Mwigulu Nchemba acha uongo wewe!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,890
Reaction score
141,548
Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana.

Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar].

Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar.

Unaropoka tu kuwa watu wamepewa hela waandamane.

Hutoi ushahidi wowote ule. Ukibanwa kidogo tu uthibitishe huo uongo wako, unang’aka!

Hata safari iliyopita mlivyoua, ulisema kuna watu wamelipwa. Hukutoa ushahidi.

Sasa umeanza tena. Uzuri ni kwamba watu wala hawakuamini. Wanajua wewe ni muongo tu.

Wadanganye mkeo na wanao. Sisi hatudanganyiki na huo upumbavu wako.

FOH.
 
jamaa bado ana siasa za mwaka 47

kila nikikumbuka kale kavideo alitenganeza eti kuonesha watu wana mpango wa kufanya fujo sijui kulipua mabomu kwenye mkutano

naona kabisa jamaa bado ana u bush bush mwingi kwa head na hauwezi mtoka kamwe
 
PM anapiga left, right and center mbaya sana aise, dah!

Poleni vibaraka na mamluki wa mabwenyenye ya magharibi maana PM anafumua ukweli mtupu kisawasawa 🐒
 
MTU kama Mimi ni realistic najua kuwa kwa Sasa TANZANIA mazingira ya kuandamana sio salama .

Na endapo ukajaribu , lazima upate madhara .

Kwahiyo MTU ambaye ni idealist anajaribu kuandamana akitegemea serikali itamlinda au wazungu ajue anakuwa kajitengenezea tatizo yeye , mwenyewe.
 
Sasa wewe nyani umetumia vigezo gani kumpinga Mwigulu??

Kwanza kwa nafasi yake ametoa tip tu, mambo ya ushahidi yanaihusu Polisi na Mahakama. Shut up your mouth
 
Uongo, fitina na mauaji ndo vimemfikisha hapo. Soon anaenda kuumbuka...

Huyu na samia watapigwa risasi hadharani pale uwanja wa taifa mchana kweupe. Lazima washitakiwe na hukumu itakuwa kifo. Wameharibu sana hii nchi.
 
Ukweli ni ipi?
 
Huyo Mtu amemtangaza? Rasilimali zenyewe si wameshagawa?
 
Nani anayafanya mazingira yasiwe salama?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…