Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Wakuu.
.
Waziri Wa Fedha Nchini Tanzania Mwigiru Nchemba Ameitisha Mkutano na Waandishi Wa Habari baada Ya Uchumi kudorora na Kupanda Kwa Bidhaa Nchi.
.
Mkutano Huo na Waandishi Wa Habari unafanyika kesho Trh.10/04/2022, Katika Ukumbo Wa Hazina Jijini Dar Es Salaam.
.
Atakuwa ameambatana na Waziri Wa Viwanda Ashatu Kijaji.
.
Je kesho Tutegemee Nini au ndio propoganda na Matisho dhidi ya Sisi Wananchi?