Mwigulu Nchemba Aitisha Mkutano na Waandishi Wa Habari baada Ya Uchumi kudorora na Kupanda Kwa Bidhaa Nchi

Una akili nyingi mkuu.

Ila naogopa hizo noti bandia kwa uchumi wetu. Utakuta sababu ya kudorora kwa uchumi imesababishwa na noti batia hahahhahahaahh
🤣🤣🤣🤣 🙏🙏Yaan ni basi tu ningezipata ningechukua fursa mbona wenzetu wanalamba tu asali
 
Wakuu.
.
Waziri Wa Fedha Nchini Tanzania Mwigiru Nchemba Ameitisha Mkutano na Waandishi Wa Habari baada Ya Uchumi kudorora na Kupanda Kwa Bidhaa Nchi.
.
Mkutano Huo na Waandishi Wa Habari unafanyika kesho Trh.10/04/2022, Katika Ukumbo Wa Hazina Jijini Dar Es Salaam.
.
Atakuwa ameambatana na Waziri Wa Viwanda Ashatu Kijaji.
.
Je kesho Tutegemee Nini au ndio propoganda na Matisho dhidi ya Sisi Wananchi?View attachment 2181786
Ashatu Kijaji. PhD yake ile tunayosema binti mweupe anapendwa
 
Wakuu.
.
Waziri Wa Fedha Nchini Tanzania Mwigiru Nchemba Ameitisha Mkutano na Waandishi Wa Habari baada Ya Uchumi kudorora na Kupanda Kwa Bidhaa Nchi.
.
Mkutano Huo na Waandishi Wa Habari unafanyika kesho Trh.10/04/2022, Katika Ukumbo Wa Hazina Jijini Dar Es Salaam.
.
Atakuwa ameambatana na Waziri Wa Viwanda Ashatu Kijaji.
.
Je kesho Tutegemee Nini au ndio propoganda na Matisho dhidi ya Sisi Wananchi?View attachment 2181786
Itachukuwa miaka kumi kuutengeneza uchumi ulioharibiwa na marehemu Mwendazake.

Pole Sana Mama Samia.
 
Wakuu.
.
Waziri Wa Fedha Nchini Tanzania Mwigiru Nchemba Ameitisha Mkutano na Waandishi Wa Habari baada Ya Uchumi kudorora na Kupanda Kwa Bidhaa Nchi.
.
Mkutano Huo na Waandishi Wa Habari unafanyika kesho Trh.10/04/2022, Katika Ukumbo Wa Hazina Jijini Dar Es Salaam.
.
Atakuwa ameambatana na Waziri Wa Viwanda Ashatu Kijaji.
.
Je kesho Tutegemee Nini au ndio propoganda na Matisho dhidi ya Sisi Wananchi?View attachment 2181786
Uchumi ulikuwa kwa 4.9% 2022 vs 4.8% 2021..

Uchumi haudorori kwa maneno ya mdomoni bali kwa sababu zinazopimika.
 
Mwigulu hawezi kuwa na jipya.
Kwa nini asiwe na jipya? Huenda akatangaza hatua za kisera Kuhusu mambo ya bei za mafuta na bidhaa na muelekeo ujao..

Namkubali Sana Mwigulu kwenye uendeshaji wa Uchumi,,wasomi na wataalamu wa Uchumi mtakubaliana na mimi kwa sababu kuna vigezo vya kupima ..

Mwisho Jtatu NMB wanatoa gawio na kushusha bei za riba 👇

Screenshot_20220409-102603.png
 
Tatizo sio Mwigulu kuitisha mkutano na waandishi wa habari, tatizo ni aina ya wana habari wa sikuhizi tulionao. Either wananidhamu ya woga or taaluma yao ya kimagumashi.
1. Utakuta hawana takwimu sahihi za mlinganisho mf Waziri atakwambia bei ya mafuta imepanda duniani ndio maana na sisi yamepanda. Hapo ni lazima mwandishi awe na takwimu sahihi za nchi mbalimbali Duniani ili kama kuna udanganyifu aambiwe ukweli nchi kadhaa za E.Africa, C.Africa, Asia na kwingineko mbona bei zao ziko stable na njia gan walitumia kustabilize bei, why sisi kirahisi tu hatuchukui hatua
2. Kumbukumbu za speech za viongozi. Haiwezekani Waziri aliyesema tokea mwaka 2015 kuwa ikifikia 2018 kukatika kwa umeme itakuwa historia then 2022 aje aitishe press kizembe tu na kauli yake ilishasaulika. Viongozi wengi wanajua sisi kuweka kumbukumbu kwa usahihi ni shida
3. Coordination ya wanahabari kuhusu Nini cha kuuliza Waziri husika na wawe tayari walishajipa majibu watakayojibiwa na Waziri husika ili pia palete swali endelevu lenye majibu sahihi ya kutatua tatizo. Mf Swali linaweza kuwa, Kwanini bidhaa zinapanda bei kiholela? Lazima wajijibu wenyewe kabisa kuwa jibu litakuwa ni kwa sababu ya vita ya Ukraine na Russia au kupanda kwa bei ya mafuta. Hapo pia lazima pazae swali lingine na sio kukubali jibu na Mambo yakaishia hapo na Waziri akatoka kifua mbele kajibu changamoto zinazoikabili nchi. Coz majibu km hayo ht Mimi wa darasa la nne najua ndio jibu litakalotolewa ambalo halikuwa jinahitaji press.
Wanatakiwa wamwulize mbona bei ilianza kupanda toka mwaka jana kabla ya vita
 
