dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,152
Eti alikua anajigamba kuleta kodi ya data sasa unapata vipi data bila kununua vocha? Wachumi wetu wanafuraisha sana ubinifu wao unawalakini mi sijui mambo ya uchumi hila kuna siku nilikua namsikia makamu rais wa Ghana alikua Mauritius kwenye mkutano akawa anaelezea sera yao ya one district, one factory nilielewa kirahisi sana hivi ndio vitu vya kukuza uchumi sio mzigo ulipiwe kodi bandarini, unalipiwa kodi na muuzaji wa jumla halafu ulipiwe kodi na muuzaji wa rejareja .Nimedokeza mara nyingi huyu alikowekwa siyo anafaa wizara ya fedha
Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba amehitimu masomo ya PhD ya Uchumi aliyokuwa anasomea ktk Chuo Kikuu cha Dar es salaam(UDSM).
Ndugu usichanganye madesa. Thesis ni for master degree na dissertation kwa Philosophical doctrine. Nyongeza juu ya huu utofauti ni kwamba,in thesis you present what you investigated that has investigated by other scholars but in dissertation you present new thing you discovered through your investigation. Watu wenye Phd wanastahili pongezi kabisaJe Thesis yake ameiwakilisha? (disseminate)
Je Teyari ameitetea? (defend)
je utafiti wake umekubaliwa(Approved by supervisors)
Ph.D nyingi za Tanzania hazipitii hatua hizo na mtu tu kufanya huo utafiti wake mwisho wa siku utasikia ana Ph.D mfano akina Nchimbi,Mery Nagu, na yule na wengineo wengi tu
Ph.D study bila kuimaliza kwa kufikia hatua hiyo ni sawa na kuandika report halafu unaifungia kabatini bila kuwapa watu waisome.
Kama Mwigulu amepursue andiko la Ph.D na ati amefuzu basi Ph.D yake ni fake.
saa ngapi alikuwa anakwenda huko, gawa PhD gawa tu!.................. It is paying ...se Buchweishaija, he is ascending up the ladder!Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba amehitimu masomo ya PhD ya Uchumi aliyokuwa anasomea ktk Chuo Kikuu cha Dar es salaam(UDSM).
Ni uzamifu au uzamivu?eg, (1)amewakilisha lini tasnifu/andiko lake la uzamifu,
(2) Jina la thesis aliyoifanyia utafiti,
(3) Jina la profesa aliyemsimamia.
etc etc.
Mleta thread tafadhali rekebisha thread ieleweke kwa wasomi!
Sawa Dr. MWIGULU lameck NCHEMBAWaziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amehitimu masomo ya PhD ya Uchumi aliyokuwa anasomea ktk Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM).
Sorry bro. Mimi mwarusha kiswahili yetu mbofumbofu!Ni uzamifu au uzamivu?
Mimi mwenyewe Mwarusha sema nilitaka kuweka mambo tu sawa dadaSorry bro. Mimi mwarusha kiswahili yetu mbofumbofu!