Unapoteza muda tu na siasa zenu uchwara hapa jf,cdm tupo field juzi tulikuwa magu na nyanguge tukitoa elimu ya uraia tukiwa na makamanda PAMBA na GWAKISA wakati nyie mmejificha nyuma ya key board
Chadema ni matapeli wa kisasa.
Nawasifu kwa kutumia matatizo ya wananchi kama mtaji, na wanavuna mihela kweli!
Chadema ni matapeli wa kisasa.
Nawasifu kwa kutumia matatizo ya wananchi kama mtaji, na wanavuna mihela kweli!
Tatizo ni huyo mnayemuona mtakatifu Slaa wa karatu
Hivi wewe kweli na akili zako unakenda kuchangia mafuta ya chopa wakati hata baiskeli huna?
Hawa jamaa wanawachuna bila huruma lakini kwa sababu mko kwenye msukule mode inakuwa ni vigumu sana kushtuka, lakini naamini iko siku mtajitambua tu
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo ndani ya chadema kuna mgawanyiko wa kutosha na tayari tuna team tatu ambazo zimejigawa kikanda., Hii ni moja ya dalili kuwa Chadema itasambaratika mapema kuliko wengi tulivyofikiri
Sababu kuu ya kusema haya ni hili suala la mahesabu na uchaguzi ndani ya Chadema
Tayari tunajua kuwa Chadema wameingia kambini kuchakachua mahesabu ili wayawakilishe kwenye kamati ya bunge ya mahesabu huku yule aliyewaitisha mahesabu haya akiwa tayari ana data zote za haya mahesabu hivyo hata wakichakachua vipi wataishia kuumbuka tu.
Suala la uchaguzi litaibuka upya soon kwani vijana tayari wameishaanza kuwashitukia viongozi waliopo kuwa ni matapeli.
Nawashauri makamanda wasikubali kufanywa misukule na kudanganywa kitoto bali wasimame na kudai uchaguzi ili wachague viongozi wanaowataka.
TUSUBIRI MHESHIMIWA JEMBE ARUDI KUTOKA SAFARI ......
JITAMBUE
sabodo...?kama kweli nyie wana ccm mnaujua ukweli tuambieni pesa za uchaguzi huwa zinatoka wapi?za kugharamia kampeni kama si wahindi wakina patel wale wanaohusika na epa na kuuza madawa ya kulevya nchini?semeni ukweli vijana wa bavicha
Misukule ya CCM inataka kuuawana katika hizo picha hapo juu huku wenzao kicheko kwa kwenda mbele.
Our BELOVED PRESIDENT NYERERE alisha wahi kusema KUNGUNI NI ADUI MKUBWA wa SERIKALI YETU... Sasa nyie ndio VIKUNGUNI Mnavyofaidika kwa kunyonya DAMU za WALALA HOI mkiwa NJE ya NCHI...
Huyu jamaa nngu007siamini kama ndiye huwa analeta post kwa niaba ya Serikali hapa jamvini na hasa post za taarifa za Wizara ya Mambo ya Ndani na hasa za Idara ya Uhamaji. Ni mtumishi wa Serikali lakini ni mamluki amejisahau. Vyombo vya Usalama vimmulike huyu hawa ndiyo wale wakati mwingine huwa wanatoa siri za Serikali nje.
F.Y.I Walimwomba kugombea URAIS alikuwa ameridhika na UBUNGE... Sasa kama walimpa Makubaliano fulani ni Juu yao na inakubalika kabisa kisiasa; Kama Mkataba baada ya kutukanana kati ya Barak Obama na Hillary Clinton... Ikamlazimu former President Clinton kwenda kwenye Mikutano ya Obama na kuhutubia -- Na Uliona pay back yake... that's LEGIT in POLITICS...
CCM imebakiza UIMARA wake VIJIJINI tuu... Sasa ukiangalia kila kona kuna KATIBU KATA na MJUMBE wa NYUMBA KUMI KUMI na IKULU NDOGO ambazo ni Rais wa NCHI tu anaruhusiwa kuzitumia wakati wa Campaign...
Na kama tuna chombo IMARA cha UCHAGUZI Rais wa nchi wakati wa UCHAGUZI asingeruhusiwa kutumia MALI za NCHI wakati wa CAMPAIGN ile MIEZI 4 anatumia kila ktu cha kwake kama NCHI ZINGINE kama hapo UK na USA hivyo ndio hapo sasa unajua UGUMU na SHIDA za kuwafikia hao wananchi walio VIJIJINI wasio jua kingine chochote zaidi ya CCM
Kwahiyo kama ingekuwa a fair game Unadhani Rais KIKWETE angeshinda??? pamoja na kutumia NGUVU ZOTE za SERIKALI POLISI; WAANDISHI; WANABLOG; WANAJESHI; IKULU NDOGO; VYAKULA vya SERIKALI; MAGARI YA SERIKALI na GAS
Unadhani Angeshinda? Ushindi walisema ni wa kura laki 200,000? tuu...
Kweli Mnaokula ndani ya CCM mna haki ya kumchukia DR SLAA asiye na MAGARI au BAISKELI... mkamuita majina yoyote ya kumtusi ili tu kunufaisha FIKRA ZENU ZA WOGA kama CCM ikiondoka MADARAKANI...
Our BELOVED PRESIDENT NYERERE alisha wahi kusema KUNGUNI NI ADUI MKUBWA wa SERIKALI YETU... Sasa nyie ndio VIKUNGUNI Mnavyofaidika kwa kunyonya DAMU za WALALA HOI mkiwa NJE ya NCHI...
Tatizo ni huyo mnayemuona mtakatifu Slaa wa karatu
Hivi wewe kweli na akili zako unakenda kuchangia mafuta ya chopa wakati hata baiskeli huna?
Hawa jamaa wanawachuna bila huruma lakini kwa sababu mko kwenye msukule mode inakuwa ni vigumu sana kushtuka, lakini naamini iko siku mtajitambua tu
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo ndani ya chadema kuna mgawanyiko wa kutosha na tayari tuna team tatu ambazo zimejigawa kikanda., Hii ni moja ya dalili kuwa Chadema itasambaratika mapema kuliko wengi tulivyofikiri
Sababu kuu ya kusema haya ni hili suala la mahesabu na uchaguzi ndani ya Chadema
Tayari tunajua kuwa Chadema wameingia kambini kuchakachua mahesabu ili wayawakilishe kwenye kamati ya bunge ya mahesabu huku yule aliyewaitisha mahesabu haya akiwa tayari ana data zote za haya mahesabu hivyo hata wakichakachua vipi wataishia kuumbuka tu.
Suala la uchaguzi litaibuka upya soon kwani vijana tayari wameishaanza kuwashitukia viongozi waliopo kuwa ni matapeli.
Nawashauri makamanda wasikubali kufanywa misukule na kudanganywa kitoto bali wasimame na kudai uchaguzi ili wachague viongozi wanaowataka.
TUSUBIRI MHESHIMIWA JEMBE ARUDI KUTOKA SAFARI ......
JITAMBUE
picha za kuombea misaada ulaya, umesahau kuweka na ile ya maandamano arusha!keep on dreaming....
![]()
Chadema ni matapeli wa kisasa.
Nawasifu kwa kutumia matatizo ya wananchi kama mtaji, na wanavuna mihela kweli!