Kwa nini asiwe na jipya? Huenda akatangaza hatua za kisera Kuhusu mambo ya bei za mafuta na bidhaa na muelekeo ujao..

Namkubali Sana Mwigulu kwenye uendeshaji wa Uchumi,,wasomi na wataalamu wa Uchumi mtakubaliana na mimi kwa sababu kuna vigezo vya kupima ..

Mwisho Jtatu NMB wanatoa gawio na kushusha bei za riba 👇

View attachment 2181948
Mwigulu yule ni mshabiki na mlamba miguu. Simwamini hata siku moja.
 
Huyu Aliyesema Tuende Burundi
Hao Ndiyo Mawaziri Mizigo Na Kinana Amerudi
 
Wakuu.
.
Waziri Wa Fedha Nchini Tanzania Mwigiru Nchemba Ameitisha Mkutano na Waandishi Wa Habari baada Ya Uchumi kudorora na Kupanda Kwa Bidhaa Nchi.
.
Mkutano Huo na Waandishi Wa Habari unafanyika kesho Trh.10/04/2022, Katika Ukumbo Wa Hazina Jijini Dar Es Salaam.
.
Atakuwa ameambatana na Waziri Wa Viwanda Ashatu Kijaji.
.
Je kesho Tutegemee Nini au ndio propoganda na Matisho dhidi ya Sisi Wananchi?View attachment 2181786
Political stunt... Wachumi wetu hawana mbinu ambazo zina work kiuhalisia.
Pia wamejaa jeuri sana na hasa viongozi wa kisiasa.
 
Uchumi wa Kenya uliimarika Sana mpaka 1980 kipindi Mwai Kibaki alipokua waziri wa fedha, ukadorora kipindi Cha 1980/2003 , kuanzia 2003 ukaanza kuimarika Tena wakati Mwai akiwa rais mpaka 2013 wahuni walipoingia madarakani.
A strong economy is directly proportional to a serious leadership and a smart finance minister.

Sijamtaja mtu
 
Tatizo sio Mwigulu kuitisha mkutano na waandishi wa habari, tatizo ni aina ya wana habari wa sikuhizi tulionao. Either wananidhamu ya woga or taaluma yao ya kimagumashi.
1. Utakuta hawana takwimu sahihi za mlinganisho mf Waziri atakwambia bei ya mafuta imepanda duniani ndio maana na sisi yamepanda. Hapo ni lazima mwandishi awe na takwimu sahihi za nchi mbalimbali Duniani ili kama kuna udanganyifu aambiwe ukweli nchi kadhaa za E.Africa, C.Africa, Asia na kwingineko mbona bei zao ziko stable na njia gan walitumia kustabilize bei, why sisi kirahisi tu hatuchukui hatua
2. Kumbukumbu za speech za viongozi. Haiwezekani Waziri aliyesema tokea mwaka 2015 kuwa ikifikia 2018 kukatika kwa umeme itakuwa historia then 2022 aje aitishe press kizembe tu na kauli yake ilishasaulika. Viongozi wengi wanajua sisi kuweka kumbukumbu kwa usahihi ni shida
3. Coordination ya wanahabari kuhusu Nini cha kuuliza Waziri husika na wawe tayari walishajipa majibu watakayojibiwa na Waziri husika ili pia palete swali endelevu lenye majibu sahihi ya kutatua tatizo. Mf Swali linaweza kuwa, Kwanini bidhaa zinapanda bei kiholela? Lazima wajijibu wenyewe kabisa kuwa jibu litakuwa ni kwa sababu ya vita ya Ukraine na Russia au kupanda kwa bei ya mafuta. Hapo pia lazima pazae swali lingine na sio kukubali jibu na Mambo yakaishia hapo na Waziri akatoka kifua mbele kajibu changamoto zinazoikabili nchi. Coz majibu km hayo ht Mimi wa darasa la nne najua ndio jibu litakalotolewa ambalo halikuwa jinahitaji press.
Tuliwategemea waandishi mfano wa Pascal Mayalla wawa'coach hawa waandishi wa kizazi hiki lakini ndio hivyo, malegend wenyewe walishafika bei.

Siku hizi hata kuuliza Spika wa bunge Job Yustino Ndugai wanatujibu hizo Privacy za muhusika.

Rubish kabisa hawa waandishi, walishaingizwa virusi vya woga vichwani mwao.!
 
Back
Top Bottom