Wamechanganyikiwa, wanatapatapa, wanahangaika na kujipendekeza lakini hawatafanikiwa. Damu za watu hazijawahi kumuacha mtu salama.Naona kitengo Cha propaganda kimepata spinning machine inayocheza script ya kitengo Ili ku neutralize Hali iliyopo!
Kiasi fulani wamejitahidi,hasa ufunguzi wa kanisa, kupinga tuhuma za askari kuua raia n.k,lakini ningependa kuona serikali na viongozi wanakua pro active zaidi kuliko kuacha mambo yaharibike ndio walete spinning machine wa kuchezesha beat watanzania!
Utamaduni wa kuharibu halafu baadae mnatengeneza palipoharibika na kujisifu Bado ni wa kijima sana Kwa zama hizi!
Kwamfano
Mnafungia makanisa halafu baadae mnayafungulia mnataka mpongezwe,huo sio uongozi no umbumbumbu!
Mnawasingizia kesi za uhaini watu,wengine mabinti wadogo kabisa baadae mnawaachia mnataka mpongzwe na ionekane serikali imefanya kazi huo nao ni umbumbumbu!
Mnatumia vyombo vya dola kunyamazisha watu,baadae watu wanachoka na kuandamana wanakufa vifo vya aibu halafu baadae mna spin vifo kwa mazishi ya mchongo na ya aibu Hadi CNN inaripoti na mnaanza ku spin taarifa,kwanini msingezuia mauaji Kwa kufuata Sheria na haki zake kuliko ubabe wa dola!!?
Kifupi no kwamba,comrade nchemba unatumika kama spinning machine ya umbumbumbu wa serikali na chama chetu CCM Kwa kushindwa kusimamia Sheria na taratibu tulizojiwekea na kuzitunga wenyewe!!
Umbumbumbu was kiwango Cha juu sana unashuhudiwa zama hizi!!
Kama ilani yetu inasema "KAZI na utu" Kwanini tusionyeshe huo utu Kwa kufuata Sheria na taratibu tulizojiwekea!!?
Mungu ibariki Tanzania!
Na sio kufa tu bali kuwachoma maiti na majeruhi kwenye tanuru la Wazo Hill ni kitu kibaya sana kisichoweza kusameheka.Wanafanya Siasa za zamani karne hii unafananisha mali na uhai watu unataja vitu vyilivyoaribika lakini hutaji watu wangapi wamekufa ni upumbavu wa ali ya juu sana propaganda za Kitoto
huyo ni mwanasesele wa wazenjNaona kitengo Cha propaganda kimepata spinning machine inayocheza script ya kitengo Ili ku neutralize Hali iliyopo!