Mwigulu Nchemba ahitimu masomo yake ya PhD

Mwigulu Nchemba ahitimu masomo yake ya PhD

Wasomi wakitanzania NI wa hovyo sana..
THEY KNOW EVERYTHING FROM MICROSUBJECT,but they know nothing from everything"ndo maana WAMESOMA LAKINI HAWANA ELIMU.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amehitimu masomo ya PhD ya Uchumi aliyokuwa anasomea ktk Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM).
Ni insurance zuri katika maisha yake. Kiumri ni kijana hawezi tegemea siasa tu. Waliokuwa wanauliza Mwigulu yu wapi, mbona hili hajalisemea sasa mmepata jibu. Alikuwa ana pambana na huo mlima wa PhD. Hata baba fulani atamuona kwa miwani tofauti sasa.
 
Huwa napata mashaka sana na elimu wanazopata hawa viongozi wa kisiasa wanaosoma wakiwa na nyadhifa za uongozi, uhuni mtupu...!!!
 
Sisiemu hopelesses kweli! Hivi hapo atakuwa kaambiwa na wapambe achukue masters imbebe kwenye uteuzi wa urais 2020. Kuna mmoja aliambiwa apate udaktari ili iwe laini kwenye ugombea. Masusu!!! Sasa anatuonesha uzumbukuku. JK Mrisho wherever you're, this is too much of a burden!
 
Akawasaidie wananchi wa jimbo lake mambo ya chama baadae pia kuvaa skafu muda wote sio kwamba yeye ni mzalendo namba moja hapa Tanzania. Na mshauri aache.
 
Kusoma PHD kuingia darasani ni mara chache sana kumbuka unasoma kitu ulichochagua wewe unaweza kuwa mwanafunzi wa hicho kitu pekee yako hivyo kazi yako ni kutafuta material na research na kusoma then unawasilisha kwa sup wako kwa mtandao then mtakubaliana muda wa kwenda kuonana nae kwa maelekezo na masahihisho...hivyo
 
Back
Top Bottom