Mwigulu Nchemba awa kivutio KJ 823 Msange Tabora

Katika hali ya isiyotarajiwa Mbunge wa Iramba ndg Mwigulu aka MZALENDO amegeuka kivutio baada ya vijana kuomba kwa afande wa zamu kupiga naye picha kwa zamu na kukaa naye kwa zamu kipindi cha kukaa chini na kuimba.

Pia vijana waliigombania skafu yake baada ya bwana Mwigulu kumpa kijana mmoja na wenzame kumvaa mweleka wakimyang"anya.

Skafu hiyo ilichanika vipandevipande mbele ya afande wa zamu alibaki akicheka huku nahe na wenzake wakiomba kupiga picha na Mwigulu mbele ya vijana wapatao zaid ya 1300.

Vilevile Mzalendo huyu amekuwa gumzo baada ya kuonesha ushupavu mkubwa kwa kukimbia km 8 bila kuchoka hadi maafande kumwita Tegete kufuatia jezi aliyovaa.

Push up zote , kichura na mazoez ya viungo ilikuwa mboga huku wenzake wakiliia maumivu.

Mytake huyu jamaa historia yake ya kuchunga mifugo mpaka akiwa chuo kikuu kama ilivyooneshwa star tv itakuwa imemjenga sana misuli.

Kila heri MZALENDO

Skaf ya rangi gani??? Kama ni Kijani au Manjano basi Bwawa limeingia ruba, CCM hadi Jeshini???

Hii ni JKT kweli ambayo baadhi yetu tulipitia? Unapata wapi ruhusa ya kupiga picha, kuvaa skafu yako, kuvaa fulana yako (tegeta!) n.k.? Nafikiri hii ni public relations, hata akina Kawawa hawakufanyiwa hivi?

Left to Right: Aboud Jumbe Mwinyi (Vice President) The late Rashid Mfaume Kawawa (Prime Minister) and the late Chief Adam Sapi Mkwawa (Speaker of the National Assembly)

184833_475890915795269_511129751_n.jpg
 
Mbona nimemuona na skafu yake kwenye msafara wa msomali Kinana.
 
Katika hali ya isiyotarajiwa Mbunge wa Iramba ndg Mwigulu aka MZALENDO amegeuka kivutio baada ya vijana kuomba kwa afande wa zamu kupiga naye picha kwa zamu na kukaa naye kwa zamu kipindi cha kukaa chini na kuimba.

Pia vijana waliigombania skafu yake baada ya bwana Mwigulu kumpa kijana mmoja na wenzame kumvaa mweleka wakimyang"anya.

Skafu hiyo ilichanika vipandevipande mbele ya afande wa zamu alibaki akicheka huku nahe na wenzake wakiomba kupiga picha na Mwigulu mbele ya vijana wapatao zaid ya 1300.

Vilevile Mzalendo huyu amekuwa gumzo baada ya kuonesha ushupavu mkubwa kwa kukimbia km 8 bila kuchoka hadi maafande kumwita Tegete kufuatia jezi aliyovaa.

Push up zote , kichura na mazoez ya viungo ilikuwa mboga huku wenzake wakiliia maumivu.

Mytake huyu jamaa historia yake ya kuchunga mifugo mpaka akiwa chuo kikuu kama ilivyooneshwa star tv itakuwa imemjenga sana misuli.

Kila heri MZALENDO
we ndio mke wake?????????
 
Back
Top Bottom