Mwigulu Nchemba ahitimu masomo yake ya PhD

Mwigulu Nchemba ahitimu masomo yake ya PhD

Unless proven otherwise NAMPA HONGERA NYINGI TU MWIGULU NCHEMBA.
 
f40d2d23ceee5297128c9ef1f8630a1a.jpg
......mkuu angalia usibishe usichojua
Msitoane macho bure kila chuo kina matumizi yao, kwa mfano sua phd wanaita thesis na masters wanaita dissertation. Kuna vyuo USA ni kinyume chake. .
 
Ph.D mfano akina Nchimbi,Mery Nagu, na yule na wengineo wengi tu


Halafu watu wa hivyo huwa wanapenda sana kutanguliziwa Dr. kwenye majina tofauti na wale waliofanya kihalali hata wasipotanguliziwa wako poa tu na baadhi yao huwa hata hawana interest kutnaguliziwa Dr
 
Kwani MTU huwezi jipa PhD kwa kujisimamia mwenyewe? MTU wa kwanza duniani kupata PHD alisimamiwa Na nani?
 
Nadhani kwa post graduate studies (Masters;PhD &post Doctorial) kwa vyuo vyote waweke tu sheria kua mtu kugraduate lazima awe ame"publish at least two papers ktk reputable international journals na sio hizi journals zao za kisela kisela
At least Nelson Mandela wanajitahidi sana ktk hili lakini vyuo vingine naona wanadefend tu dissertations zao ku"publish ni optional
Kama kazi yako haitambuliki kimataifa tutajuaje km ina impact kwa jamii na inawezekana umerudia walivyofanya wenzio kwa kujua au kutokujua ndo maana hu"publish
Zamani vyuo vyote nchini vilitumia monograph kupublish ni juu ya wahusika, sasa hivi kama sua wana option kwa mphil na phd ya either monograph au by publications. Kuna time na financial implication hii ya by publications inahitaji more funding na time other things being equal. Nelson Mandela ni wapya hivyo ni rahisi kwao kutumia mfumo wa publications mara moja.
 
Je Thesis yake ameiwakilisha? (disseminate)
Je Teyari ameitetea? (defend)
je utafiti wake umekubaliwa(Approved by supervisors)

Ph.D nyingi za Tanzania hazipitii hatua hizo na mtu tu kufanya huo utafiti wake mwisho wa siku utasikia ana Ph.D mfano akina Nchimbi,Mery Nagu, na yule na wengineo wengi tu
Ph.D study bila kuimaliza kwa kufikia hatua hiyo ni sawa na kuandika report halafu unaifungia kabatini bila kuwapa watu waisome.

Kama Mwigulu amepursue andiko la Ph.D na ati amefuzu basi Ph.D yake ni fake.
Mkuu una hakika na unachosema? Hii itakuwa mpya mtu kupata phd tanzania bila kufanya defence. Kunaweza kuwa na matatizo kwenye process lakini all in all vyuo viko makini. External na internal examiners wanapitia kila thesis au dissertation kabla ya defence.
 
Hivi wanasiasa vijana wa chadeema huwa hawajiendelezi?
 
Haha hahahaha alikuwa anasoma lini wakati kila siku alikuwa kwenye media akipiga siasa au wamempa tu phd kimagumashi hana lolote papeti
puppet wa nani sasa, au ulitaka awatumikie nhumbu? huyo ni mwana ccm na anatekeleza ilani ya CCM na sio matakwa ya kaskazini.
 
Kama ya boss wake tu ambaye hadi leo hajui kizungu.
 
Hongera mwigulu. Wakilisha IRAMBA japo madogo home wamedunda/wamekuwa wa kwanza toka mwisho. Komaa nao mwaka ukao matokeo yageuke upande wa pili ndio tuanze kuhesabia
 
Aende chuo akafundishe sasa aache kukitumikia chama kinachokandamiza haki na uhuru wa Watanzania.
 
Mwigu hata kuongea hawezi, anaongea kwa kutetemeka tetemeka! Hiyo Ph.D itakuwa alishikishwa ukuta...
 
Ph.D toka nanihii fulani asiyetajwa aivue nguo imekosa shepu kabisa kwa wafuatiliaji mambo. Hususan kama ni ya kisiasa zaidi kama ya kubangua korosho.
 
Back
Top Bottom