Mwigulu Nchemba Balaaaaa

Naripoti tu mkuu ninachokiona live toka IGUNGA. Mwendo bado mgumu ka vyama vyote

Ukiona HK aliyetamba CCM kuibuka na ushindi mkubwaaaaaa anakiri namna hii ujue magamba chaliiiiiiiiiiii, bwaha ahaha bwahaha ahahahah!!!!!!
 
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.

Hahahahahaaaa hahahahahaaa hahaha mmmh umetumwe eeeee?jipange vizuri basi sio unakurupuka au waambie wakufunde kwanzaa!
 
naona wakati unaandaa hii mada yako saburi zako zilikuwa "very wet"

make umechangamka kama vile umekalia ji!u
 
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.

Wewe ni mwanaume au ni mama unamsifia kwa vigelegele namna hiyo. Tuna wasiwasi tueleze vizuri ilivyokuwa huo usiku tukuelewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Sisi tunajua alishikwa ugoni mh............................?
 
Tatizo la kutumika hili na kupewa vijisenti na huyo Nchemba,pole unaejiita kijana huku ukiwa umelala taabani.
 
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.

Bora ukose hela lakini si BUSARA.
Nashindwa kukuelewa unataka kuleta ushawishi kwa watanzania wa rika lipi?
Humu wanakuja watu na hoja zao.
Unauleta hapa si SIASA ni UMBEA.
Jaribu kukua na kuleta vitu vyenye manufaa kwa umma.
 
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.

Ni hatari mno hasa kwa wake za makada wa CCM
 
huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga cdm vibaya sana. Kbla hajaja hapa igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa cdm,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko isakamaliwa wakiimba nyimbo za ccm. Ikiwa cdm itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.

kwenye green, vijana gani? Wa kiume au wa kike?
 
kazi kubwa ipo kuikomboa tz kwa hawa Magamba wa2 hawajitambui, na huyo Nchemba si wale wale wapo kiposho zaidi badala ya kuadress matatizo waliyonayo mpaka tukarudia uchaguzi wa Igunga, shame on them ccm
 
Bila ushabiki wala nini, CCM ikishindwa Igunga wa kwanza Kulaumiwa awe Nchemba, hao vijana wanaosemwa wamebadilika ni wale waliokuwa kwenye makambi ya singida na semina elekezi shinyanga, bahati mbaya kwao si wapiga kura ila wajaza mkutano, nategemea baada ya uchaguzi kutakuwa na kushikana mashati juu ya malipo ya posho zao, kwa sababu watatoswa kama kawaida,
CCM ni kama kikongwe anaota kushinda mbio za marathoni, pity!
 
Mi nilivyoona kichwa cha habari
[h=2]Mwigulu Nchemba Balaaaaa[/h]nikajua keshampiga mipini mke wa mwanaccm mwengine
 
jamaa c anasifika kwa kula visusio vya wenzake.mtoa mada ka vle anafikiri kwa............................................
 
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.

Kama anamvuto funga naye ndoa
 
Salimia................... Nakumbuka enzi za nyuma kulkuwapo dawa fulani ya kuchua ikijulukana kwa jina hilo. Kazi yake kupunguza maumivu!!!! Mh. punguza maumivu kwa kujipa moyo dada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom