Mwigulu Nchemba ahitimu masomo yake ya PhD

Mwigulu Nchemba ahitimu masomo yake ya PhD

Je Thesis yake ameiwakilisha? (disseminate)
Je Teyari ameitetea? (defend)
je utafiti wake umekubaliwa(Approved by supervisors)

Ph.D nyingi za Tanzania hazipitii hatua hizo na mtu tu kufanya huo utafiti wake mwisho wa siku utasikia ana Ph.D mfano akina Nchimbi,Mery Nagu, na yule na wengineo wengi tu
Ph.D study bila kuimaliza kwa kufikia hatua hiyo ni sawa na kuandika report halafu unaifungia kabatini bila kuwapa watu waisome.

Kama Mwigulu amepursue andiko la Ph.D na ati amefuzu basi Ph.D yake ni fake.
Ningekuwa na uwezo ningekupa likes 10000. We need to see and read their Thesis na wazitetee mbele ya jopo ndo tuelewe kweli wamezipata. cc. Einstein alivyotetea yake kuhusu speed ya mwanga. Mpaka juzi walikuwa wanaiita theory until they proved it recently halafu tuambiwe oh aha.
 
Hongera Mwigulu Mchemba phd, wish namimi nifanye tatizo fund tu.
 
Elimu yake isaidie wananchi sio kujitoa ufahamu na kujikita kwenye uchama, elimu yake isaidie nchi kwanza chama baadaye
Hapo kabisa, umepigilia msumari wa kufa mtu kwa Mwigulu Nchemba, hongera zake, ila nasi tungependelea huu Udaktari wake ulete mabadiliko pale alipo, na siyo kuishia kwenye TV na Radio!
Kifupi Phd za raia wenzetu hazijaleta tija wala mabadiliko, zaidi ya kunufaisha matumbo yao tu..
 
Kusoma kuna faida sana unajifunza mengi nakumbuka kuna wakati alikuwa anaitwa gaidi na akina sugu alipokuwa waziri uccm ukamtoka akapendwa na wale waliokuwa wanamwita gaidi alitumia elimu kubaki ccm lakini akawa rafiki wa wapinzani naomba polepole ajifunze kwa mwigulu abaki na msimamo aliokuwa nao wakati wa katiba na warioba
 
Ndugu usichanganye madesa. Thesis ni for master degree na dissertation kwa Philosophical doctrine. Nyongeza juu ya huu utofauti ni kwamba,in thesis you present what you investigated that has investigated by other scholars but in dissertation you present new thing you discovered through your investigation. Watu wenye Phd wanastahili pongezi kabisa
Kanali mtaafu usiwadanganye watu, kama hujui ni bora kuka kimya. Thesis na dissertation zinatumika kwa both master degree and PhD degree as well. Tofauti yake ni kwamba ukifanya masters or PhD bila ya kuwa na coursework-yaani umefanya research only hiyo inaitwa Thesis. But kama masters na Phd yako uliingia darasani na kufanya exams. Then research yako inaitwa dissertation.
 
f40d2d23ceee5297128c9ef1f8630a1a.jpg
......mkuu angalia usibishe usichojua
 
Je Thesis yake ameiwakilisha? (disseminate)
Je Teyari ameitetea? (defend)
je utafiti wake umekubaliwa(Approved by supervisors)

Ph.D nyingi za Tanzania hazipitii hatua hizo na mtu tu kufanya huo utafiti wake mwisho wa siku utasikia ana Ph.D mfano akina Nchimbi,Mery Nagu, na yule na wengineo wengi tu
Ph.D study bila kuimaliza kwa kufikia hatua hiyo ni sawa na kuandika report halafu unaifungia kabatini bila kuwapa watu waisome.

Kama Mwigulu amepursue andiko la Ph.D na ati amefuzu basi Ph.D yake ni fake.

ya baba Jurgen ilipitia hizo hatua, maji hufuata mkondo na mwigulu 2025 usishangae chochote kinaweza kutokea hii ndio tz bwana
 
Nadhani kwa post graduate studies (Masters;PhD &post Doctorial) kwa vyuo vyote waweke tu sheria kua mtu kugraduate lazima awe ame"publish at least two papers ktk reputable international journals na sio hizi journals zao za kisela kisela
At least Nelson Mandela wanajitahidi sana ktk hili lakini vyuo vingine naona wanadefend tu dissertations zao ku"publish ni optional
Kama kazi yako haitambuliki kimataifa tutajuaje km ina impact kwa jamii na inawezekana umerudia walivyofanya wenzio kwa kujua au kutokujua ndo maana hu"publish
 
Back
Top Bottom