dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
Eti alikua anajigamba kuleta kodi ya data sasa unapata vipi data bila kununua vocha? Wachumi wetu wanafuraisha sana ubinifu wao unawalakini mi sijui mambo ya uchumi hila kuna siku nilikua namsikia makamu rais wa Ghana alikua Mauritius kwenye mkutano akawa anaelezea sera yao ya one district, one factory nilielewa kirahisi sana hivi ndio vitu vya kukuza uchumi sio mzigo ulipiwe kodi bandarini, unalipiwa kodi na muuzaji wa jumla halafu ulipiwe kodi na muuzaji wa rejareja .Nimedokeza mara nyingi huyu alikowekwa siyo anafaa wizara ya fedha
Hii ndio inasababisha ukwepaji kodi pamoja na mfumuko wa kodi
