Mwigulu Nchemba Balaaaaa

mimi kwanza nilikuwa simjui mwigulu nchemba, ila jana nilipo muona ndipo ni kakumbuka kuwa ni yule kilaza anayechangia pumba mule bungeni
 
mimi kwanza nilikuwa simjui mwigulu nchemba, ila jana nilipo muona ndipo ni kakumbuka kuwa ni yule kilaza anayechangia pumba mule bungeni
pumba zipi? toa mfano hapa acha kudandia treni kwa mbele wewe
 
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.

Ni kweli aisee, yaani hata wake za watu wanajua hilo
 
pumba zipi? toa mfano hapa acha kudandia treni kwa mbele wewe

mie sio mtu wa kudandia kwa mbele, huyu si yule anaye sema mandamano ya chadema yanaathiri maendeleo na nivurugu, wewe kwa upeo wako unaafiki hilo ?
 
Mzee Msekwa, kamsaidieni huyu kijana wenu ajue kutofautisha kati ya msichana wa kutongoza na mke wa mtu na heshima zake.

Hakika hivi vijitabia tabia za UMRI ULE WA KUBALEHE vikiachwa bila kukemewa vikavuka na wewe hadi umakamo huo tunaomuona nao Mhemba hapo chini, watu hawakawii kupiga kofuli kwa hisani ya sayansi zile za maabara za vijijini au kusomewa kabisa Al-badiri kama si kurudishiwa kabisa haki yeye mwenye cash cash tu.

Siku zaidi za huyu baba katika vijiji vya Wana-Igunga, eti kwa jina la kampeni, wala si salama kwake hata kidogo nawaambieni.

Mtu ukaaibishe vijana wenzio na wala usije ukaidhalilisha ukoo mzima wa watu fulani hivi hivi kama si kusababishia kabisa chama chake (CCM) zahama kabisa ya kukataliwa kote sawa yake bundi kwa vindege wenzie huko porini.

Tahadhari yetu ndio hiyo hapo.



Ni kweli Mwigulu ni balaaaa......KWA KUHUTUBIA WATOTO NI BALAAAA..!!!!!!!!

3.++Mgombnea+wa+CCM%2C+Dk.+Dalaly+Kafumu+akihutubia++Maelfu+ya+wananchi+waliofurika+kwenye+mkutano+wa+CCM%2C++Mwanzugi%2C+Kata+ya+Igunga+Vijijini%2C+mkoani+Tabora%2C+jana..jpg
 
Sasa kila kitu kipo wazi kwamba CCM wameshinda kwa margin ya kura +4000. Hii ni kazi ya kijana makini na mahiri sana Nchemba Mwigulu ambayo niliwaeleza toka mwanzo kwamba huyu mtu ni balaa sana sana,,, sasa inueni mioyo na kila mtu atajaza kwa wakati wake. Usiku mwema wote. TUMEPELEKA KILIO MAHALI FULANI.
 
mWIGULU BWANA YAKO NINI MBONA UNAMFAGILIA SANA HUMU? AU SHOGA WEWE? ACHA UKUWADI NDUGU HV HUONI AIBU?
 
saa moja jioni jana kauli zenu hazikuwa hizi!! ilikuwa full shangwe kwa matokeo yas vituo 5 tu! sasa matusi yanarudi palepale
Bwahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa:Cry:,, kilio cha mtu mzima..
Tujipange tujaribu tena 2015 kwikwikwikwiiiiiii, teh teh teh teh teh teh teh!!!! AIBU
 
mWIGULU BWANA YAKO NINI MBONA UNAMFAGILIA SANA HUMU? AU SHOGA WEWE? ACHA UKUWADI NDUGU HV HUONI AIBU?
Ok,, tufanye mii shoga,, ila bottom line CCM imeshinda na MWIGULU ndiye mume wenu. Kaja Slaa, kachukua za uso toka kwa kijana mdogo,, kaja Mbowe kala za mbavu, kaja Zitto ka[ewa za CHEMBE,, CCM wamechukua wameweka aaaahhh, shangilia ushindi unakuja!!1 teh teh teh
 
The fact will always surface, hakuna cha wizi wala ndugu yake na wizi. Mbowe, slaa wote wamevuliwa nguo na kijana mdogo, hapo Nape hajafika. Mlie tu chadema
 
Tukitaka maendeleo nchi hii inabidi tuue mashoga wote. Ama sivyo watatuletea sumu kali sana katika nchi hii..
 
Tukitaka maendeleo nchi hii inabidi tuue mashoga wote. Ama sivyo watatuletea sumu kali sana katika nchi hii..
Hapa siasa,, wewe unaongelea saana ushoga, au wewee chakula?? gtuambie tukupakue chundu wewe!! nenda kwenye jukwaaa la mashoga mbangubangu wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom