Mwigulu mtu mwingine aisee

Mwigulu mtu mwingine aisee

Jiulize atashindwa kufanya Nini kama aliweza kufanya unayoyaogopa namna hiyo
 
Vijana wa kipara mnaogopa Nini mtapewa ukatibu tarafa msiogope
 
Haya mke wa mbowe weka yako basi
 
Kama Taifa na hasa kwa vijana wasomi utaungana nami katika hili naloenda kuzungumzia Leo ! Very short Mwigulu Lameck Nchemba ni habari nyingine aisee ! Kwa mambo ambayo ameyafanya kwa mda mfupi Sana tunakila sababu ya Kumshukuru hasa wazazi wake waliomsomesha na hasa kusomea uchumi sijui aliwaza Nini ?

Kumbuka zamani masomo kama hayo ya Uchumi wazazi wetu walikua hawatushauri kuyasoma kwa kuamini hayana nguvu kwenye soko la ajira lakini huyu mtu akajitoa mhanga na kusomea hayo masomo kweli hicho kitu kiliishii ndani yake mpaka amekua msaada mkubwa Sana kwa Nchi yetu

Hakika ni jambo fikirishi Sana aisee duh kwa namna Dunia Ilivyopitia majanga kibao ya kudorora kwa uchumi lakini taifa letu limesimama imara mjirani zetu mpaka wanashindwa kulipa mishahara lakini kwa Nchi yetu hizo habari hatuna kwanini tusimpongez Mh Rais na Waziri wetu kwa Mapambano makubwa waliyoyafanya kutufikisha hapa

Kesho tu hapo tarehe 15 /6/2023 itasomwa budget kuu ya Serikali kwa wafuatiliaji wamekubali kwamba hii budget ni mziki mnene imegusa mambo yote muhimu imegusa maisha halisi ya Mtanzania Tunasubiri kwa hamu kubwa Sana kuisikia hapo kesho ikichakatuiwa na Mwamba Mwigulu Lameck Nchemba

Anachokifanya Mwigulu ni kama alikua anafanyiwa interview Rais wa Marekani kwa swali la utaisaidiaje nchi kupanda zaidi kiuchumi hutakiwi kujiuliza majibu yake ndiyo haya ambayo Mwigulu Lameck Nchemba anayafanya kwa Nchi yake akiwa Waziri tu akimsaidia Rais kutimiza maono yake juu ya taifa hili . Tusisahau kuwa Rais ni mbeba maono na watu wa chini yake humsaidia Ili kuyafanikisha na kuwa ni uhalisia tumeyaona hayo

Yes Ndiyo maana nimesema Mwigulu Lameck Nchemba ni habari nyingine

View attachment 2657175
🚮🚮🚮
 
kazi ipo
ujinga mtupu
 
Mnakamua wananchi maskini michango kukodi helicopter kweli kengengeza huna akili
 
Yupo sahihi kabisa hamtaki hamia unapotaka nchi haiwezi kwenda bila Kodi dada au unakula kwa baba ako mpaka Leo
 
Mbona siwaelewi Sasa mara Mwigulu mwenyewe mara mpya mara anazo nyingi hahaha mtakufa kipara kijana mdogo Sana
 
Yes hata mama ako pia ni Mtanzania atakua Rais wake tu usijali
 
Ndiyo maana tumesema hapa tunataka wasomi nenda shule mlikimbia shule ya Nini ko hujafuatilia bunge la budget kweli kuku Hana akili
 
We mdada tu endelea na tuvichambo
 
Kama yake kauza Kuna shida Gani ?
 
Back
Top Bottom