Mwigulu Nchemba Balaaaaa

Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.[/QUOT



kwa jinsi unavyomsifia mwaume mwezio!!,malizia kwa kumpa mkeo
Matusi hayasaidii saa hizi,, ni kichapo tu na ADHABA tarehe 2,, mapema tu kama walivyosema wengine.
 
nchemba hana kitu, amepewa tu hela akazigawe huko Igunga , hakuna kipya. Wana Igunga mkifanya kosa kichagua CCM shauri yenu, mtajuuuuuta
 
ulikuwa miongoni mwao waliokesha kuimba nyimbo za ccm, je hapo bado unakata kuwa wewe si mtumwa?????????????????? Ccm bana ikiwapatia walalahoi wasiotaka kusumbua ubongo inawatumia kweli.

Huwezi amini jengo la ccm kijijini kwetu wamepangishiwa watu wanaishi hakuna wanachama na hii sitani. Sasa hao wanaokesha usiku kuimba nyimbo za ccm sijui ni wageni hapa tz au ni wale tu kwao maendeleo ni kipande cha kanga, kofia na pengine chakula cha mchana au kusafirishwa kupelekwa kwenye viwanja vya kufanyia kampeni.?????????????????
dakika za lala salama tutasikia malalamiko mengi sana ambayo hayaponyeshi kichapo tarehe 2. Mwendo mdundo babake
 
Hujajitambua, anatumia mikusanyiko kama hiyo kufanikisha malengo yake ya kuwapata makadada ambao ni wake za makada wenzake.
 
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.

Naona umeongezwa kwenye list ya vibaraka leo, maana ulivokuja kasi!!!
 
dakika za lala salama tutasikia malalamiko mengi sana ambayo hayaponyeshi kichapo tarehe 2. Mwendo mdundo babake
Itakusaidia nini kushinda iwapo Tanzania inazidi kuzama kwanye dimbwi la ufukara????????? Tumia akili ingawa kidogo kufiri juu ya future ya Tanzania wacha ushabiki wa kijinga!!!!!!!!!!!!Unalipwa nini kuweka ujinga hapa????
 
Itakusaidia nini kushinda iwapo Tanzania inazidi kuzama kwanye dimbwi la ufukara????????? Tumia akili ingawa kidogo kufiri juu ya future ya Tanzania wacha ushabiki wa kijinga!!!!!!!!!!!!Unalipwa nini kuweka ujinga hapa????
hacha kutukana wenzio ***** wewe,, kwani weee unalipwa nini kuweka upupu wako humu?
 
Tulisikia humu kuwa huyu Mchemba alilala na Mke wa Mtu; au ndio porojo zetu za aliyeshindwa???
 
Nikweli balaa kwakutembea na wake za watu ningekuwa mimi nipo igunga nisinge ruhusu mke wangu amsogelee
 
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.

Unamaanisha huyu Mwigulu Nchemba wa CCM aliyefumaniwa UGONI NA MKE WA KADA MWENZAKE WAKIWA GUEST HOUSE?? Mwigulu Nchemba hayuko Igunga kwa ajili ya kampoeni za CCM baali ameenda kumendea wake za watu na kuzini nao hasa WAKE ZA MAKADA WENZAKE! Labda hiyo NDIYO BALAAA ALIYO NAYO HUYU JAMAA! Nje ya hapo hana lolote zaidi ya KUMENDEA WAKE ZA WATU NA KUFANYA NAO UZINZI!

Kama wewe ni mkweli toka moyoni mwako SEMA KUHUSU MKUTANO WA ZITO ZUBERI KABWE ALIPOINGIA IGUNGA JUZI JINSI ALIVYOFUNIKA NA MAMIA KWA MAELFU YA WANA IGUNGA KUHUDHURIA MKUTANO WA CHADEMA!
Weka kwenye mizani kati ya ZITO ZUBERI KABWE na MWIGULU NCHEMBA halafu wewe mwenyewe ushuhudie mzani unakoelemea!

Jamani tuacheni porojo za kijinga za kutaka kuwarubuni wana-Igunga eti CCM ina watu wenye ushawishi. Wako wapi? Mmepeleka yote Magamba kule huku mnadai mnajivua magamba. Hivi MKAPA siyo FISADI GAMBA. RA mmemtosa kuwa ni FISADI NA GAMBA lakini siku ya uzinduzi wa Kampeni mka mualika tena AJE ATEME SUMU YAKE YA KIFISADI GAMBA AKISAIDIANA NA GAMBA SUGU LA BWANA MKAPA.

Ndiyo maana tunasema NYOKA KUJIVUA GAMBA HAKUMWONDOLEI SUMU YAKE MAANA SUMU INABAKIA PALE PALE NA AKIKUUMA LAZIMA UFE.Kila mtu anajua MKAPA NA ROSTAM WOTE NI MAGAMBA SUGU YALIYOANZIA IKULU HADI KWENYE EPA,RICHMOND,KAGODA,DEEP GREEN,IPTL,KIWIRA NA UOZA WOTE WA KIFISADI UNAOWEZA KUUKUMBUKA.

Shime wana Igunga say NOO TO MAFISADI/MAGAMBA!
 
@Kusema Mwigulu ana nguvu ya ushawishi kwa vijana wa Igunga ni uongo mkubwa na ni uzushi, na nikujidanganya kabisa. Ukweli ni kwamba Mwigulu si mwanasiasa kiasilia ni mtu wa kawaida sana, Si katika kuongea wala kujenga hoja, Nina uhakika 100% hakuna kijana yoyote anayeweza kushawishiwa na Mwigulu. Hata kashfa ya kukutwa na mke wa mtu naamini ni bahati mbaya au labda ndio ameamua kuanza huo mchezo sasa. Kwani yuhu mtu si wa kihivyo kabisa. @Hizi hapa chini ni baadhi ya hoja zake ambazo amekuwa akizitumia Igunga, ambazo kamwe haziwezi kuwabadilisha vijana wa Igunga; 1/Hoja ya kumwagiwa tindikali 2/Madai kuwa eti Chadema ni chama cha kikabila 3/Madai ya eti Chadema imeleta makomandoo 4/kuitumia Ilani ya Ccm 2010. @Mtoa mada anakiri kuwa hapo kabla vijana wengi kama si wote wa Igunga walikuwa wanakiunga mkono Chadema, Swali ni nini na nani aliwafanya vijana wa Igunga wawe wanawaunga mkono Chadema?
 
Hajui kutumia mdomo tu kudanganya hutumia viungo vingine pia kama Salimia anavyotuthibitishia hahaha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom