Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015


Mbona hata hao ccm wanatuchuna bila ridhaa yetu.
 
Ni kweli CDM kuna mgawanyiko mkubwa kuna kambi ya SITA,LOWASA,MEMBE na sijui NAPE YUPO KAMBI GANI?
 
Suala la ukaguzi wa mahesabu si la vyama na halina uhusiano na watu Fulani naq kwa sababu hiyo kama unasubiri mgawanyiko hautakuwepo.
 

Unaweza kutupa mrejesho wa wapi ule utabiri wa Wassira umefikia kabla hatujaamua kichwa kichwa kumeza na huu wa kwako?
 
Sijakuelewa. Wewe siyo Chadema bali Chama cha Magamba CCM sasa kinakuuma nini mpaka utumie muda wako kuandika na kulalama. Tena unataja makosa yao kama kweli yapo au ya kuumbwa. Kwanini likuume si wanasema pilipili husiyokula yakuwasha nini. Sasa wewe inakuwasha nini mpaka unaweweseka? Sema kama una mapenzi na CDM tukuelewe japo hatuhitaji mburura kama wewe kwenye chama. Ohooo!! Kitasambaratika very soon. Si ufurahi kusambaratika kwake sasa wewe unalia nini na kusambaratika kwake. Kweli CDM inakulaza bila usingizi na bado tu itakunyima raha utabakia kuiota
 
Ahaaaaa!! Kugombea Iringa? Mburura kama huyo nani atampa kura nadhani hata mke na watoto hawatampa kura mtu kama huyu. Kwa lipi anaweza kuwakilisha wananchi wa Iringa. kila nikisoma mabandiko yake uwa najiuliza huyu mtu anatumia akili au yupo mtupu kichwani. Sasa kama ili bandiko si basi kama anaona kuna uhalali malalamiko yake ayapeleke kwa Msajili, hapa anaandika ili tumsaidie nini

 

hujajibu hoja ulizoulizwa wewe,toa mifano ya vyama vinavyofanya uchaguzi wake kila baada ya kipindi fulani na sio kubwabwaja bwabwaja hapa na maneno kibao yasiyo na mantiki yoyote.
 
Anyway, Chris unakumbuka kilichomkumba Sheikh Yahya mwaka 2010? Alitabiri mtu kufa, akafa yeye. Nina wasiwasi mkubwa kama siku ya siku tunaweza kuskia ume-commit suicide. Inaonyesha bayana kuwa kutimuliwa uenyekiti wa Chadema UK bado kunakuumiza mno na ndo maana chuki yako dhidi ya chama hicho inaongezeka kila siku. Lakini chuki ni sawa na sumu ambayo inaweza kuunguza hadi container iliyoihifadhi.

Grow up!
 
Ndugu zanguni,

... na tayari tuna team tatu ambazo zimejigawa kikanda.

Wewe mwizi wa rambirambi yaani pamoja na kufukuzwa karibia mwaka mmoja uliopita lakini inaonekana umeathirika akili yako kiasi kwamba bado unajiona kuwa ni mwenzetu.

Hizo timu tatu mlizonazo ni akina nani na zinafanya kazi gani kwa maslahi na manufaa ya nani?
 


Wewe ndie uliyenipa hiyo AJIRA?? PELEKA ISSUE MAHAKAMANI basi?? Nipate pesa za ushindi wa kunisumbua kuhudhuria VIJIKESI VYA WIVU

Kama HOJA zimekushinda... STAND UP BE A MAN... RE-GROUP and TRY TO GET BETTER lakini sio kuanzisha UZUSHI ambao utakushushia HADHI wewe Mwenyewe...

My Jamii Forums colleague From every wound there is a scar, and every scar tells a story. A story that says, “I survived.”
 
hujajibu hoja ulizoulizwa
wewe,toa mifano ya vyama vinavyofanya uchaguzi wake kila baada ya
kipindi fulani na sio kubwabwaja bwabwaja hapa na maneno kibao yasiyo na
mantiki yoyote.

Na alijuaje tunaochangia hatuna hata baiskeli, heshim sana chama kilichopo kwenye mioyo ya watu si kwenye card!
 
doctor slaa ni tishio kwa ccm na ndiyo maana kila mara wanamsema mbona msiseme ya lipumba na wengineo , dalili ya ushindi kwa chadema sasa naiona iko wazi , ni chadema tu kuendeleza mshikamano na si vinginevyo , kwani wapo watakaomtumia zitto kuisambaratisha lakini hawatafanikiwa
 
kwani ccm ilivofanya uchaguzi jakaya alipambana na nani kwenye hou uchaguziiiiii? acheni kiini macho tulizeni akili na toeni hoja za msingi
 

Unaota ndoto za mchana wewe!Wenzako(CHADEMA) wanachanja mbuga.Labla nikupe taarifa ya kuwa"Controller and Auditor General(CAG) kathibitisha kuwa hawakuwa na pesa za kukagua vyama vya siasa.Kwa hiyo Zitto anasimamia sheria inavyosema,lakini pia serikali yako ya CCM haikutoa pesa kwenye ofisi ya CAG kwa ajili ya ukaguzi.Hii kitu inarudi kinyume nyume kwa ma-CCM na serikali yake.
 
Na alijuaje tunaochangia hatuna hata baiskeli, heshim sana chama kilichopo kwenye mioyo ya watu si kwenye card!

huyu jamaa ni mnafiki, mzushi, muongo na mzandiki, kazi yake siku za karibuni haiana tofauti sana naya nnauye....propaganda mfu, yeye tunamuuliza kila siku hapa fedha alizokusanya km rambi rambi ya mjane wa Mwangosi ni shilingi ngapi na atazikabidhi lini kwa mjane wa marehemu?
 
kuna baadhi ya ndoto ni ngumu hata kuziota,yaani kama hii ya kusambaratika kwa chadema soon,nadhani mtoa hoja ni mnywa kahawa tu pale kariakoo,hivyo anacheua makahawa na makashata yake hapo! atasubiri kutimia kwa ndoto hii,na hataona,mwishowe ataomba kadi ya chadema ili aisambaratishe akiwa ndani,ila atashtukiwa na anti virus nzuri za chadema na hatimaye atafanyiwa formating!
 
Duh kweli chadema inanyanyasa watu! Kiukweli hakuna chama chenye makundi kama ccm, kuna makundi ya wagombea urais, kuna makundi ya wauza sembe, kuna makundi ya wauaji wa tembo, kuna kundi la walipuaji mikutano ya wapinzani, kuna kundi la wala rushwa, na pia kuna kundi la watoaji wa rushwa! Ama kweli nyani haoni kundule!
 
Tanzania itakuwa na amani, hakuna tena mabomu na maandamano yasiyo na maana
 
Reactions: FJM

Kichaa wangu Lemutuz kweli Chadema kinakutesa pamoja na ugonjwa wako lakini jina Chadema halisauliki kwenye akili yako. Mbona huwataji wanaokuua kwa kukupa madawa. Halafu usifikirie kuwa ww kuliwa mwizi Kama unavyowaibia Watu
kwenye kampuni ya Serengeti ukadhani wote ni wezi. Kweli Chadema imekukalia vibaya Kichaa anayekumbuka neno moja tu Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…