu wanaoishi humo hudhania safari imefika mwisho nahushuka kupitia madirishani.Miongoni mwa watu waliokutwa na hali hiyo ni LUKOSI,SHONZA na MWAMPAMBA. Lakini basi linapoendelea na safari wao huanza kulalama na kumtusi dereva, bahati nzuri dereva anajua mwisho wa safari ni wapi hivyo anakanyaga mafuta bila wasi wasi na safari inaendelea. Lukosi na wenzako wenye mikosi juweni Chadema haiwezi kusambaratika kabla ya kifo cha CCM.Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo ndani ya chadema kuna mgawanyiko wa kutosha na tayari tuna team tatu ambazo zimejigawa kikanda., Hii ni moja ya dalili kuwa Chadema itasambaratika mapema kuliko wengi tulivyofikiri
Sababu kuu ya kusema haya ni hili suala la mahesabu na uchaguzi ndani ya Chadema
Tayari tunajua kuwa Chadema wameingia kambini kuchakachua mahesabu ili wayawakilishe kwenye kamati ya bunge ya mahesabu huku yule aliyewaitisha mahesabu haya akiwa tayari ana data zote za haya mahesabu hivyo hata wakichakachua vipi wataishia kuumbuka tu.
Suala la uchaguzi litaibuka upya soon kwani vijana tayari wameishaanza kuwashitukia viongozi waliopo kuwa ni matapeli.
Nawashauri makamanda wasikubali kufanywa misukule na kudanganywa kitoto bali wasimame na kudai uchaguzi ili wachague viongozi wanaowataka.
TUSUBIRI MHESHIMIWA JEMBE ARUDI KUTOKA SAFARI ......
JITAMBUE
Kwa kifupi hapo unakuwa umemtukana mwenyekiti wako DJAhaa Ningeshangaa kama umefika hata form six!Kumbe najadiliana na Mtu ambae bado ni mjinga kabisa kichwani,hayo ndiyo matatizo ya serikali yetu tunalalamika kwamba kuna Vijana wengi wameshindwa kusoma shule au wamesoma shule zenye viwango vya chini sana na hata wengine IQ zao unashangaa kabisa hasa watu design kama yako wewe! huoni kabisa Tatizo la nchi yako umekua mjinga unashabikia vitu visiyo vya maana kabisa vya kijinga.Wewe Lukosi ni tatizo lilosababishwa na CCM kutokua makini na wala hata sikulaumu maana umeharibiwa na mfumo! cha muhimu wenye mwanga wapambane ili tuwakoe ndugu zetu nyie msiojitambua kabisa.Mambo mengi unayo andika humu huwa naona vichekesho sana,una argue kama mtoto mdogo wa Primary.
Kwanza andikeni katiba inayotokana na wanachama, sio katiba ya kukidhi mahitaji ya Mtei.
Mtei alimuandaa binti yake Lilian kuwa Mwenyekiti wa Chadema baada ya Mbowe. Binti huyo alipokataa ikabidi Mtei aagize kipengele cha kuweka ukomo wa mihula ya uongozi kiondolewe ili Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
Mkuu naona unajaribu kina cha maji kwa miguu yote miwili huwezi kutoka lazima yakupeleke tu,ZeMarcopolo..Nilijua tu kuwa kwenye thread za 'dizaini' hii huwezi kukosa.
Halafu huwa una-copy na ku-paste post zako nyingi sana.
Post yako hii umei-paste mara ya tano sasa humu JF...!!!
Khaaa..!! Kweli maisha bora yako TZ...!!
Ila bado sijamuona Ritz na Chabruma kwenye thread hii..!!
Mtu yeyote ambaye hata tatizo kwenye upeo wake lazima akerwe na siasa hizi chadema make ni siasa za kiulaghai kwa maslahi yao.
Mkuu naona unajaribu kina cha maji kwa miguu yote miwili huwezi kutoka lazima yakupeleke tu,
chadema ni chama cha kilaghai na utapeli ndiyo maana zito kinamkera sana.