Mwigulu Nchemba Aitisha Mkutano na Waandishi Wa Habari baada Ya Uchumi kudorora na Kupanda Kwa Bidhaa Nchi

Nafikiri wameshapanga gear ya kuwahadaa watanzania baada ya mafuta kupanda.
Mwigulu waheshimu watanzania....mwigulu kesho usitufokee please. Tunahitaji ahueni ya maisha sio majigambo na masifa ya awamu ya tano"B"
 
Tuliwategemea waandishi mfano wa Pascal Mayalla wawa'coach hawa waandishi wa kizazi hiki lakini ndio hivyo, malegend wenyewe walishafika bei.

Siku hizi hata kuuliza Spika wa bunge Job Yustino Ndugai wanatujibu hizo Privacy za muhusika.

Rubish kabisa hawa waandishi, walishaingizwa virusi vya woga vichwani mwao.!
Wameingia kwenye ule mtego wa matumaini kuwa muda wowote anaweza akaukwaa u DC kwahiyo wasihoji sana wakachafua CV
 
Porojo zimeshatungwa kama kawaida yao.

Kwa nchi za watu wastarabu huyo Mwigulu angeshajiuzulu.
Chief Hangaya yuko kwao Mwezi huu mtukufu; kama kuna waziri atamponza ni Huyu!!
Hakuna atakayeamini kuwa Putin ndio katuletea mfumuko wa bei!! Pengine waje na porojo nyingine!
 
Mwigulu hana hulka ya kuongea na watu vizuri sababu ya kujifanya mjuaji na midharau yake ile...
 
Mwigulu hana hulka ya kuongea na watu vizuri sababu ya kujifanya mjuaji na midharau yake ile...
Huwa anaboa tu,neno moja anarudia Mara 6.Moja ya wizara iliyokosa waziri ni wizara ya fedha.Tamisemi,mambo ya ndani,utalii,Nishati,nk
 
Huwa anaboa tu,neno moja anarudia Mara 6.Moja ya wizara iliyokosa waziri ni wizara ya fedha.Tamisemi,mambo ya ndani,utalii,Nishati,nk

Jamaa huwa anataka asikilizwe yeye tu mwanzo hadi mwisho...
 
Itachukuwa miaka kumi kuutengeneza uchumi ulioharibiwa na marehemu Mwendazake.

Pole Sana Mama Samia.
Itatuchukua 50 years kurekebisha damage inayofanyika sasa.

Watanzania Mungu atutie nguvu tu.
 
No body no body pale muhuni fln kapewa nafsi kuja kupika data ila mung yupo kwa watesi Hawa na magenge yao
 
Back
Top Bottom